Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 19,696
- 59,856
KWA JINA LA BABA, LA MWANA NA ROHO MTAKATIFU - AMEN.
NImekuwa nikifanya utafiti wangu binafsi kuhusu masuala ya Technolojia hapa Duniani, nimegundua kuwa dunia yote sasa imetupia macho yake huko china.
Kwa mujibu wa takwimu zilizotoliewa na theglobaleconomy.com za mwaka 2021 zinaeleza kuwa China inaongoza kwa mbali sana katika export ya high-tech.
Katika uzi huu nitaleta taarifa zinazohusu makampuni ya technolojia na uvumbuzi yaliyopo china. Nitaweka ulinganisho wa Technolojia hizo na nchi zingine hususani za ulaya na marekani. Na baadae tutakuja kuleta jibu la pamoja kuhusu maswali hayo mawili niliyoyauliza.
Kuna watu wanaweza kusema kuwa China hawatengenezi Semiconductor, nitaanza kuongelea hayo makampuni yanayotengeneza hizo semiconductor na kisha tutaendelea mbele zaidi.
Wengine watasema kuwa hakuna yale yanayotengeneza nanometer semiconductor, kulingana na utafiti wangu wa kina nimegundua kuwa china inatengeneza kila aina ya electronic equipment.
Sasa basi katika uzi huu nitaweka makampuni mbalimbali yanayojihusisha na technolojia:-
1. Consumer goods
2. Industrial Technologies
3. Security Technologie
4. Space Technologies
5. Transportation Technologies
Etc.....
VIJANA WAPENDA ULAYA NA MAREKANI KARIBU TUJIFUNZE WOTE. MJE NA FACTS