Charger yangu inapata joto kali nikichajia power bank, inaweza kuharibika ama kuharibu power bank? Nini sababu na suluhisho?

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Chaja nikichajia simu wala haina shida lakini hali ni tofauti kwa power bank, inapata joto kali nikichajia power bank, zikipita dakika 40 hivi charger inakuwa na joto si mchezo.

Charger yangu details zake ni hizi

Samsung - Adaptive Fast charging

Input: 100 - 240V, 50-60Hz 1.0A
OUTPUT: 12.0V/2.1A or 9.0V/1.67A or 5.0V/2A

Details za Power Bank

Input: Type-C 18w(5v/3A, 9V/2A, 12V/1.5A)
Output: QC 3.0 (5V-6.5V/3A)

Natumia waya nilioukuta kwenye power bank kuchaji
 
Mkuu Fast charging ni kawaida kupata joto, huwa kikawaida simu za Samsung zimekuwa Configured zisitumie hio 25W at full Capacity,

Cha muhimu hapo angalia powerbank inapata sana joto? Maana battery kupata joto si kitu kizuri.
 
Power bank haipati joto lakini charger zinapata joto kali sana kama pasi

nimeshatumia vichwa vitatu, cha kwanza nilidhani kibovu ni charger ya oraimo, nikaona ninunue cha samsung hiki nacho vile vile.

yani inanilizimu nichomoe kila baada ya dakika 40 ipoe
 
Tafuta charger ya kawaida mkuu ambayo si fast charging. Ama tumia chaja za laptop za type C.
 
Chief hizo za kawaida nimezicheki huwa hazidi 10 watts.

Watts = v x a

"
Is normal charge same as fast charger?

It's all down to the charger's wattage. A mobile phone charger with an output of 5 to 10 watts is considered a regular or standard charger. A charger with an output of 15 watts or more is regarded as a fast charger. At the higher-end, fast charging can have an output of 45

Ndo maana yake mkuu, sababu chaja ya kawaida haita Over heat.

Pia hio chaja ya Samsung ilikuja na simu? Most of time Samsung hawa include 25W charger kwenye Box, kuna possibility ndogo ikawa sio OG.
 
Nimeshajaribu charger 3 za samsung ikiwemo iliyokuja na box lake, situation haibadiliki

Jana nilichaji kwa kutumia kichaja cha zamani chenye 1a lakini sikucheki vizuri v zake, ilikuwa ina heat kwa mbali sana ila speed ndogo
 
Alternative mkuu tafuta Chaja za Laptop zina maumbo makubwa hivyo joto si issue sana, wengine wanaweka hadi mafeni ndani.

Type C yenye Power Delivery. Ama chata la PD
 
Charger yangu ilikufa hivihivi nikichaji power bank nayo ilikuwa ikichemka sana .huwa anatumia charger ya kawaida ti kuchaji pb pamoja na kwamba inakaa muda mrefu sana kabla ya kujaa
 
Charger ina uwezo mdogo kuliko powerbank inavyovuta so inasababisha overload, ni kama ukichomeka jiko la umeme kwenye extension cord nyembamba, wire itaungua.
 
Back
Top Bottom