tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la pikipiki kuchelewa kuwaka

    Pikipiki aina ya Dayun. Betri mpya plug mpya. Lakini inachelewa kuwaka sometime napiga kick ndio I wake, tatizo linaweza kusababishwa na Nini wakuu?
  2. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kutatua tatizo la sukari bila kusahihisha makosa ya Hayati Magufuli kwenye sekta hii mwaka 2016

    Kwa umri wangu shida ya sukari nchini ikikwisha mwaka 1995 na maduka ya RTC alipokuja AH Mwinyi, sijawahi kuisikia tena mpaka huyu Magufuli alipoivuruga. Mwinyi ndiye aliyeleta trade liberalization, yaani aliruhusu Watanzania wenye uwezo kuagiza popote na kuja kuuza Tanzania. Mwaka 1980-85...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kama wewe una miaka zaidi ya 25 na huna mpenzi, hilo ni tatizo sugu

    Kama wikiend hii yote uko mwenyewe mwenyewe tu, huna mpenzi wa kukuweka bize na unamiaka zaidi ya 25 hilo ni tatizo sugu. Ondoka hapo ulipo, oga, piga pamba, nukia vizuri, zunguka zunguka huko mtaani, utapata wa kukuweka bize. Maisha yanatafutwa, hela zinatafutwa, na mapenzi pia yanatafutwa...
  4. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa KKKT Konde: Tatizo ni hela iliyoliwa na kundi la Askofu

    Imebidi niingie chimbo kuchunguza mgogoro huu wa Dayosisi ya Konde. Wazungu wanasema penye mgogoro usiotaka kuisha- FOLLOW THE MONEY! Kiti cha Askofu kimeshindwa kurudishwa Tukuyu maana ofisi ya Tukuyu ilimokuwa Dayosisi imeuzwa au kupangishwa kwa milioni 200. Ofisi wameuziwa au kupangishwa...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kama uko single weka picha yako hapa tuangalie tatizo liko wapi

    Malalamiko yamekua mengi, tushirikiane kutakua hili tatizo.
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya kuondoa tatizo la umeme Tanzania ni kwa kuwawajibisha mawaziri kama January Makamba

    Kama taifa letu litapata Katiba mpya basi tatizo la umeme hapa nchini Tanzania litakwisha kabisa. Maana kama tutakuwa na mawaziri mizigo na wazembe wenye harufu za ufisadi basi itakuwa ni suala kuwaondoa kwa nguvu ya umma tu. Rasimu ya Warioba ilipendekeza Mawaziri wasiwe wanateuliwa kati ya...
  7. Hadrianus

    JamiiForums Tanzania Tatizo nini Clouds FM, Radio Free & Star TV?

    Takribani wiki karibia 5 Clouds fm, wiki 2 RFA na Star tv siku ya 2 hawarushi matangazo baadhi ya mikoa. Tatizo nini hali hii, wahusika kupitia mitandao yao ya kijamii hawatoi taarifa yoyote kutopatikana matangazo baadhi ya mikoa nchini!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la marefa wa Kitanzania lilishatengenezwa muda mrefu na TFF awawezi kulikwepa

    Nimeona mapovu mengi sana yakiwatoka mashabiki na wadau wengine juu ya penalty aliyopewa Yanga dhidi ya Namungo, Ni ajabu sana kuitolea macho penalty ya jana wakati matukio kama ayo yanatokea Sana na watu wanakaa kimya kwakuwa tiyali anaefaidika anakuwa keshavuna point zake. Matukio kama haya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme: Kwa miaka 60 sasa, kiakili bado tupo utumwani kwa wakoloni weusi (kiutawala) wananchi sisi ndio mzigo

    February 2018, Kampuni za umeme, Australia zilitakiwa kulipa fidia kwa wakazi wa Victoria, nchini Australia waliothirika kwa kukosa umeme, malipo ya $180 kutegemeana na muda ambao 'nyumba ilikosa umeme'. Zilitengwa $5M. Umeme ulikatika kati ya saa 3—20. Huku kwetu Mabwepande, umeme unakatwa...
  10. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia

    Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia. Uongozi wa sasa utupe jawabu la changamoto hii twende mbele. Changamoto ya Maji imesababishwa na nini? Nani alizuia Mradi wa Bwawa la Kidunda? Visima vya Kigamboni? Je tusubiri mvua? Isiponyesha?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme nchini na matamko 4 tofauti ya Serikali

    1) Mheshimiwa Waziri wa Nishati January Makambaanadai kwamba: a) Tatizo la Mgao wa Umeme limesababishwa na Uchakavu wa Miundombinu ambayo haijafanyiwa Matengenezo kwa miaka 5!! b) Tanesco hawajafanya Matengenezo katika kipindi kilichopita cha miaka 5 (soma: Awamu ya 5) kwa sababu eti kila...
  12. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati apewe Waziri anayeaminika na watu wengi ili hata akisema lipo tatizo aaminike

    January si Waziri asiyeaminiwa na wengi hata michango ya watu iwe mitaani ama humu mitandaoni ukweli huo unajidhihirisha. Sasa ili kuwe na kuaminika tena kwa matatizo yahusuyo Nishati nikuombe Rais Samia teua Waziri mwenye japo chembe ya kuaminika na wengi wetu awe Waziri wa Wizara hiyo. Bado...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji na Ukame: Lawama zangu zote ni kwa Waziri Lukuvi na Waziri wa Mazingira

    Kuna muda ni lazima ukweli usemwe maana usiposemwa lazima kumbukumbu zitakuwa za upotoshaji Mkubwa Kwenye Tatizo linaloikumba Tanzania la ukame na ukosefu wa Maji kwa sasa lawama zangu zote nazipeleka kwa watu wafuatao 1. William Lukuvi Akiwa Waziri wa Ardhi kuanzia Awamu ya Tano, nchi yetu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme: Awamu ya tano haiwezi kukwepa lawama labda tu kama madai hayana ukweli

    By Zitto kupitia twitter: Mradi wa 300MW Mtwara ulisimama. Mradi wa 350MW Kilwa ulisimama. Mradi wa nyongeza Kinyerezi 185MW ulisimama. Mradi wa Kinyerezi 3 and 4 umesimama. Utapata wapi Umeme kulisha nyongeza ya shughuli za Uchumi baada kufungua Nchi? Miradi yote ya Umeme iliyokuwa kwenye...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme: Rais, Waziri Mkuu na Waziri husika, wote wanapaswa kujiuzulu kabla hawajamuwajibisha yeyote yule

    Tatizo la umeme nchi hii haijaanza leo, huku chanzo kikubwa cha tatizo miaka yote kikiwa ni kile kile. Hivyo? hakuna sababu mpya na ilio nje ya uwezo wao zaidi ya hizi serikali za CCM miaka yote kushindwa kuja na suluhu ya Kudumu ya hili tatizo. Serikali ya Magufuli ambayo Mama Samia alikuwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Tatizo kubwa la Cancer kanda ya ziwa Victoria

    Kuweni waangalifu. Kuna uchunguzi unaendelea lakini sijui kwanini serikali haiweki wazi hili Dar es Salaam. Chemical substances emanating from mining sites, consumption of local brews, population growth and fishing in the Lake Zone regions, have been identified by scientists as key risk...
  17. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Daraja la Mbaka, barabara ya Busokelo - Tukuyu, sasa tunaenda miaka 25 hii miradi haijakamilika, tatizo nini?

    Katika miaka 25 ambayo Magufui amekuwa kinara wa ujenzi wa mabarabara nchi, barabra ya Busokelo -Tukuyu imetia fora kwa kusuasua! Hivi leo ni mwaka wa 26 sasa, hakuna fedha zinenda kwenye mradi wa barabra hii muhimu. Wananchi wamelia na serikali lakini wapi. Jionee mwenyewe Mwenyekiti wa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Tangu vuguvugu la Mzee Lowassa hatuoni wala kusikia tena wimbi la wanaccm kuhamia CHADEMA. Tatizo nini?

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kabla ya uchaguzi wa 2015 ilikuwa kawaida sana kwa CHADEMA kupokea mamia ya wanaccm waliokuwa wakieleza wazi kuwa aidha wameichoka CCM au wamevutiwa na CHADEMA. Hali hiyo kwa sasa haipo kabisa badala yake kila mara tunatangaziwa wanachama wa CHADEMA...
  19. James Martin

    JamiiForums Tanzania January Makamba akiweza kutatua tatizo la umeme nchini atakuwa amejisafishia njia

    Hivi sasa nchi inapitia wakati mgumu kwa watumiaji wa umeme na mafuta. Kwa mtazamo wangu naona hizi changamoto zitakuwa zinamkosesha usingizi waziri husika. Lakini kuna kitu kinaniambia kwamba huyu kijana hatokubali kushindwa kuzitatua hizi changamoto. Sababu kubwa ni kwamba yeye anajua fika...
  20. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Kumaliza/kupunguza tatizo la maji safi Tanzania

    Wote tunafaham kuwa kumekuwa na changamoto ya maji safi ambayo pamoja na juhudi kubwa za Serikali inachukua muda kupata suluhu kwani kila wakipunguza eneo moja kuna eneo lingine linaongezeka kwa upungufu Tatizo 1. Visima/chemchem nyingi zimekauka/zinaendelea kukauka 2. Kuchimba kisima kwa...
Back
Top Bottom