Tatizo la Netanyahu ni zawadi kwa Hamas

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,194
10,929
Baada ya kumsoma sana Benjamin Netanyahu kuhusiana na vita vyake na Hamas na matatizo ya nyumbani kwake nimemuelewa sana.Naataka niwafahamishe na wenzangu waone tatizo liko wapi.

Kwa ujumla Benjamin Netanyahu ameelewa kuwa baada ya miezi 4 kuelekea mwezi wa tano hakuweza kufikia malengo ya vita alivyojiawekea.Hiyo ina maana hatarishi kwa nchi na usalama wa anayeongoza nchi kwa muda huo.
Tangu baada ya miezi minne ya vita mataifa kadhaa ya Ulaya ikiwemo wafadhili wakubwa wa Israel wameiambia Israel kwamba ameua sana na inatosha kufikia hapo.

Mataifa hayo na yale ya kinafiki ya mashariki ya kati wote wamesema kinachotakiwa ni kumaliza vita na kuundwa kwa taifa la Palestina ili vita visiingie hatua mbaya zaidi na kwa ajili ya usalama wa siku za mbele kwa Israel yenyewe.

Ni Benjamin Netanyahu peke yake na wahafidhina wachache kwenye Likud ambao wamepinga wazo hilo.

Mara zote amaesikika akisema kusitisha vita au kutoendelea kushambulia pamoja na kukubali kuundwa kwa taifa la Palestina ni kama kutoa zawadi kwa Hamas ambao walishambulia oktoba 7 mwaka 2023 na kuua watu 1250.Idadi hiyo ya watu hajona kuwa ni ndogo kuliko ya wapalestina waliouliwa na wenzake huko nyuma au wale ambao ameshaua tangu mwaka jana.

Kupewa zawadi Hamas ndio tatizo la Netanyahu.Lakini hiyo ni roho mbaya na uchoyo wa kibinadamu ambao kila mtu anatakiwa ajiepushe nao.

Mtu anayetakiwa au anayesthahiki kupewa zawadi au chochote kile basi usimzuie kwa maslahi yako binafsi.Wacha apewe haki yake.

Mwenyezi Mungu akitaka kumpa mja wake kitu uifanye juhudi kuizuia haki hiyo.Mwisho wake utaumbuka tu kwani huwezi kupingana na mipango ya Mungu
 
Kwa hiyo Walivyo Uwa Watu 1200 Ni Sawa Kwa mtazamo wako
israel wameua na kuwafunga jela wapelistina kila mwaka bila sababu,tukizungumzia maswala ya kisasi idadi ya watu 1200 waliouliwa na Hamas ile oct7 ni ndogo mno kwa wapelstina,

kama wanaweza na kuwapendeza Hamas wanatakiwa wawafute kabisa israel kwenye uso wa dunia kama kisasi cha uonevu waliofanyiwa kwa miongo kadhaa na waisrael
 
bila sababu ? hii dini ya uislam ni ya shetan sio bure
 
Kukataa kwamba Israeli ni Taifa teule la Mungu JEHOVAH, ni matumizi mabaya ya ubongo! Ni upinzani uliokubuhu na usiokuwa na hoja yoyote!
 
Baada ya kumsoma sana Benjamin Netanyahu kuhusiana na vita vyake na Hamas na matatizo ya nyumbani kwake nimemuelewa sana.Naataka niwafahamishe na wenzangu waone tatizo liko wapi.

Kwa ujumla Benjamin Netanyahu ameelewa kuwa baada ya miezi 4 kuelekea mwezi wa tano hakuweza kufikia malengo ya vita alivyojiawekea.Hiyo ina maana hatarishi kwa nchi na usalama wa anayeongoza nchi kwa muda huo.
Tangu baada ya miezi minne ya vita mataifa kadhaa ya Ulaya ikiwemo wafadhili wakubwa wa Israel wameiambia Israel kwamba ameua sana na inatosha kufikia hapo.

Mataifa hayo na yale ya kinafiki ya mashariki ya kati wote wamesema kinachotakiwa ni kumaliza vita na kuundwa kwa taifa la Palestina ili vita visiingie hatua mbaya zaidi na kwa ajili ya usalama wa siku za mbele kwa Israel yenyewe.

Ni Benjamin Netanyahu peke yake na wahafidhina wachache kwenye Likud ambao wamepinga wazo hilo.

Mara zote amaesikika akisema kusitisha vita au kutoendelea kushambulia pamoja na kukubali kuundwa kwa taifa la Palestina ni kama kutoa zawadi kwa Hamas ambao walishambulia oktoba 7 mwaka 2023 na kuua watu 1250.Idadi hiyo ya watu hajona kuwa ni ndogo kuliko ya wapalestina waliouliwa na wenzake huko nyuma au wale ambao ameshaua tangu mwaka jana.

Kupewa zawadi Hamas ndio tatizo la Netanyahu.Lakini hiyo ni roho mbaya na uchoyo wa kibinadamu ambao kila mtu anatakiwa ajiepushe nao.

Mtu anayetakiwa au anayesthahiki kupewa zawadi au chochote kile basi usimzuie kwa maslahi yako binafsi.Wacha apewe haki yake.

Mwenyezi Mungu akitaka kumpa mja wake kitu uifanye juhudi kuizuia haki hiyo.Mwisho wake utaumbuka tu kwani huwezi kupingana na mipango ya Mungu
Umeandika nini sasa ndugu yangu
 
Kwann isiwe taifa moja Nchi moja. Suluhu ni taifa moja ili nchi ya palestina au Israel mataifa mawawili vita hatakuja isha. Naona Rais wa USA Biden wazo la mataifa 2 ni kuomba kura wa waislaam.UK,EU wana taka mataifa 2 ili wapate ushawishi kuendelea kuchota Mafuta nchi za Waislam. UN na wazo la mataifa 2 ni la kizamani limepitwa wakati. Dunia ina hutaji na ina elekekea kuwa sheria moja na serikali moja kuondoa mpaka na dini moja tupambane ujinga,umasikini na magonjwa.
 
Kamao si mbili basi hiyo moja iwe Palestina kama kabla ya 1947
 
Kwanini iwe Palestina na si kwingine.........congo hawafi? Somalia hawafi? Afrika ya kati hawafi? Sudani kusini? Ethiopia? Ukraine? Mbona watu mmeshupalia gaza tu gaza tu ..........ndio kwenye roho zenye subwoofer au ??
 
Kama Bado una Wazo kwamba Israeli itafutwa Kwenye Ramani ya Dunia Basi utasubili Sanaa na Kule Wenzako Wanaendelea Kupotea Na Kujuta Kuna Nchi Zipo Seriously Kwa Kutoa Roho za Watu (Ukizingua) Malizia Mwenyewe
 
Baada ya kumsoma sana Benjamin Netanyahu kuhusiana na vita vyake na Hamas na matatizo ya nyumbani kwake nimemuelewa sana.Naataka niwafahamishe na wenzangu waone tatizo liko wapi.

Kwa ujumla Benjamin Netanyahu ameelewa kuwa baada ya miezi 4 kuelekea mwezi wa tano hakuweza kufikia malengo ya vita alivyojiawekea.Hiyo ina maana hatarishi kwa nchi na usalama wa anayeongoza nchi kwa muda huo.
Tangu baada ya miezi minne ya vita mataifa kadhaa ya Ulaya ikiwemo wafadhili wakubwa wa Israel wameiambia Israel kwamba ameua sana na inatosha kufikia hapo.

Mataifa hayo na yale ya kinafiki ya mashariki ya kati wote wamesema kinachotakiwa ni kumaliza vita na kuundwa kwa taifa la Palestina ili vita visiingie hatua mbaya zaidi na kwa ajili ya usalama wa siku za mbele kwa Israel yenyewe.

Ni Benjamin Netanyahu peke yake na wahafidhina wachache kwenye Likud ambao wamepinga wazo hilo.

Mara zote amaesikika akisema kusitisha vita au kutoendelea kushambulia pamoja na kukubali kuundwa kwa taifa la Palestina ni kama kutoa zawadi kwa Hamas ambao walishambulia oktoba 7 mwaka 2023 na kuua watu 1250.Idadi hiyo ya watu hajona kuwa ni ndogo kuliko ya wapalestina waliouliwa na wenzake huko nyuma au wale ambao ameshaua tangu mwaka jana.

Kupewa zawadi Hamas ndio tatizo la Netanyahu.Lakini hiyo ni roho mbaya na uchoyo wa kibinadamu ambao kila mtu anatakiwa ajiepushe nao.

Mtu anayetakiwa au anayesthahiki kupewa zawadi au chochote kile basi usimzuie kwa maslahi yako binafsi.Wacha apewe haki yake.

Mwenyezi Mungu akitaka kumpa mja wake kitu uifanye juhudi kuizuia haki hiyo.Mwisho wake utaumbuka tu kwani huwezi kupingana na mipango ya Mungu
Awafute magaidi wote wa hamas waishe wote
 
Back
Top Bottom