Tatizo la marefa wa Kitanzania lilishatengenezwa muda mrefu na TFF awawezi kulikwepa

Mtanzanias

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,747
3,723
Nimeona mapovu mengi sana yakiwatoka mashabiki na wadau wengine juu ya penalty aliyopewa Yanga dhidi ya Namungo, Ni ajabu sana kuitolea macho penalty ya jana wakati matukio kama ayo yanatokea Sana na watu wanakaa kimya kwakuwa tiyali anaefaidika anakuwa keshavuna point zake.

Matukio kama haya simba ndiyo vinara wa kufaidika nayo karibia misimu 3 iliyopita na mpaka sasa ingawa nguvu yao ya kiuchumi kutengeneza mazingira ya nje ya uwanja imekumbana na upinzani mkali kutoka kwa yanga na gsm msimu huu, ivyo basi kinachotokea ni vita kali na mmoja anapozidiwa ujanja ndo unaona mapovu kama yote.

Msimu uliopita yanga alikuwa muhanga wa maamuzi mabovu ya marefa na tff walikaa kimya ivyo ivyo misimu 2 nyuma, sasa kwakuwa haramu ilionekani halali mwendo utakuwa ni hivi hivi kwa timu kubwa kubebwa na marefa, yanga akibebwa kaeni kimya kama mlivyozoea na simba akibebwa pia pigeni kimya, ndo tulikofikia kwa sasa, sio giant mmoja akiona ameshikwa masikio aanze kuibua malalamiko yasiyokuwa na kichwa wala miguu, mara fair competition mara hivi Mara vile ni ujinga kwakuwa mambo yamewageukia,
 
Ni mashabiki wa makolo ndio mishipa ya shingo imewatoka, wamesahau wao walivyokuwa wakipendelewa mechi nyingi tu.
 
Mimi naamini asilimia kubwa huwa hakuna hujuma isipokuwa uwezo mdogo wa marefa wa Tanzania. Hili mnaliona na kulitolea maneno kwa vile limeigusa mechi kubwa, lakini rudini kwenye mechi za timu ndogo mtakubaliana nami. Mechi ya juzi tu pale Mbeya ilikuwa vioja lakini hawakusema. Wallace Karia wakati anapata udhamini wa NBC alisema miongoni mwa maeneo atakayoboresha ni eneo la Waamuzi, lakini sioni maboresho yoyote mpaka sasa.

Binafsi nimekuwa mwamuzi muda mrefu lakini waamuzi wa siku hizi sioni wakifaidika na uwepo wa Teknolojia ya habari ambako wanaweza kuangalia na kujisomea sheria na mbinu za kuchezesha soka kwa usahihi.

Nikiangalia mechi macho yangu huwa kwa mwamuzi kwanza lakini wengi wana viwango vidogo sana.
 
Upo sahihi timu zinabebwa hata ulaya kubebwa kupo Lakin kwa akil ya juu Sana kias kwamba hata watu hawez kuhoji Sana .
Ubebwaji Kama ule wa Jana sijawahi ushuhudia tokea nianze kufuatilia mpira wa bongo mwaka 1992 had Leo hii sijawah ona upumbavu wa namna hii.

Wewe jamaa Ni shabik uliepitiliza had unaonekana kichwan kwako yamejaa mavi tu ,Simba haijawah kubebwa Kama ilivyobebwa yanga kwa Jana hii Ni aibu ya Karne.

Simba ndio imeonewa Sana hata mechi ya juz na ruvu Simba ilionewa Sana Lakin kwavile kichaa chako kimejaa mavi na kamasi lazima upinge .

Unadai yanga ilikaa kimya ,yanga ipi iliyokaa kimya ? Yanga hao hao si ndio vinara wa kutishia marefa kwa misimu yote ? Yanga Hawa Hawa walipoona wamezidiwa wakahamishia lawama kwa kalia na body ya ligi ,yanga ipi ya kukaa kimya?

Yanga hii hii ambayo iliumia Sana baada ya Azam kupigwa goli moja na Simba pale maji maji et benard kaanzisha mpira bila refa kuruhusu ,kisa hamkutaka mkutane na mnyama ambae aliwamanua kimoja Cha nguruwe pale kigoma.

Nasemaje mashabik Kama nyie inafaa mtafutwe nchi nzima mjazwe kwenye matipa alafu mkatupwe ziwa Tanganyika hatuwez kuendelea kuishi na wajinga wajinga kama wewe.

Kipind cha kwanza kila mtu aliona injia alivyokuwa amepagawa na kutaman mpira uendemapumziko ili apate nafac ya kumpigia cm refa na kweli ikawa Ivo .

Tafuteni ubingwa wa halal ndio maana kimataifa mnatia aibu kwa kupigwa nje ndani maana kule hakuna pira tigopesa.

Mmepigwa na River nje ndani sabab ya ujinga wa kujiona mabingwa wa kihistoria wakat ukwel hakuna kitu pale. Ubingwa wenu nyie Ni kumfunga Simba tu tofaut na hapo hamna kipaumbele ,kutwa kushindana na Simba ambaye kakuacha mbali Sana kwa ubora wa mpira ndio maana hata kimataifa Simba Ana point 20 wakat wewe una point moja ,mwenzio 15 kwa ubora baran Africa wewe 74 bado tu unakaza fuvu et Simba inabebwa.

Kwann yanga haikubebwa angalau huu msimu ingefika hata makundi tu kimataifa ili tujue Simba alivyofika robo alibebwa.

Roho ya kimasikin kumchukia tajir aliyekuzid kwa kila kitu pia anayekubeba.

Narudia Tena hii utopolo ukiendelea hiv hiv Kuna siku watu wataokota viungo vya binadamu huko uwanjan ,huu Ni upuuz na ulipaswa upinge huu uhuni na sio kuleta mlinganisho na Simba ,muda utaongea Kuna cku hii ligi itakuja kuharibika na kufungwa na FIFA kwa miaka kadhaa kwa kusababisha maafa yasio ya lazima na kupelekea kuwanyima watu burudan .

Najua utanijib tu we choko haya karibu Sana
 
Upo sahihi timu zinabebwa hata ulaya kubebwa kupo Lakin kwa akil ya juu Sana kias kwamba hata watu hawez kuhoji Sana. Ubebwaji Kama ule wa Jana sijawahi ushuhudia tokea nianze kufuatilia mpira wa bongo mwaka 1992 had Leo hii sijawah ona upumbavu wa namna hii...
Safi sana umelipa vijidonge vyake hili Liutopolo
 
Ni ukweli usio pingika wkt yanga wanalalamika waamuzi Simba na wachambuzi wao wakukaa kimya na kuwabeza eti hawanakikosi....Leo mkuki kwa nguruwe na hasa nilitamka wazi mpira wa tz tff ndio anapanga Nani awe bingwa bila hivi yanga mwaka Jana wangetwaa ubingwa Ila walinyanyaswa Sana kwa Hy muwe wapole safari ndio kwanza mbichi
 
Msimu uliopita yanga ndio iliongoza kufaidika na maamuzi ya ovyo kuliko klabu zote, ila kwa vile timu ilikuwa mbovu zaidi basi mnaona simba ndio ilibebwa zaidi.

Baadhi ya maamuzi mabovu: Yanga vs Simba, Yanga ilipewa penati kwa foul nje ya 18, Gwambina vs Yanga , goli halali la gwambina lilikataliwa na kupelekea mechi kuwa sare, Kmc vs yanga, yanga inapewa penati isiyo halali baada ya sarpong kujirusha.

Matukio ni mengi sana ya ovyo ya kuwabeba na mbaya zaidi matukio ya kuibeba yanga mengi huwa ya hovyo sana kiasi kwamba yanaonesha yanapangwa.
 
Ni ukweli usio pingika wkt yanga wanalalamika waamuzi Simba na wachambuzi wao wakukaa kimya na kuwabeza eti hawanakikosi....Leo mkuki kwa nguruwe na hasa nilitamka wazi mpira wa tz tff ndio anapanga Nani awe bingwa bila hivi yanga mwaka Jana wangetwaa ubingwa Ila walinyanyaswa Sana kwa Hy muwe wapole safari ndio kwanza mbichi
Mnajifanya vipofu au hamfuatilii ila msimu uliopita mmefaidika na maamuzi ya ovyo zaidi kuliko simba.Dhidi ya Kmc kule songea mnapewa penati ya hovyo, dhidi ya simba mnapewa penati foul nje ya 18, dhidi ya gwambina goli halali la gwambina linakataliwa. Kama sio maamuzi ya hovyo yaliyowafaidisha msimu uliopita mlitakiwa mmalize chini ya Azam.
 
Nimeona mapovu mengi sana yakiwatoka mashabiki na wadau wengine juu ya penalty aliyopewa yanga dhidi ya namungo, Ni ajabu sana kuitolea macho penalty ya jana wakati matukio Kama ayo yanatokea Sana na watu wanakaa kimya kwakuwa tiyali anaefaidika anakuwa keshavuna point zake...
Utaandika leo mpaka uchoke lakini ukweli unaujua,jana mmefanya uhuni wa kitoto kabisa mkisaidiana na Refa,nitashangaa sana kama Board ya Ligi watalifumbia macho hili.GSM anataka kuharibu sana huu mpira wakati tulishaanza kupiga hatua.
 
Mnajifanya vipofu au hamfuatilii ila msimu uliopita mmefaidika na maamuzi ya ovyo zaidi kuliko simba.Dhidi ya Kmc kule songea mnapewa penati ya hovyo, dhidi ya simba mnapewa penati foul nje ya 18, dhidi ya gwambina goli halali la gwambina linakataliwa. Kama sio maamuzi ya hovyo yaliyowafaidisha msimu uliopita mlitakiwa mmalize chini ya Azam.
Taarifa yako sio sahihi

Kwenye mechi ya kmc vs yanga kule songea kulikua hakuna penalty
 
Taarifa yako sio sahihi

Kwenye mechi ya kmc vs yanga kule songea kulikua hakuna penalty
Taarifa yangu ni sahihi ila wewe ndio hauko makini, nimeongelea msimu uliopita je msimu uliopita hakukuwa na penati kmc vs yanga kule songea? Yanga ilishinda 2-1 na goli moja ni la penati ya hovyo.
 
Upo sahihi timu zinabebwa hata ulaya kubebwa kupo Lakin kwa akil ya juu Sana kias kwamba hata watu hawez kuhoji Sana. Ubebwaji Kama ule wa Jana sijawahi ushuhudia tokea nianze kufuatilia mpira wa bongo mwaka 1992 had Leo hii sijawah ona upumbavu wa namna hii...
Kabla ata sijakujibu umeshaonyesha ni punguani wahed,,kitu cha kwanza ushaonyesha ni shabiki lia lia wa makolo fc ambao ndo mnapayuka ovyo ovyo apa bila hoja za msingi, mmefanya michezo mingi ya ovyo ovyo kupitia marefa na kwakuwa wewe ni kolo mojawapo ukuweza kunyanyua bakuli lako kukemea isipokuwa umeona ya yanga, Mtaendelea kuumia sana na bado iyo ni trela tu lile fungu alilokuwa amelitenga bosi wenu mzee wa kususa kwa waamuzi na timu pinzani kwa sasa limepungua Kama sio kukata kabisa ndo maana mnapata ukichaa wa ukubwani.

Sasa hivi mnabaki kurukia matukio ambayo nyie ndo mabingwa wa michezo michafu nani asiejua? Huo ubingwa unaousema umeubeba kwa njia zipi mpuuzi wewe, viporo 7 ulishaona wapi duniani? Magori mangapi yanga wamefunga msimu uliopita na waamuzi hao hao wakayakataaa, ulikuwa kiwete mda huo? Unajitapa mmefika robo fainali kwani atujui michezo yenu mliyokuwa mnafanya pale uwanjani?

Sasa mliposhtukiwa Mara hii mmeishia wapi? Wewe ujui kitu kaa kimya jielekeze kubishana na mataahira wenzako uko, viungo vya binadamu tungeanza kuokoto kwenye mechi za simba lakini tulikuwa tunajua yana mwisho na sasa dawa inaanza kuwaingia taratibu tutaelewana, kila timu ishinde mechi zake tuone mwisho wa ligi, akuna kucheka na kima safari hii michezo yenu mliyokuwa mnaifanya iyoiyo ndo itawageukia na kuwa kitanzi cha kuwamalizia, fitna bin fitna mlianza sisi tunamaliza
 
Hii league ya bongo ni ya Simba na yanga tu ....

Timu nyingine haziruhusiwi kushinda mbele ya hizo timu

Mimi ndio maana sinaga muda na ligi ya kipimbi namna hii
 
Msimu uliopita yanga ndio iliongoza kufaidika na maamuzi ya ovyo kuliko klabu zote, ila kwa vile timu ilikuwa mbovu zaidi basi mnaona simba ndio ilibebwa zaidi...
Mnafanya hasira za hovyo Tu. Hao Yanga msimu uliopita walinyanyaswa na mwamuzi mechi yao na Namungo hao hao mpaka mwamuzi akafungiwa. Sema waamuzi wa ki Tanzania uwezo mdogo
 
Mnafanya hasira za hovyo Tu. Hao Yanga msimu uliopita walinyanyaswa na mwamuzi mechi yao na Namungo hao hao mpaka mwamuzi akafungiwa. Sema waamuzi wa ki Tanzania uwezo mdogo
Sio hasira ila tunaweka wazi matukio ya kuwabeba baada ya baadhi yenu kuanza kupotosha kwa makusudi kwamba marefa ndio wamesababisha msimu uliopita yanga isiwe mabingwa. Waamuzi ni wa hovyo ila kuanzia mashabiki hadi viongozi tunaendekeza ushabiki.
 
Kumbe na wewe huwa unatizama ligi ya bongo mkuu
Hivi watu mnawezaje tazama mechi watu wanacheza kama wako majarubani au mbugani.

Timu haziwezi ata kupigiana pasi 10 kwa wakati. Kilichonishangaza jana penalty inapigwa watu wamejaa kwa box kumsindikiza mpigaji
 
Upo sahihi timu zinabebwa hata ulaya kubebwa kupo Lakin kwa akil ya juu Sana kias kwamba hata watu hawez kuhoji Sana .
Ubebwaji Kama ule wa Jana sijawahi ushuhudia tokea nianze kufuatilia mpira wa bongo mwaka 1992 had Leo hii sijawah ona upumbavu wa namna hii...
Uliangalia mechi ya simba vs kmc mwaka juzi? Kwanini useme tangia 1992?? Acha ushabiki maandazi boya wewe. Mleta mada kaweka wazi kuwa haya mambo yanatokea kila msimu ila hampigi kelele. Simba vs yanga kagere anaangushwa nje mzigo unawekwa penati nayo hukuona??

Wewe ni kilaza mzee....
 
Back
Top Bottom