teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Simu zinazotumia Teknolojia ya "3D Flaslight Level Camera"

    Katika ulimwengu huu wa teknolojia ya simu za mkononi zenye muundo wa kupangusa zinazobadilika kila wakati kulingana na utandawazi, TECNO Spark 10 pekee ndio simu iliyopiga hatua mbele katika safari hii kwa kuwawekea kipengele cha kisasa kabisa kwenye camera ya mbele kiitwacho “3D FLASHLIGHT...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Reli ya kati DSM - Kigoma; 1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 19014) wakati teknolojia ikiwa duni

    Reli ya kati DSM - Kigoma; 1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 1914) wakati teknolojia ikiwa duni. TAZARA 1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76). Karne ya 21 Reli ya DSM - Moro, only 300Km inajengwa kwa miaka 7. CnP
  3. JamiiForums Tanzania Mnawachukia wazungu ila mnatumia teknolojia yao na elimu yao na mnapenda maisha yao na mnakimbilia Ulaya na Marekani kwa wingi

    Acheni unafiki baadhi ya binadamu wa bara la Asia ya kati na Afrika na bara arab. Mnajifanya kuwachukia wazungu wa ulaya na marekani ila kila siku mnakimbilia kuomba hifadhi huko. Mnatumia mpaka satelite zao na teknolojia zao na elimu zao na mnapenda tamaduni zao. Acheni unafiki wabantu na...
  4. JamiiForums Tanzania Baadhi ya teknoloiia zilizogunduliwa locally na katika jamii za nyumbani

    Jana nimekaa nikatafakari sana; Hivi ni nani anayesemaga kwamba waafrika hawajagundua chochote cha maana? Isije ikawa cha maana anachokiona yeye ni mawasiliano tu, sijui na kupaa au kurusha vitu angani😢 Kimsingi ugunduzi huwa unatakiwa kutatua changamoto ya watu husika kwanza kabla haujafika...
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Teknolojia ya Habari wa Kenya atengeneza Wakili wa kisasa mwenye ujuzi wa Sheria zote za Kenya

    Wakati Naftal Obwoni alipokuwa shuleni, baba yake aliachishwa kazi bila taarifa, jambo lililosababisha kesi iliyochukua muda mrefu dhidi ya mwajiri wake. Obwoni alishuhudia kwa macho yake mapambano ya baba yake kupata haki, na hii ilikuwa kwa sababu baba yake hakuwa na uelewa wa mfumo wa...
  6. JamiiForums Tanzania Zuio la VPN: Kwanini Mamlaka zinaikimbia Teknolojia wakati dunia inaelekea huko?

    Wadau, bila shaka mmeliona tangazo la TCRA kuhusu onyo la matumizi ya Kipenya Mtando Binafsi (VPN), tangazo ambalo ni dhahiri linaonesha Mamlaka zinaogopa Teknolojia kuliko kuwekeza zaidi katika kutambua fursa zilizoko kwenye uwanda huo. Katika dunia ya sasa Mamlaka zinapaswa kuweka mazingira...
  7. JamiiForums Tanzania Afrika tunaomba Mungu wa Israel atulinde. Israel inalindwa na mitambo ya teknolojia ya hali ya juu kuzuia mashambulizi ya anga

    Iron Dome ni mfumo wa ulinzi wa kisasa wa anga ambao ni bora na mathubuti kwa dunia ya leo uliotengenezwa na Israel kwa msaada kiasi kutoka Marekani kwa lengo la kulinda dhidi ya makombora yaliyofyatuliwa kutoka kwenye maeneo ya adui. Mfumo huu ulianza kutumika rasmi mwaka 2011 na umekuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Muhimbili sasa ina teknolojia ya kuyeyusha damu (blood clots) kwa watu wenye stroke pia kutibu uvimbe kwa wanawake (Fibroids) bila kufanyiwa upasuaji

    MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amesema hospitali hiyo inatumia mtambo wa kuyeyusha damu iliyoganda kwa mtu aliyepata kiharusi. Profesa Janabi alisema hayo Dodoma jana na akasema kwa sasa kwa wanaopata ugonjwa huo wanatibiwa kwenye kifaa hicho...
  9. JamiiForums Tanzania "Kampuni yetu ya Teknolojia tunatafuta Mwekezaji wa kuongeza nguvu ya mtaji na Ufanisi kwenye kazi "

    Jambo, Tunatafuta mwekezaji mwenye nia ya kuwekeza katika kampuni yetu ya teknolojia inayojihusisha na kuuza vifaa vya usalama wa elektroniki na shughuli zingine za teknolojia. Tunaamini kuwa uwekezaji wako utatusaidia kuongeza ufanisi wetu na kufikia wateja wengi zaidi. Kuhusu kampuni yetu ni...
  10. JamiiForums Tanzania FAHAMU: Teknolojia ya IRON DOME inayotumiwa na taifa la ISRAEL kutungua makombora angani

    Iron Dome ni mfumo wa ulinzi wa kisasa wa anga ambao ni bora na mathubuti kwa dunia ya leo uliotengenezwa na Israel kwa msaada kiasi kutoka Marekani kwa lengo la kulinda dhidi ya makombora yaliyofyatuliwa kutoka kwenye maeneo ya adui. Mfumo huu ulianza kutumika rasmi mwaka 2011 na umekuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi kadhaa Barani Afrika zinatumia Teknolojia kudhoofisha Uhuru wa Kujieleza na Haki za kujumuika na kukusanyika

    Nchi kadhaa Barani Afrika zinatumia Teknolojia dhidi ya Wakosoaji, vikundi vya Upinzani, Waandishi wa Habari, na Watetezi wa Haki za Binadamu na kudhoofisha Uhuru wa Kujieleza na Haki za kujumuika na kukusanyika. ================================= Over the last few years, Africa has experienced...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli China inaongoza kuhusu Teknolojia na Uvumbuzi? - Ulaya na Marekani wamekubali?

    KWA JINA LA BABA, LA MWANA NA ROHO MTAKATIFU - AMEN. NImekuwa nikifanya utafiti wangu binafsi kuhusu masuala ya Technolojia hapa Duniani, nimegundua kuwa dunia yote sasa imetupia macho yake huko china. Kwa mujibu wa takwimu zilizotoliewa na theglobaleconomy.com za mwaka 2021 zinaeleza kuwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Toleo jipya la simu janja ya Huawei ladhihirisha maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano ya China licha ya vikwazo vya Marekani

    Hivi karibuni, kampuni kubwa ya mawasiliano na teknolojia ya China, Huawei, ilifanya mauzo ya awali ya simu yake mpya ya kisasa (smartphone) aina ya Huawei Mate 60 Pro, hatua iliyozusha mjadala mkubwa katika jamii ya Wachina, ikiwa ni tofauti na hali inavyokuwa wakati wa kuzindua bidhaa mpya...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: JWTZ/JKT wajikite kwenye tafiti za kisayansi na teknolojia. Wabuni silaha zao wenyewe

    JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na...
  15. JamiiForums Tanzania Teknolojia inaleta fursa muhimu katika Elimu. Ni muhimu kuondoa vikwazo vinavyozuia wengine kuifurahia

    Elimu ni msingi wa maendeleo na fursa binafsi. Hata hivyo, kupata elimu bora kunaweza kuwa changamoto kubwa kwa makundi mbalimbali katika jamii. Lakini kwa miaka ya hivi karibuni, teknolojia imeleta mapinduzi katika uwanja wa elimu na kuwapa wengi fursa mpya. Kuthibitisha hili, Ripoti ya...
  16. JamiiForums Tanzania Changamoto ya mfumo wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kushindwa kutatuliwa takriban wiki 3 sasa

    Ujumbe kutoka kwa kati ya mwanafunzi aliyehitimu na kuomba kupaziwa sauti. "Mimi ni muhitimu wa stashahada ya computer science chuo kikuu cha sayansi na teknolojia Mbeyaa Kumekuwa na tatizo la mfumo yaani SIMS (student information management system) kwa muda wa takribani wiki 3 mpaka sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Makamba akutana kwa mazungumzo na Waziri wa Viwanda na Teknolojia ya Juu wa Serikali ya UAE

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba (Mb.) amekutana na kuzungumza na Waziri wa Viwanda na Tekinolojia ya Juu wa Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu, Sultan Ahmed Al Jaber Jijini Nairobi, Kenya. Waziri Makamba amekutana na Al Jaber pembezoni mwa Mkutano...
  18. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Saratani ya Ocean Road yatoa mafunzo ya matibabu ya Teknolojia ya Nyuklia

    Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kimataifa ya Nguvu za Atomic, International Atomic Energy Agency (IAEA), imetoa mafunzo ya matibabu ya Teknolojia ya Nyuklia kwa wataalamu 18 kutoka mataifa 15 ya Afrika. Mafunzo hayo yamezinduliwa Septemba 4, 2023 katika...
  19. JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imetoa Sh. bilioni 1.29 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi saba ya kitafiti

    Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imetoa Sh. bilioni 1.29 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi saba ya kitafiti kutoka katika taasisi mbalimbali hapa nchini. Akizungumza wakati wa kuhitimisha mafunzo na utoaji ufadhili huo kwa watafiti wanufaika wa miradi hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Tume ya Madini Yatakiwa Kuwasaidia Wajasiriamali Kupata Teknolojia Zenye Gharama Nafuu

    TUME YA MADINI YATAKIWA KUWASAIDIA WAJASIRIAMALI KUPAYA TEKNOLOJIA ZENYE GHARAMA NAFUU Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amewaasa Watanzania kutumia fursa za kiuchumi zinazopatikana nchini zikiwemo za kilimo, mifugo, uvuvi na madini katika kujiongezea kipato pamoja na kukuza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…