HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI TAIFA ITAKUTANA TAREHE 18 DESEMBA, 2021
TAARIFA KWA UMMA
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa itakutana Desemba 18, 2021 chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu, Samia Suluhu Hassan.
Kikao...
Sijawahi kufeli Kitu kama tu nikikiamua!!
Na nimewaweza na kuwashika patamu kweli kweli kwani Nyodo zao ndizo zimeniibua Chimbo ili nije kuifanyia Kazi Simba SC yangu.
Yanga SC kama wakitaka Kukibadilisha nilichowafanyia Wakubali Mmoja wa Kiongozi wao au Mmoja wa Mfadhili wao au Mmoja wa...
Kwa kifupi tuu, walikutana kwenye daladala, mama alisahau nauli nyumbani, kijana akamlipia na ndio ukawa mwanzo wa uhusiano wao.
Aliyeanza kuvunja ukimya ni bi mdashi, kifupi mama alimtongoza kijana, kijana naye akajaa, mama alikuwa muislam lakini amebadili dini na kuwa mkristo ili kumfuata...
Chama Cha Mapinduzi kuzindua rasmi kampeni zake za Uchaguzi mdogo jimbo la Ngorongoro trh 26|11|2021 katika Viwanja vya Malambo kata Sale.
Kampeni hizo zitazinduliwa na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi "Simba wa Vita " Shaka Hamdu Shaka akiambatana na Viongozi mbalimbali pamoja Wale wa Wilaya...
TAREHE 7 JULAI RASMI SIKU YA KISWAHILI DUNIANI
1/2 Mkutano Mkuu wa 41 wa #UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani.
Azimio hilo limepitishwa na nchi zote wanachama wa UNESCO bila kupingwa, leo tarehe 23 Novemba, 2021, Paris nchini Ufaransa.
Tuko pamoja; na...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi
Ungana nami katika uzi...
Mikoa 11 ya Tanzania itakosa umeme kwa saa 12 Novemba 15 mwaka huu kutokana na matengenezo yanayofanywa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika njia ya kusafirisha umeme wa kilovolti 220 kutoka Kidatu hadi Iringa.
Umeme utakatika kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa 12 jioni ili kupisha...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 12/11/2021 anatarajiwa kusikilizwa shahidi mwingine katika muendelezo wa kesi Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Kesi ndogo ya Freeman Mbowe: Shahidi akamilisha ushahidi wake, Shahidi mwingine kuendelea tarehe 12/11/2021
Ungana...
SAMATTAAAAAAAAAAA LIVERPOOL 1-1 GENK
Genk's Tanzanian striker Mbwana Samatta powerfully headed in the equaliser at the near post from a corner five minutes before half-time.
We could have scored more often and that would have completely changed the game. But then they scored the goal, a really...
They are doing it again!
WhatsApp moja ya mitandao maarufu duniani ya kijamii, kuanzia jumatatu ijayo ya tarehe 1 November itasitisha kutumika kwake kwenye baadhi ya simu za iPhone na zimu za Android.
Simu zote za Android zenye toleo la OS 4.0.4 hazitaweza kutumia WhatsApp ikiwa ni pamoja na...
Lengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa.
Bbc wamesema vyama vya upinzani kukutana na Waziri Mkuu.
Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi, CHADEMA na ACT Wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Walihitaji...
Wakuu salaam,
Taarifa rasmi kuhusu maadhimisho ya Sikukuu ya Maulid mwaka huu. BAKWATA wanafafanua kuwa itasomwa usiku wa leo hivyo kesho inakuwa ni mapumziko. Hii hapa chini ni barua yao kuthibitisha taarifa hii
Mambo mengine yanakera!! Mwenge unaweza kuzimwa siku yoyote!! Kwa nini ipangwe kuzima mwenge siku ya kumbukizi maalumu ya baba wa Taifa?? Kwa nini zipangwe shughuli zingine za kiserikali katika siku ambayo ni Public holiday iliyotengwa kama siku ya kumbukizi ya baba wa Taifa? Dhambi hii ni...
Hapo ndkpo mjue hii chanjo ya corona haisaidii kitu. Marekani ni moja ya mataifa ya kibeberu yaliyofanikiwa kuchanja zaidi ya asilimia 60 ya watu wake. Kiwango hicho kinadharia kinapaswa kuikinga jamii na maambukizi mapya kwa kuleta kitu kiitaacho "herd immunity", Lakini kwa corona hakuna...
SHAKA: TUTEGE MASIKIO TAREHE 09 RAIS ANA JAMBO KWA WATANZANIA.
Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka amesema mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25 itakua imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 100 kwa namna Mwenyekiti wetu na Rais wa Tanzania Ndg...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.