Mtafiti77
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 1,842
- 2,272
Suala hili limeshajadiliwa mno na wadau mbalimbali, hivyo, mimi ninapendekeza sauti hizi zipitishwe rasmi kuwa kitu kimoja. Yani, watumiaji wachague kile wanachoona kinawafaa.
Utafiti wangu mdogo unaonesha hata walimu, wapo wengi wana tatizo hili.
Kiambatisho kwenye bango hili ni ushahidi wa kukua kwa tatizo hili.
Hebu fikiria hii ni taasisi kubwa kabisa inafanya hivi,watoto na wageni wataweza kutofautisha sauti hizi kweli? Tuzipitishe tu ziwe ndugu.
Ninawasilisha