tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lee

    JamiiForums Tanzania Msaada: Majibu ya vipimo vya UTI kufotautiana ndani ya lisaa limoja nini tatizo

    Wiki kadhaa nilikuwa nasumbuliwa na UTI baada ya kupata vipimo katika kituo cha afya X na doctor akanishauri nitumie dawa make alisema sio nyingi ni ya kawaida ..baada ya kumaliza dozi ikabidi nirudi kujiridhisha kama nimepona ugonjwa ila cha ajabu majibu yakatoka kuwa nina UTI ya kutosha kwa...
  2. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Tatizo la wajenga mabanda holela na kujiita Wamachinga Suluhu yake haitapatikana kirahisi

    Kwanza tuweke maana halisi ya Machinga, Machinga kwa asili yake ni mtu anae nadi na kuuza bidhaa zake kwa kutembeza. Ingawa hivi karibuni maana halisi ya Machinga haipo tena. Kimsingi Machinga halisi ukiachana nae dakika 20 uwezi kumpata tena. Maana ya Machinga kwa sasa ni mfanya biashara mdogo...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Simba SC ni kumkufuru Mwenyezi Mungu

    Sio kituo la kawaida kwa Simba iwe mbele kwa BAO 3-0 uwanja wa Mkapa halafu zote zirudishwe kwenye kipindi kimoja na timu ndogo kabisa kama Galaxy. Sio kitu Cha kawaida watu wenye ulemavu wa ngozi Tanzania kuwa mtu maarufu kama Haji Manara. Huyu mtu kufika level aliyonayo kwenye nchi kama ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wamachinga walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo

    Makelele ya kwamba wanaonewa sio kweli, serikali ipo makini sana na inajua inachokifanya na kwa faida yao hao wanaojulikana kama wamachinga. Ukweli mchungu na unauma, wafanya biashara hawa kwanza ni wakwepa tozo wakubwa, japo wana vibali lukuki, vingi ni feki na wanapobanwa hutoa chochote ili...
  5. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Cult following au tatizo la afya ya akili: Jinsi Biashara wanavyoshambuliwa na mashabiki wa Simba na Yanga

    Inashangaza kwa kweli. Yaani sasa hivi watu wamejaa mihemko tu na kuabudu watu fulani tu. Yaani wanatamani kama team ya mpira inayofanya vizuri iwe Simba au Yanga. Kama ni msanii, wanataka awe msanii wao tu Alikiba, Harmonize, au Diamond Kama ni siasa wanaamini mtu wao yeye ni malaika...
  6. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wataalam na wajuzi wa hili tatizo

    Windows 8.1 pro,nikienda huko kwenye setting inataka niweke NEW PRODUCT KEY sasa mimi sina hizo new product key,nazipataje na je ikifikia tarehe ya ku expire sitapoteza vitu vya humu kwenye hii pc? ama ni athari gani itatokea. msaada wakuu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Matendo ya Sabaya: Ukweli ni kwamba tulipaswa kupata Serikali Mpya ila tatizo Katiba haisemi hivyo

    Ukifikiri kwa makini, wote waliokuwa mabosi wa Sabaya chini ya Magufuli na wakuu wote wa vgombo vya ulinzi na usalama hawakupaswa kuendelea kuwa madarakani leo hii ila katiba ndio tatizo kwani haitoa hata fursa ya kufanya uchaguzi tupate viongozi wengine ambao bila shaka wangekuja na watendaji...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wamaasai na Wamang'ati wafugaji ni tatizo kubwa

    Wamangati na wanasai wanaochunga ngombe zao karibu Tanzania nzima bila mpango ni tatizo. 1. Kwanza kule Monduli kumekuwa kama Jangwa 2. Huku Bagamoyo na Lindi ni uvamizi kila siku na wizi 3. Sasa wanataka mbuga ya Ngorongoro! Serikali kutatua tatizo hili ifanye hivi Serikali itafute mbuga...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Chinese Vs. Tanzanians. Kuna Tatizo Serikali Inalifumbia Macho

    Ndugu zangu, kuna tatizo kubwa humu nchini ya ki usalama linaloendelea dhidi ya watanzania linalosababishwa na Wachina. Katika Miradi mikubwa inayotekelezwa na Wachina kuna sehemu ndogo za Mradi ambazo zingetekelezwa na Watanzania, lakini tatizo ni kwamba, hakuna kampuni ya Kichina inayoweza...
  10. Nuraty J

    JamiiForums Tanzania Tatizo kwenye simu

    Jamani habari, Ma mkubwa wangu simu yake inaandika hivi, tatizo itakuwa nini haswa 👇
  11. Lily Tony

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukosa hamu ya kula

    Habari za majukumu wakuu,poleni na majukumu ya kila siku. Wakuu nina changamoto ya kukosa hamu ya kula ,ingawa nina hisi njaa lakini ninakula chakula kidogo sana, nashiba. Hili limekua tatizo la miaka na miaka lakini kadri siku zinavyoenda hali inazidi tete kiasi nakosa amani,Nitumie nini ili...
  12. Logikos

    JamiiForums Tanzania Machinga; Je tunatatua Tatizo ambalo Halipo?

    Niliona Morogoro wanazindua vibanda vya Machinga... Hio ni vema na Haki... ila swali la kujiuliza tuna tatizo la mabanda au sehemu za kufanyia biashara ? Machinga Complex ilijaa au tulikosea wapi ? Unaweza kusema ingawa frame / maduka yapo ila ni gharama Je Machinga wanashindwa kujichanga...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwa albam hii, Ali Kiba ndio king kweli wa bongo fleva

    Wakuu Alikiba hapewi sifa anazostahili. Kibongobongo mpaka sasa hana mpinzani maana wengine wote wanacopy & paste. Albam zao huboa sana kwani hukusanya nyimbo zao tu zilizotolewa huko nyuma na kusema ni album. Alikiba only king ameitendea haki bongo fleva. Tunapata ladha ya mziki wa Tanzania...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Mark Zuckerberg wapotea kwa Dola bilioni 7 baada ya Mitandao yake kupata tatizo

    Utajiri wa Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg umeanguka kwa wastani wa USD 5.9 B hadi 7 kwenye saa ambazo mitandao ya Facebook, Instagram na Facebook ilipata tatizo la kimtandao, kwa sasa Mark yupo No. 6 kwenye orodha ya Matajiri Duniani akiwa na utajiri wa USD 116. 8 B. Kampuni ya...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Tatizo la LUKU limerudi tena

    Ni siku ya pili sasa kuna tatizo kubwa ya Luku. either kwa kununua kwa njia ya mitandao ama kwa wakala wao. Waziri mpya tulijua umeingia kuongeza kasi kumbe mambo ni yale yale...
  16. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Utegemezi wa nchi za Afrika barani Ulaya, umeendelea kuwa tatizo sugu. Maoni haya yenye tija yatasaidia kupunguza utumwa huu

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Nchi nyingi za Kiafrika zimeendelea kuwa tegemezi Barani Ulaya, Amerika, Asia na Mataifa mengine toka Mabara ya nje. Serikali nyingi za Afrika, zimeendelea kutegemea mikopo, misaada na sera za kiutawala na kiuchumi kutoka Mataifa hayo. Utumwa huu usiokoma...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie EFM hamuoni tatizo la kiufundi katika kipindi cha Ripoti ya Leo?

    Mafundi mitambo hamuoni tatizo la kiufundi ktk kipindi hiki? Sauti inagomagoma, kinachozungumzwa hakisikiki? Msitupotezee muda wetu
  18. technically

    JamiiForums Tanzania Kiufundi Simba Kuna tatizo kubwa

    Mechi 3 bao 0 yaani ufungi bao dakika 270 kwenye mpira haya ni maajabu kwa timu inayotetea ubingwa. Wachezaji hawajitumi Wala hawana Hali kabisa ukiwatazama usoni. Pamoja na kuuza wachezaji wawili ila Simba Kuna tatizo la kiufundi kwani Kuna mechi nyingi msimu ulioisha chama alikuwa amefiwa...
  19. Ntiyakama

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tabia inavyoweza kuwa Tiba au chanzo cha tatizo la kuvimba miguu (peripheral edema)

    Kuvimba miguu au mikono (peripheral edema) Edema ni uvimbe unaoonekana kwa macho unaotokana na mkusanyiko wa vimiminika ndani ya tishu za mwili. Uvimbe huu hutokea mara nyingi kwenye nyayo, ankle, miguuni na mikononi ambao huitwa “peripheral edema.” Uvimbe huu ni zao la kujikusanya kwa...
  20. Ntiyakama

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tabia invyoweza kuwa Tiba au chanzo cha tatizo la kuvimba miguu (peripheral edema)

    Kuvimba miguu au mikono (peripheral edema) Edema ni uvimbe unaoonekana kwa macho unaotokana na mkusanyiko wa vimiminika ndani ya tishu za mwili. Uvimbe huu hutokea mara nyingi kwenye nyayo, ankle, miguuni na mikononi ambao huitwa “peripheral edema.” Uvimbe huu ni zao la kujikusanya kwa...
Back
Top Bottom