Kuna tatizo gani Airtel Money leo?

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,012
Leo nimetuma pesa kutoka akaunti ya NMB kwenda airtel money pesa haikufika. Nikatuma tena kutoka Tigo pesa nayo haikufika. Nimepiga simu huduma kwa wateja mhudumu akasema hanisikii vizuri akakata simu. Kuna mtu amekumbana na hili tatizo au ni mimi tu🤔
 
Back
Top Bottom