tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la udomo zege

    Wakuu salaam, Kama mada inavyoelezea nimekuwa napatwa na tatizo la kuogopa kutongoza mabinti na kama mnavyojua hapa Dar kuna madem wakali sana ila ukikutana nao road wako faster ni ngumu kumsimamisha manzi. Hii hali sijui inatokana na nini naanza kuhisi nitakuwa na matatizo somewhere. Naombeni...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana tatizo la an Anxiety disorder?

    MH LISU ANA TATIZO LA ANXIETY DISORDER? Na Elius Ndabila Anxiety disorder kwa kiswahili ni Ugonjwa wa Wasiwasi(ugonjwa wa Mashaka mashaka). Nieleweke kwamba kuwa na wasiwasi ni jambo la kawaida kwa mwanadamu, hivyo kwa sababu wasiwasi ni jambo la kawaida, ni mhimu kutofautisha baina ya kuwa na...
  3. JamiiForums Tanzania CCM na Mifumo ndiyo tatizo kubwa Nchi hii. Wanatupeleka siko

    Haiwezekani uengue wagombea wa chama kimoja chenye nguvu 16 kati ya 18 katika kisiwa kizima, huu ni uhujumu wa wazi wazi unaominya haki za watu kuchagua. Haiwezi kuondoa wagombea udiwani zaidi ya 600 nchi nzima kama kweli unalitakia taifa hili amani. CCM kwakua Mwenyekiti wao wa taifa ndiye...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa wenye tatizo la simu kujaa nafasi au inaandika delete file fulani ili kupata nafasi ya kudownload app nyingine usikonde fuata hatua hizi ...

    1.washa simu kisha washa data. 2.Bonyeza settings. 3.Bonyeza apps. 4.kisha zitakuja app nyingi ulizodownload,sasa anza na zile zenye mb nyingi kama WhatsApp, unaibonyeza 5.Bonyeza storage. 6.Bonyeza clear data.kisha sema OK. Halafu back unaingia app nyingine,ukifanya app tano nafasi utapata ya...
  5. JamiiForums Tanzania Loan Board naombeni msinizungushe, shughulikieni tatizo langu

    Wakuu jana nilibaini kuwa mdogo wangu kijijini katika application ya mkopo cheti cha kuzaliwa kilichoambatanishwa hakikuwa kile kilicho thibitishwa. Nilituma Dar es Salaam haraka cheti kilicho hakikiwa na Rita na kuomba mtu akipeleke HESLB, amepeleka wakasema eti ni lazima aliyetuma maombi...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi wamama wa kambo tatizo lenu ni nini?

    Wapendwa mimi ni Mama wa kambo wa watu wanne wamzee. Sijawahi watenga , kuwapa presha na hata kuwasema vibaya. Kula wanakula , na kila kitu wakitaka wanapata ila wamama wa kambo wengine wabaya wanachosha na wanasikitisha. Kuna mama kaolewa ana mimba na pia kaja na mtoto wake . Sasa kamkuta...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Naona kama CCM na wafuasi wake wamejenga chuki kubwa kwa Watanzania waishio nje ya nchi, tatizo ni nini hasa? Je, wanaelewa umuhimu wa kundi hili?

    Wandungu, siyo siri naamini nanyi mmeona kuwa chuki dhidi ya watanzania waishio nje ya nchi imeongezeka sana kipindi cha uongozi wa Rais Magufuli. Kama huamini jaribu kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo humu ndani hasa kuhusu mada zinazohusu siasa na watanzania waishio nje ya nchi, utaona chuki...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo Halmashauri ya Jiji la Dodoma la watumishi wengi kulipwa mshahara bila kufanya kazi

    Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa utendaji kazi kwa watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma. Watumishi wengi wanakaa nyumbani bila kwenda Kazini au wanaenda kuripoti asubuhi na kuingia mitaani kufanya shughuli zao binafsi. Nampongeza JPM kwa kutokutoa vibali vya kuajiri watumishi wapya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati unakuja wenzetu hawa watamkana na kujitenga na Mwenyekiti wao, na watataka chama chao kisihukumiwe wala kisihusishwe na matendo yake

    Yote yanayoonekana kufanywa na Bwana huyu, pamoja na yale yanayoonekana anayabariki/kuyafumbia macho, mambo haya yanaleta picha kuwa, huyu Bwana amekosa uwezo wa kutazama mbali, ameishiwa maarifa na zaidi anakimaliza kabisa kisiasa chama chake tena vibaya mno. Anaonekana ni mtu wa kubariki na...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Ni ipi suluhu ya hili tatizo la kujihisi mpweke hata uwapo mbele za watu?

    Natumai hamjambo wanabodi, Wakuu mimi baadhi ya nyakati hukumbana na hii hali ya kujihisi mpweke hata niwapo mbele za watu, yaani unajikuta bored then hujielewi tu, je ni ipi suluhu ya tatizo hili? Pia kama umewahi kutana na hili tatizo share experience ya kulikabili, nitashukuru sana ikiwa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais atakayetatua tatizo sugu la ajira ila sisi wenyewe kama China

    Hakuna Rais atakaye tatua tatizo sugu la ajira ila sisi wenyewe kama watu wa China walivyo jielimisha, hata kama CCM ikiondoka madarakani. Kwa sababu tatizo la ajira linatokana na ukosefu wa uzalishaji mali barani Afrika, ukosefu wa wataalamu wa viwanda ingawaje tuna wasomi wengi. Rais wa...
  12. JamiiForums Tanzania Ndege za Tanzania zapigwa marufuku kutua viwanja vya Kenya kutokana na janga la Corona

    Ama kwa hakika mambo si shwari. Naona ndege za Tanzania nazo zimeanza kupata hitilafu kama ile ya Kenya --- Akizungumza jijini Nairobi wakati akitoa taarifa kuhusu mwendendo wa maambukizi ya janga la Covid-19 nchini Kenya, Waziri wa Usafirishaji James Macharia amesema kuwa anga la Kenya...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la Prof. Kabudi ni uongo na ulaghai na hana sifa ya kujiongeza ambayo ni sifa mama ya waziri wa diplomasia akiwa na Rais aina ya Magufuli

    Waziri wa mambo ya nchi za nje kuwa muongo na mlaghai kama alivyo Prof. Kabudi ni hatari kwa afya. Waziri ambaye hawazi mbali kuhusu majukumu yake inafikirisha sana. Nakumbuka aliyoongea kwenye sakata la madini siyo tunayoona sasa.Aidha alitoa uongo wa awamu tatu. Wa majadiliano ya tume, wa...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo kwa Waisilamu. Safari hii lisijirudie

    Kila ifikapo sikukuu ya Eid, iwe Eid ya kuchinja (Udhu-hiya) au Eid ya baada ya Ramadhani (Eidil - Fitir). BAKWATA hualika viongozi wa Serikali kuja kwenye baraza la Eid, cha ajabu zaidi sio kwa kiongozi mualikwa wala Mashekhe mada kubwa huwa ni kuzungumzia AMANI. Sasa najiuliza waisilamu ndio...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nchi iko katika maombolezo, huku soka, harusi, sherehe na burudani zinaendelea, sasa kwanini kumpokea Lissu ndio iwe tatizo?

    Na sio hayo tu, hata upigaji wa kura za maoni kweny vyama vya siasa unaendelea. Sasa kwanini watu kwenda kumpokea mgeni/kiongozi wao ndio iwe tatizo? Ni wapi CHADEMA wamesema wataandamana? Kukutana airport huku kila mtu akitokea nyumbani Kwake, ndio kuandamana au ndio kufanya mkusanyiko usio...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la picha kujirudia rudia (Multple photos) katika simu

    Habari waungwana, kuna changamoto ya kujirudia rudia kwa picha na ma file mengine katika simu hasa "Audio" na "Video". Msaada : 1. Naomba kujuzwa ni kitu husababisha kujirudia rudia (Multiple) kwa mafile katika simu, yaani audio zinakuwa mbili mbili, au folder za mapicha zinakuwa mbili mbili...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa viongozi wetu (hasa Marais na Wake zao) kutibiwa katika hospitali za 'Siri' na Watanzania 'kufichwa' pia ni sehemu ya tatizo

    Ni Hospitali ambazo naziheshimu sana japo najua ni za Watu fulani fulani kutokana na Umuhimu wao hapa nchini Tanzania. Sikatai kuwa Kifo huwa hakina aina ya Hospitali bali muda wa ' Israeli Mtoa Roho ' ukifika tu hata ukiwa Umelaza katika Hospitali yenye Hadhi duniani 'utaondoka' tu kwenda zako...
  18. JamiiForums Tanzania Tatizo la wanasiasa wa kuibuka, na uzuri wa wanasiasa wa kutumikia Umma daima

    Uchunguzi mpya uliofanywa na chuo kikuu cha Harvard cha Marekani umeonesha kuongezeka kwa kiwango cha raia wa China kuridhika na utendaji wa serikali ya nchi hiyo tangu mwanzoni mwa karne hii kimeongezeka na kuwa zaidi ya asilimia 90, kufuatia kuboreshwa kwa maisha yao. Ripoti hiyo imesema...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la uvimbe kama gololi kwenye korodani

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujuzwa tatizo la uvimbe kwenye korodani na athari zake.
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo la engine ya gari lako kuzimazima (Engine Stalling)

    Asilimia kubwa ya matatizo ya engine kuzimazima yanasababishwa na components za umeme kama Sensors, Valves, solenoids n.k. Engine inaweza kuzima muda wowote mfano wakati ipo idle, wakati unaaccelerate, wakati unafunga brake n.k. Sababu zote zinazoweza kupelekea tatizo hili zinaingia katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…