Nimerudi tena wakuu na hili tatizo la programming

Wisdom Flag

Member
Oct 16, 2018
28
18
Habarini wana programmers..

Nina tutorials nilisoma kwenye w3schools nikadownload codeblocks kwa ajili ya kufanya practice, lakini tatizo ni kwamba ninapotaka ku-run code inazingua sasa sijui tatizo nini.

Na kwenye ile tutorial naona cout iko na rangi iliokoza sio kama yangu TATIZO NI WAPI WAKUU NISAIDIENI

Inked2_LI.jpg

Nikibonyeza kweny run au build and run inakuja hako kadialog, nikibonyeza Yes inakuja hivyo hivyo kadialog tena.

Ila nikibonyeza no inakuja kama hapo chini excution yake.

3.PNG

InkedCapture_LI.jpg
 
Habarini wana programmers..

Nina tutorials nilisoma kwenye w3schools nikadownload codeblocks kwa ajili ya kufanya practice, lakini tatizo ni kwamba ninapotaka ku-run code inazingua sasa sijui tatizo nini.

Na kwenye ile tutorial naona cout iko na rangi iliokoza sio kama yangu TATIZO NI WAPI WAKUU NISAIDIENI

View attachment 1373086

Nikibonyeza kweny run au build and run inakuja hako kadialog, nikibonyeza Yes inakuja hivyo hivyo kadialog tena.

Ila nikibonyeza no inakuja kama hapo chini excution yake.

View attachment 1373092

View attachment 1373077
Itakuwa haukutengeneza project na Kama ni hivyo ndo hiyo prompt inatokea, Nafikiri inashindwa kutambua compiler ipi itumike.
Au haukufanya installation vizuri.

solution
1. Jaribu kutengeneza project kwa ku click on "file->new->project Kisha kachague console application Kisha next Kisha type name of your project, then chagua path Kisha chagua lugha unayotumia ni c au c++ kwa kuwa code zako ni c++ Basi chagua hiyo Kisha save project.

ikifunguka huonyesha hizo code automatically au unaweza badili na ukitaka ku run tumia build and run sio run.

Solution ya pili
Unistall hiyo code block Kisha install upya hakikisha unachagua aina ya compiler kwenye prompt after installation.

NB.
Usipende kutumia codeblock setup only unaweza tumia codeblock mingw setup Iko fresh Sana
Download binary
 
4.PNG
Daaaa kaka nashukuru sana asee nimeweza maana ilikuwa inanisumbua hatari ninaunistall lakin wapi nildowload setup zote za code blocks ila thanks sana kaka i'm done for that
Itakuwa haukutengeneza project na Kama ni hivyo ndo hiyo prompt inatokea, Nafikiri inashindwa kutambua compiler ipi itumike.
Au haukufanya installation vizuri.

solution
1. Jaribu kutengeneza project kwa ku click on "file->new->project Kisha kachague console application Kisha next Kisha type name of your project, then chagua path Kisha chagua lugha unayotumia ni c au c++ kwa kuwa code zako ni c++ Basi chagua hiyo Kisha save project.

ikifunguka huonyesha hizo code automatically au unaweza badili na ukitaka ku run tumia build and run sio run.

Solution ya pili
Unistall hiyo code block Kisha install upya hakikisha unachagua aina ya compiler kwenye prompt after installation.

NB.
Usipende kutumia codeblock setup only unaweza tumia codeblock mingw setup Iko fresh Sana
Download binary
 
Habarini wana programmers..

Nina tutorials nilisoma kwenye w3schools nikadownload codeblocks kwa ajili ya kufanya practice, lakini tatizo ni kwamba ninapotaka ku-run code inazingua sasa sijui tatizo nini.

Na kwenye ile tutorial naona cout iko na rangi iliokoza sio kama yangu TATIZO NI WAPI WAKUU NISAIDIENI

View attachment 1373086

Nikibonyeza kweny run au build and run inakuja hako kadialog, nikibonyeza Yes inakuja hivyo hivyo kadialog tena.

Ila nikibonyeza no inakuja kama hapo chini excution yake.

View attachment 1373092

View attachment 1373077
Unasoma C++ ili uifanyie nini? I mean what do you want to build with C++? Na kwanini C++ na sio language nyingine?
 
mkuu mimi ni beginner wa programming kwenye tutorials ninazo soma na mimi huwa najaribu kuona kama itatokea as how nimekuwa instructed i mean natak kuwa programmer kama wengine
 
Mkuu hujajibu swali.Swali la kwanza unalotakiwa ujiulize kwa nini unajifunza programming, ukishapata jibu ndio uchague language ya kujifunza.Kila lugha ina solve tatizo lake.Mfano kama hard ware designer itabidi ujifunze c,c++,c# machine language.Robotic python, game development c,c++,web development HTML,CSS,JavaScript, Android develop java,iOS ..,. Data science,Croud cimputind AI python. Kwa hio kuna mambo mengi na huewezi kusoma kila kitu utakuwa mediocre programmer.
Mi nakushauri kama wewe ni mdogo under 30.Jaribu Ku study the market demand kwa miaka 10 ijayo inataka nini Jikite kwenye eneo husika.Watanzania wengi huwa hatusomi market inataka nini.Ila kama unasoma for the sake of understanding programming soma chochote ila kama unasoma uje uuzike be careful.
 
Back
Top Bottom