tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbwa wanaponatana wakijamiiana tatizo huwa kwa jike au kwa dume?

    Ningependa kujua mechanism inayosababisha wanatane. Asante
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tudadavue ukubwa wa tatizo la ajira nchini: Ni wangapi wanaingia kwenye soko la kutafuta ajira kwa mwaka? Uwezo wa kuajiri (serikali & private)?

    Je ni waalimu wangapi kwa mwaka wanaingia kwenye soko la ajira kutafuta ajira wakiwa na certificate, diploma na degree? Je ni kwenye sekta ya afya kwa kada mbalimbali ni wangapi wanaingia sokoni kwa mwaka kusaka ajira wakiwa na certificate, diploma, degree nk. Hali kadhalika kwa wanasheria...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani na MWAUWASA?

    Nashindwa kuwaelewa Mamlaka ya Maji Mjini Mwanza kwa eneo la Mwananchi kukosa maji sasa wiki nzima ilihali tuna Ziwa Victoria umbali wa kilomita moja. Hivi MWAUWASA mna matatizo gani? Tunaiomba Serikali ichukue hatua kwa Mamlaka hii. Tumechoka, tumechoka.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Tukubali au tukatae, lipo tatizo kubwa sana katika sekta ya nishati ya umeme hapa nchini kwetu Tanzania

    Hili la umeme kwangu mimi Uzima Tele ndilo pekee hunifanya nimkumbuke kwa uzuri hayati Rais John P. Magufuli kuwa alifanya vyema chini ya u - Rais wake. Honestly, katika kipindi cha uongozi wake ni kama aliona tatizo lilipokuwa, akachukua hatua na kulidhibiti na kukawa na hali ya utulivu ya...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Ni tatizo la wasomi walio wengi

    Reading without reflection is like eating without digestion. Wanaojiita wasomi wengi ni tatizo, nilimaliza DUCE mwaka 2016 nikaanza kutembea na cheti kudhalilika kuomba kazi, nikalaumu sana serikali kwa kusitisha ajira, kimsingi mikaa nikajiuliza hivi kweli kila atakae hitimu kwa wingi huu wa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilipoingia ofisini tu Mufti alinijia na furushi la migogoro ya mali za BAKWATA, ila tatizo wamelitengeneza wenyewe

    Nilimsikia Rais akihutubia Baraza la Eid alisikika akisema alipoingia madarakani tu Mufti alimjia na lundo la mafaili ya migogoro ya mali za Waislamu. Akasema kwa bahati mbaya alipochunguza mafaili yale yana utata kwa kuwa wahusika wakubwa wa hizo sintofahamu ni wahusika wenyewe. Naomba kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Je, tatizo la nchi zetu za watu weusi ni kuwa na uwezo Mdogo wa fikra?

    Naomba mawazo ya Great thinkers yatumike hapa. Yaani unakuta mtu Katika familia hana uwezo wa kuwafanya watoto au kuwaandalia maisha kipindi akiwa Mdogo hadi kuwa mtu mzima yaani unazaliwa bila kuoneshwa njia yakupita na wapi utokee ili ufike salama. Mfano Mimi binafsi kipaji changu cha asili...
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwanza ni Jiji la pili kwa ukubwa na wingi wa watu lakin Barabara ya Kenyatta ni mbovu na haina hadhi kabisa

    Ninamasikitiko sana ingawa Mwanza ni Jiji la pili baada ya Dar lakini barabara ya Kenyata ni mbovu sana kuliko barabara zote kuu za Tanzania. Serikali inatakiwa iiangalie hii barabara kwa jicho la kipekee, barabara inatakiwa ifumuliwe yote kuanzia Mwanza mjini hadi Shinyanga boarder km 104 na...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo ni wananchi wanakotoka viongozi

    Baada ya kusoma chapisho hili... Na lile la Abbas Tarimba kutaka ongezeko bei ya mafuta, Naomba niseme mapema... Kama nchi Bado tuna safari ndefu sana! Haya ni matokeo tu! Tatizo kubwa lipo na linaanzia kwa wananchi hadi kwenye mifumo ya uchaguzi! Uchaguzi wa ovyo ovyo tunaishia kupata viongozi...
  10. JamiiForums Tanzania Unadhani vijana wakipewa mikopo ya biashara, itaondoa tatizo la ajira Nchini?

    Habari wanajukwaa.... karibu uchangie hii mada kwa leo inakujia mara moja kwa week. #FUNGUKA. .......
  11. JamiiForums Tanzania Napata maneno haya mara kwa mara ninapoperuzi Facebook. Tatizo Nini?

    Salaam wanajukwaa. Kama kichwa Cha habari kinavyosomeka hapo juu. Nimekuwa naletewa ukurasa huu ufuatao Kila ninapoperuzi Facebook. Tatizo nini?
  12. JamiiForums Tanzania Je, hili la michezo ya upatu ni tatizo la afya ya akili au ulimbukeni tu?

    Salaam wakuu Nimejaribu kutafakari Wimbi la watanzania kuingia kwenye michezo mbali mbali ya upatu pamoja na tahadhari nyingi kutolewa na hata kusikia kilio cha wengi baada ya Deci na wengine wanaofanana na hao. Jana kuna mdau kaja akijinasibu kuingia kwenye Berry. Compounding huku akinisihi...
  13. JamiiForums Tanzania Muonekano wangu ndio tatizo

    Jamii forums ni sehemu sahihi ya kupata ushauri, samahani Kama ntakuwa nawakera kuleta mada mpya kila siku Nina Visa na mikasa kwenye life langu. Mimi ni mtoto wa 5 Kati ya familia yenye watoto 8,sitaielezea familia yangu kwa undani Kuna watu watafahamu code, nina diploma ya uhandishi wa habari...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ukosefu wa ajira, makosa ni ya Serikali, Jamii au mtu mwenyewe?

    Katika jamii na taifa kwa ujumla kuna tatizo kubwa la ukosefu wa ajira. Watu wengi: waliohitimu mafunzo na wenye taaluma pamoja na wasio wahitimu pia wasio na mafunzo, hawana kazi za kufanya. Kwa vyovyote vile, hali hii si nzuri kwa ustawi wa mtu mmoja mmoja, jamii au taifa. Suala la kazi au...
  15. JamiiForums Tanzania Tatizo la tumbo kuuma kwa kubana na kuachia kwa mwanamke

    Habari waungwana na poleni kwa majukumu, Nina mwanamke wangu ambaye alimaliza kujifungua na huu ni mwezi wa tano kwenda wa sita anatatizo la kuumwa tumbo kwa kubanwa chini ya kifua na vile vile hapati hamu ya kula. Ni kama misuli ya tumbo inauma na kuachia. Ninaombeni ufumbuzi kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Usumbufu wa kumtafutia mwanao Mitandaoni shule bora sasa umekwisha

    Kutokana na usumbufu uliokuwepo wa kutafuta shule nzuri kwa ajili ya mwanao. Kama mzazi au mwanafunzi ulikuwa na ndoto za kupata shule nzuri. Iwe ni shule ya private au government au ulikuwa ukijiuliza nichague shule gani iliyo na ufaulu mzuri kimkoa au kitaifa kwa ujumla. Tatizo hili kwa sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Nauliza tu, Profesa Nabi yuko wapi? Au ana tatizo gani?

    Sikumuona Profesa Nabi Lubumbashi mechi na TP Mazembe, na leo simuoni mechi na Geita bado Kaze ndio anaongoza timu. Sina mashaka yoyote na Kocha Kaze maana kwa hadhi yuko hadhi sawa na Nabi kocha ya kwamba anahudumu kama msaidizi wa Nabi. Ila nataka kujuwa Profesa Nabi amepatwa na tatizo gani...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Mwita Waitara amwaga machozi mbele ya Wanahabari

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameilalamikia Serikali ya mkoa wa Mara kwa kutomshirikisha katika zoezi la uwekaji wa vigingi vya mipaka katika hifadhi ya Serengeti. Waitara ametoa malalamiko hayo leo mach 28, 2023 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  19. JamiiForums Tanzania MSAADA: Nini suluhisho la tatizo la sauti kwenye decoder ya DSTV?

    Wakuu, salam kwenu Jamani, kuna shida imeipata decoder yangu ya DSTV. Tatizo hili limeanza J4 pale nilipoiwasha asubuhi nikashangaa sisikii sauti licha ya sauti kuwa fullbars kwa pande zote; tv na decoder. Inasikika kwa mbali sana hata ukiwa karibu na tv ni ngumu kusikia vizuri. Nilijaribu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la simba ikizidiwa umiliki wa mpira linahitaji jawabu haraka

    Baada ya Simba kufika QF msimu huu kuna kitu kimoja nimekiona na Mchambuzi wa AZAM SPORTS amekiongelea sana Ndugu Ramadhan Mwaduke. SIMBA inatatizo hili kwa muda mrefu sasa at least YANGA wanauwezo wa kupambana nalo. SIMBA ikizidiwa umiliki wa mpira kwa asilimia 60 au 70 inapoteza mwelekeo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…