tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba tuna tatizo kubwa sana la uongozi wenye uwezo

    Duniani kote hatua kubwa za kimaendeleo zinaathiriwa kwa kiasi kikubwa na viongozi wa kisiasa. Hawa ndio hutoa maamuzi ya mwisho kuhusu mstakabali wa Taifa. Hivyo tutake tustake lazima viongozi wetu wakuu wa kisiasa wawe akili kubwa, na wawe weledi. Anzia Marekani, njoo Uingereza, pita hapo...
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo lipo kwetu Waafrika, si kwa Mataifa ya Magharibi

    TATIZO LIPO KWETU SI KWAO Madhara na unyonge unaotukumba Waafrika, sababu kuu ni sisi wenyewe. Ni kweli wazungu wanaendelea kutubana kwa kutumia mbinu tofauti lakini uhusika wetu katika kufika hapa tulipo bado unabaki kwetu. Huwa najiuliza na kukosa jibu nikiangalia mifano michache ifuatayo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uume kusinyaa baada ya kuvaa kondom limekua sugu

    Wanaume wengi wanalalamika sana mtu unapata shoo na unaingia gesti ili unachezea mtoto na ngoma inasimama ile unavaaa kondomu ngoma inasinyaa. Hili limekuwa tatizo kubwa sana. Hizi kondomu za siku hizi zina matatizo?
  4. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kutatua tatizo la kushindwa kujiamini

    Habari wana JF, mimi ni kijana umri miaka 30. nina familia mtoto mmoja na nimeajiriwa kazi nzuri tu. Kwa haraka haraka naweza kusema maisha yangu ni mazuri kwa hilo nashukuru Mungu. Kilichonifanya kuandika uzi huu ni tatizo langu ambalo nimekua nalo muda mrefu naweza kusema toka nimezaliwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hoja alizoibua CAG sio ufisadi mpaka zikose majibu

    Upuuzi ni ile hali ya kutotumia busara muda wote na kujadili ujinga ili hali unatakiwa kujadili masuala ya msingi. Utaratibu wa kufanya auditting unajulikana dunia nzima. Mkaguzi huibua hoja anapokuwa anafanya kaguzi. Hoja hizi mara nyingi huwa ni mashaka juu ya muamala uliofanyika na mara...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Apple ni moja, mtu mwenye Iphone 11 na Iphone 13 hawana tofauti.

    Mojawapo ya Kinachosababisha sizipendi simu za Iphone ni muonekano. Iphone matoleo 3 ama hata 4 yanaweza kufanana usijui yupi anatumia simu ipi na yupi ana simu ipi. Kwa mfano, hii design ya macho 3 ilikuja na Iphone 11, haijabadilika hadi Iphone 13, mtu mwenye Iphone 11 na Mwingine ana Iphone...
  7. JamiiForums Tanzania MSAADA: Namna ya kutatua tatizo la kuzuiliwa kuweka matangazo facebook ukurasa wa biashara

    Jamani wataalam. Nina shida katika ukurasa wangu wa biashara wa facebook. Inaandika BOOST UNAVAILABLE katika post zote. Kiujumla upande wa matangazo AD haufanyi kazi kabisa. Naomba msaada wenu maana mimi naishi kutokana na matangazo baada ya ku-boost katika akaunti yangu ya biashara. Mtu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uvivu wa wananchi na bunge ni vya kulaumiwa kwenye bei ya chakula

    Utamaduni wa uvivu ndiyo umesababisha tatizo kubwa la bei ya Chakula. Hakuna sababu ya Tanzania kuagiza mbolea, ngano, mafuta ya kupikia na sukari. Uvivu huu sio kwa Tanzania nzima lakini mikoa ya pwani, kati na mashariki inaongoza kwa uvivu. Vijana wanataka kukaa mijini tu bila shughuli wakati...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape chunguza hili tatizo la kupungua kwa spidi ya internet ya Mitandao ya Voda na Airtel

    Kwako waziri Nape Siku za hivi karibuni kumejitokeza hali isiyo ya kawaida ya spidi ya Mitandao ya Voda na Airtel kuwa ndogo sana. Licha ya spidi kuendelea kuwa ndogo lakini gharama za vifurushi vyao imeendelea kuwa ileile (ukiachilia mbali like sakata la mwaka Jana la kupanda bei za...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya sekta ya nishati ni tatizo la Serikali, kumtwisha Januari Makamba ni kutufanya watanzania mazuzu!

    Imekuwa kawaida Kwa Chama Tawala, kujikita ZAIDI kwenye Siasa za Uchaguzi kuliko kuangalia utatuzi wa chaangamotto na kuondoka umaskini! Sekta ya Nishati ni mojawapo ya Eneo ambalo Vita vya Wana CCM hupigwa vizuri sana, Kila unapoekea Uchaguzi! Leo nimemsikiliza Karibu Mkuu wa CCM ,nimebaini...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Naharisha kila nikila nyama yenye mafuta

    Ndugu zangu madaktari wa jf nina shida kila nikila nyama nyenye mafuta nakua naharisha sana. Mfano jana nimekula nyama ya mbuzi iliyopikwa mchuzi nimeharisha mpaka damu. Naombeni msaada jamani
  12. JamiiForums Tanzania DAR: Mgonjwa atibiwa tatizo kwenye ubongo bila kufungua fuvu

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Ramaiah India imeendesha kambi maalum ya uchunguzi na tiba ya mishipa ya damu kwenye ubongo bila kufungua fuvu kwa mbinu za kisasa. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Respicious Boniface amesema zaidi ya wagonjwa 160...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo la bei za Mafuta ya Petroli kupanda ni Serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo

    Tatizo la bei za mafuta ya petroli kupanda ni serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo. Ikumbukwe tunawatalaam wa mafuta. Hakika hawa wangeweza kutuvusha katika kipindi hichi kigumu. Wangeweza hata kutengeneza mafuta kutoka kwenye makaa ya mawe kwaajili ya kupunguza utegemezi...
  14. JamiiForums Tanzania TARURA na mfumo wa maegesho kuna tatizo kubwa

    Nakumbuka mwanzo mwezi wa oktoba 2021 mfumo huu ulipokuja ulikuwa na changamoto nyingi mpaka ikabidi usimamishwe kwanza ili kuangalia namna mpya ya mfumo unavyofanua kazi ili kuepusha usumbufu kwa watumiaji wa maegesho.Lakini cha kushangaza mfumo huu umerudi na mbaya zaidi tatizo badala kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzuia tatizo la kuharisha safarini

    Tatizo la kuharisha safarini linatatiza sana na pia huabisha. Shida hii husababishwa na sumu zilizotengenezwa na bakteria au virusi uliowameza kwenye msosi. Ni jinsi gani ya kujizuia. 1. Usile vyakula vichafu hasa usiku kabla ya safari. Wengi wanaopata shida ya kuharisha safarini si sababu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Japhet Hasunga (Mbunge wa Vwawa): Tatizo la Ajira litakuwa bomu kubwa lisipowekewa mikakati

    Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga amesema Vijana wengi wana wamesoma hadi ngazi ya Chuo na kupata Elimu lakini Ajira imekuwa changamoto. Akizungumza Bungeni amesisitiza hatua zisipochukuliwa, litakuja kuwa bomu kubwa. Amefafanua, "Serikali imesema itatoa Ajira zaidi ya 32,000 lakini hiyo itakuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Tatizo la ubovu wa kijiko cha bandari ya Tanga lakwamisha makumi ya malori ya kubeba shehena ya clinker

    Hii nchi ina vituko sana! Huko Tanga wheel loader ama kijiko kwa lugha maarufu kimekwama kupakia maroli ya kubeba shehena ya material ya kutengenezea cement yaani clinker kwa ubovu wa kuvuta miss. Hali hiyo imesababisha makumi ya maroli kukwama kubeba shehena hiyo kwa sababu hilo la mashine...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia aingilie kati tatizo la wazee kuwaoa mabinti wadogo; aagize sheria ya ndoa kurekebishwa

    Jambo wakuu! Sitaki kuwachosha, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kumekuwa na wimbi baya la wazee kuwaoa mabinti wadogo ambao ni sawa na watoto au wajukuu zao na kibaya zaidi, baadhi ya wazee hao waliwahi kulitumikia taifa kwa nyadhifa kubwa. Tofauti na matarajio ya wengi kuwa wazee hawa...
  19. JamiiForums Tanzania Harakati na kelele za mitandaoni haziwasaidii CHADEMA, zinawaingiza mkenge kila siku ila hawajifunzi

    Naona mnajidanganya kuwa kelele zenu mitandaoni zinawasidia kusikika na kuonekana mnazo hoja kiasi cha kuanza kujipiga kifua. Ninyi bado hamjapata sapoti kupitia mitandao mnajidanganya kama watoto wadogo. Uhalisia wa mnachodhania kuwa mnasapoti kubwa kutoka kwa wananchi kupitia mitandao ni...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada: Uso wangu upo rafu sana, nina mba sana na nimeshatumia antifungal creams za kila aina

    Uso wangu upo rafu sana..nina mba sana na nimeshatumia antifungal creams za kila aina ila bado mambo bado,hata za kumeza pia kama fluconazole,itraconazole lakini mba unaisha na uso unakaa vizuri kwa siku chache tu mba wanarudi tena kwa kasi ya ajabu. Wakuu mwenye experience ya hii shida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…