"Kampuni yetu ya Teknolojia tunatafuta Mwekezaji wa kuongeza nguvu ya mtaji na Ufanisi kwenye kazi "

covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
4,876
10,593
Jambo,
Tunatafuta mwekezaji mwenye nia ya kuwekeza katika kampuni yetu ya teknolojia inayojihusisha na kuuza vifaa vya usalama wa elektroniki na shughuli zingine za teknolojia. Tunaamini kuwa uwekezaji wako utatusaidia kuongeza ufanisi wetu na kufikia wateja wengi zaidi.

Kuhusu kampuni yetu ni halali na ina vibali vyote vya serikali. Tumejiwekea mfumo wa malipo kwa mwekezaji ambapo utalipwa kwa kazi kwa mapato/faida tunayopata. Tuna amini kuwa ushirikiano wetu utakuwa wa manufaa kwa pande zote.

Ikiwa una nia ya kujadili zaidi kujiunga na sisi, tafadhali wasiliana nasi simu 0769 055050. Tutakuwa tayari kuongea kwa undani Zaidi kuhusi sisi.
simu 0769 055050
Asante
 
Uzi wako utakosa mvuto kwa kukosekana baadhi ya details kama
1.Inahitajika kiasi gani cha pesa?
2.Kampuni inapatikana wapi?
3.Mfadhili akishatoa pesa zake,faida itakayopatikana atachukuwa asilimia ngapi?
Maelezo haya lazima tawe wazi ili mtu ajipime kama ana uwezo nayo ndipo atavutiwa kukutafuta privately.
 
Back
Top Bottom