tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hersi Said ni tatizo Yanga;machoni kama mtu ila ana roho mbaya,makocha na wachezaji hawampendi

    Ukimuangalia sura yake kwa kuzoom utaona chembechembe za kiburi na dharau. Feitoto alisema bayana ila wako wengi tu hawamkubali,kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji. Acha kiburi ba majivuni mdogo wangu
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo la kuchanganya mafuta

    Habari za leo wadau wa jukwaa hili, leo kwa bahati mbaya nimechanganya mafuta, nina gari aina ya hiace ambayo inatumia Petroli, nimekwenda kituo cha mafuta muuzaji bila kuuliza akashindilia diesel kama lita 4 hivi na ndani ya tank kulikuwa kama na lita 7 za petroli nilipoondoka tu umbali...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Viongozi wetu wanafanya kazi kwa weledi uliotukuka, tatizo ni sisi!

    Nawashangaa wanaopiga kelele; viongozi wetu wabadhirifu, wala rushwa, wanaingia mikataba isiyo ya maana kama enzi za ukoloni za kubadilisha dhahabu na vipande vya jiwe na kadhalika, tunawalaumu bure tu, kuwatwisha msalaba usiowahusu. Hivyo ndivyo walivyokuwa toka wakiwa wanaomba ridhaa ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ndugu alisomeshwa sekondari hadi chuo na kusaidiwa kupata kazi kakata mawasiliano kabisa na familia iliyomsaidia na kumjali, ni sawa?

    Bamkubwa wangu aliweza kumsomesha ndugu yake aliekuja nyumbani kwake kutoka kijijini, aliweza kumsomesha form 1 hadi chuo na kumtaftia kazi. kijana huyo aliweza kupokelewa vizuri na kuwa sehemu ya familia, yani kuanzia bamkubwa, mke wake, watoto wao watano na wengine kwenye nyumba waliishi nae...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kama tukifuga wale mijusi weupe nyumbani tunaweza kuondokana na tatizo la mbu

    Aisee hii mijusi ni msaada sana kwenye ulaji wa mbu, na kimsingi wanasaidia kupunguza idadi ya mbu nyumbani. Sasa hivi home nina mijusi 100, huwa sihangaiki kupiga dawa siku hizi. Mambo yanaenda naturally.
  6. JamiiForums Tanzania Hatua zipi za kufuata ili mdogo wangu apate shule ya Serikali

    Habari za wakati huu wanajukwaa, Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne Alipata ufaulu wa Division 2 na alisoma masomo ya Sanaa(arts) Kapata selection ya chuo cha uhasibu Dar es salaam (TIA) lakini kwa uchumi wangu sasaivi sijasimama kwaio itakua changamoto kidogo kumudu ada ya 890,000/= kwa...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Tatizo la udumavu au utapiamlo kwa watoto walio na umri chini ya miaka mitano hasa katika maeneo ya vijijini

    Habari zenu wanajamii wenzangu wa JamiiForums , katika makala hii fupi ninayoandika ni kwa lengo la kuelimisha na kufundisha wazazi na walezi juu ya umuhimu wa lishe bora hasa kwa watoto wadogo walio chini ya umri wa miaka mitano katika maeoneo ya vijijini na hii itaweza kusaidia kutengeneza...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa Rushwa ndiyo tatizo kubwa

    Rushwa na adui wa taifa. Nitoe mifano miwili 1. Undeshaji wa mabasi ya mwendo kasi una rushwa kiasi cha viongozi kuharibu mfumo wa kununua card za ticket. 2. Bandari nayo ufanisi mdogo ni hawa hawa viongozi wetu kupitisha mizigo ya marafiki bure. Hawa waarabu wanakuja na kutumia mifumo ile...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo la ngozi linanitesa

    Habari za leo ndugu zangu,najua humu Kuna madaktari au sio daktari lakini unaweza kunielekeza wapi kwa kupata msaada. Kama kichwa kinavyojieleza nimekuwa na tatizo la kuumwa ugonjwa wa ngozi mnoo nimeshatumia dawa mbalimbali kutoka kwa specialist mmoja (za kupaka) lakini bado.naomba anayejua...
  10. JamiiForums Tanzania Nimepata Matatizo ya Kiafya baada ya kujifungua

    Habari zenu. Naombeni ushauri kwa ufupi. Nimejifungua mwaka huu ila nimepata presha baada ya kujifungua nikavimba na kuumwa kifua sasa. Hospitali moja wakasema nimepata tatizo la moyo wakanipa rufaa kwenda hospital kubwa lakini wanasema moyo upo salama japo mapigo ya moyo yanapiga sana na...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Tatizo la ajira laweza kuisha na kubaki kuwa historia Tanzania

    Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanahitaji mambo muhimu kama ifuatavyo: Ardhi, Watu, Siasa safi na Uongozi bora. Utawala bora na uwajibikaji vipo ndani ya siasa safi na uongozi bora. Tukiimarisha utawala bora na uwajibikaji katika nchi yetu, tatizo la ajira litaisha na kubaki kuwa historia...
  12. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga SC toka jana mpaka leo mna hasira, sana tatizo ni nini?

    Hawa uto vipi kila ukimgusa shabiki wa hii timu utasikia sisi tuna medali nyie mna nini wana fokafoka tu 😆😆😆 Toka mama alipopigilia msumari kuhusu dogo Fei na leo Saidoo kaweka goli tano huku akimpumulia kisogoni Mayele hawa uto wamekuwa na makasiriko ya ajabu, nyie uto mna shida gani si mna...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa tatizo la Kiafya

    Habar za mida ndugu zangu. Mimi nahitaji msaada wenu kuna tatizo linanisumbua. 1. Katikati ya kifua na tumbo panavuta Sana kwa ndani mpaka nahisi kama nimeweka mzigo mkubwa maana nahisi uzito. 2. Nahisi Ganzi kichwani, Mbavuni, tumboni na hii inapelekea mbavu na kifua kuhisi kama nimebanwa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kukutana na tatizo hili kuhusu kampuni ya Zola naombeni ushauri

    Kampuni ya nishati ya jua ya Zola walinifungia mtambo wao, lakini ajabu tofauti na makubaliano mtambo huu uligoma kuniwashia TV, na pia umeshindwa hadi kunichajia simu! Nimejaribu kuwasiliana na Zola wamekuwa wananiahidi uongo. Mara tutashughulikia lakini hadi leo miezi zaidi ya kumi imepita...
  15. JamiiForums Tanzania Love bites kwa wadada hutokea kwa wingi Mwisho wa wiki na Mwanzo wa wiki tatizo ni nini?

    Pamoja na kaajira kangu ka kubangaiza mimi pia ni dereva bajaji huwa nikichomoka kwenda job asubuhi lazima niitumie bajaji kukusanya watu kituoni na kuelekea nao posta na nikirudi pia hivyo hivyo. Katika harakati zangu za kipimbi kuna kitu nimegundua wadada wengi kipindi cha mwisho wa wiki...
  16. JamiiForums Tanzania Tatizo la gari za engine ya 1NZ kuji lesi ghafla ikiwa idle

    Kuna jamaa yangu ana IST, cc1490, 1NZ engine, akiiacha gari inaunguruma na silence ya kawaida,ghafla unashangaa imejiongeza lesi na kuwa juu, halafu baada ya dakika 4, inashuka kuwa normal, shida nini wakuu? Msaada tafadhali.
  17. JamiiForums Tanzania Hamisi Kigwangalla ana tatizo la Afya ya Akili?

    Twende kwenye mada, Hamis Kingwangala mbunge wa Nzega Vijijini amekua na matukio mengi sana kukosana na watu, kuwatishia na silaha na kuwajeruhi na silaha. Kama mnakumbuka jamaa aliwahi kutishia watu huko Mbarali Mbeya na Bastola kipindi analima Mpunga Mbarali. Pia aliwahi kuwa na ugomvi mkubwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuchangisha walimu mchango wa mwenge

    Hili suala la kuchangisha walimu mchango wa mwenge limekuwa endelevu Kwa sababu Kila mwaka walimu wanakuwa wakichangia Kwa kulazimisha. Mbaya zaidi Kila mwaka fedha inakuwa ikiongezeka mfanonkutoka sh. 2000 kwenda sh. 5000. Hapa walimu wanatakiwa kujua nini Kilichosababisha ongezeko hilo. Hii...
  19. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada. Nadhani nina tatizo, hii si hali ya kawaida

    Ni miaka mingi sana kuna jambo nikiona mwanamke anafanya nachanganyikiwa kabisa. Na huwa napenda sana linanisisimua sana mwili. Napenda sana kumwona mwanamke anakojoa. Yaani kama ni mpenzi wangu nitataka achuchumae akoje nimwone huku nashika shika mkojo wake. Halafu nimnawishe. Au kama...
  20. JamiiForums Tanzania Mvua ndiyo ilikuwa tatizo Uwanjani. Tumejua makosa yetu ni...

    Mvua jana ndo ilitunyima ushindi. Uwanja ukawa unateleza. Na pia iliondoa .... Kabisa. Waarabu wanatumia sana majini. Morrison hakuwa wa kukosa lile goal. Namjua Morrison maeneo kama yale. Lakini wale washenzi walikuwa na majini yao hadi uwanjani. Tumepambana sana tulikosea padogo tu. Ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…