tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jua kesho tarehe 21 Machi litaingia Ikweta, Masika kuanza

    Kwema! Joto la leo likanifanya niikumbuke Jiographia ya Kidato cha Kwanza. Leo na kesho Tarehe 20 na 21 March Jua litakuwa Ikweta baada ya kuingia katika kizio cha Kusini (Southern Hemisphere) Tropical of Capricorn tangu mwaka jana Septemba lilipokuwa pia Ikweta. Hivyo ni kusema jua...
  2. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 16 Machi 2022 NATO waanza mazoezi makali ya kijeshi

    Nimeiona hii habari Al Jazeera. Umoja wa NATO wamekutana katika mji wa Oslo Norway na kuanza mazoezi makubwa ya kivita ambayo hayajawahi kufanyika kabla. Mazoezi hayo ambayo wao wamedai ni mazoezi ambayo hufanyika Kila baada ya miaka miwili yatahusisha kujikinga na mashambulizi ya nyukilia, na...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tarehe 17 Machi huku wakifanya sherehe za kumbukizi za kifo cha Magufuli, sisi wengine tutafanya sherehe za shukrani kwa uongozi wa Samia Suluhu

    Habari, Ambao tuna jambo letu la shukrani kwa Mungu tukutane Alhamisi hii ya tar 17 Machi, 2022. Mimi nasherehekea mwaka mmoja wa uongozi wa Samia Suluhu maana najua tangu Magufuli afe tarehe 17 Machi 2021 SAMIA SULUHU ndiye kawa kiongozi mpaka sasa. Ninaweza kuorodhesha mazuri ya RAIS SAMIA...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tarehe 17.3.2025 inakaribia, watanzanisa tunasubiri kauli ya serikali kuhusu mpendwa wetu,

    Watanzania tulio wengi mamia kwa maelefu tunasubiri kauli ya serikali kuhusu nini kifanyike tar 17.3.2022 atakuwa katimiza mwaka mmoja tangu tuondokewe na mpendwa wetu Magufuli Ikiwezekana tuazimishe siku hiyo kwa mapumziko na tuazimishe kwa kuwa kuwatembelea wamachinga na kuwajengea uwezo...
  5. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Video: Mapokezi ya Mbowe ukumbini Iringa leo Tarehe 08/03/2022

  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mwaka jana tarehe kama hizi, wanaCCM waliokuwa na chuki na hayati JPM walikuwa wakionyesha kebehi zao huko Twita na kuwaona Watanzania wajinga

    Watanzania wengi hawakujua kwa nini waliomchukia hayati Magufuli walikuwa wakimkebehi kupitia mitandao ya hasa Twita. Baadhi yao wakaanza kupost picha za magari ya kijeshi yakifanya mazoezi ya parade ya kuaga mwili wa mkuu wa nchi. Wengine wakapost Brassband ya jeshi ikifanya mazoezi ya nyimbo...
  7. Iamhonest

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tarehe za kuzaliwa za wazazi kwenye tovuti ya kuomba passport ya kusafiria

    habari zenu. samahani nahitaji msaada ninafanya maombi ya passport kubwa ya kusafiria lakini nilipofika kwenye page ya kuingiza taarifa za wazazi baba na mama ninapata error inayosema tarehe siyo sahihi na wakati tarehe hizo zipo sahihi naweza kufanya nini maana bila kurekebisha hapo siwezi...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza tarehe kuanza kutumia mita zisizohitaji kuingiza ‘token’

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kwamba kuanzia Julai mwaka huu litaanza kutumia ‘smart meters’ za umeme, ambapo mteja akinunua umeme utaingia moja kwa moja na umeme utawaka. Maelezo hayo yametolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande akisema kwamba suala hilo limekuwa...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Valentine's ilikuwa tarehe 14 February, kwa TotalEnergies bado wanaendelea kumwaga zawadi za Valentine's hadi Tarehe 27 Februari

    22/02/2022 TotalEnergies Kuendeleza Valentine Hadi Tarehe 27 February Japo Sikukuu ya wapendanao, yaani Valentine Day, huadhimishwa kwa siku moja tuu, siku ya tarehe 14 ya Mwezi Februari kila mwaka, lakini ili kueneza upendo zaidi na zaidi kwa Watanzania, Kampuni ya mafuta ya TotalEnergies...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Je, wajua; Tarehe ya leo (22/2/22) inaweza kusomeka kwa kwenda mbele au kurudi nyuma bila kupoteza maana

    Leo ni Siku ambayo Mpangilio wa tarehe ni 22/2/22. Siku hii ni Palindrome kwasababu Namba inaweza kusomeka kwa kwenda mbele au kurudi nyuma bila kupoteza thamani Siku hii pia ni 'Ambigram' ambayo humaanisha sanaa inayoweza kufanya neno au namba lisomeke juu chini, na chini juu Inaripotiwa kuwa...
  11. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya leo (22.02.2022) ni "rare palindrome"

    Tarehe ya leo 22.02.2022 ni "rare palindrome", inasomeka sawa kote kote kutoka kulia kwenda kushoto, au kutoka kushoto kwenda kulia, na ni ya mwisho kwenye muongo huu wa 2020-2029. Nyingine itakayofuata ni ya mwaka 2030, ambayo itakuwa tarehe 03.02.2030 Soma pia hapa...
  12. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania Tarehe 2 Februari mwaka 1971 Idd Amini alijitangaza kuwa Rais wa Uganda

    Siku kama ya leo mwaka 1971, jitu la Miraba minne Idd Amin alijitangaza kuwa Rais wa nchi ya Uganda na hii ni baada ya kugutuka kwamba Milton Obote alikuwa akipanga kumkamata kwa matumizi mabaya ya fedha za jeshi, Awali, Amin alichukua mamlaka kwa kufanya mapinduzi ya kijeshi tarehe 25 Januari...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM Taifa na Sekretarieti ya CCM Taifa kufanya ziara mkoa wa Simiyu

  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 19/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. ======= Kufahamu ilipoishia, soma hapa:Yaliyojiri mahakamani kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kesi imeahirishwa...
  15. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania Je, wajua tarehe 5 Februari mwaka 1977 ni Siku iliyobeba matukio matatu ya kufurahisha na kuhuzunisha?

    Tarehe 05 mwezi Februari mwaka 1997 ilikuwa siku muhimu yenye matukio ya kufurahisha na kuhuzunisha. Kabla haujayapitia hayo matukio matatu, Kumbuka siku hii chama cha TANU na ASP viliungana na kuunda Chama cha Mapinduzi (CCM). Lakini 1. ASP ilikuwa inatimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Kuanzia tarehe 10|01|2022 anayetaka kuwa Spika wa JMT kupitia CCM ruksa kuchukua fomu

    === Katibu wa Halmashauri Kuu ya Nec Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Shaka Hamdu Shaka ametoa ratiba ya kumpata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi atakayepeperusha bendera kwenye Uchaguzi wa kumpata Spika wa Bunge la JMT, Uchaguzi huu utafanyika kuziba nafasi ya aliyekuwa Spika wa Bunge...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya kesho tarehe 08.01.2022

    Kutokana na matukio ya leo tar 07 Jan 2022 unatabiri vichwa vya habari kesho vitakuwaje?
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai alimuwashia moto Prof. Assad tarehe kama ya leo

    Tarehe kama ya leo 7 Januari,2019 aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai alimtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge siku ya Januari 21, 2019 kwa hiari kwa ajili ya kuhojiwa, vinginevyo angepelekwa kwa pingu. Spika...
  19. Mag3

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kila Mtanzania tarehe 1/1/2022, aanze kuandika ukurasa wa kwanza kwenye kitabu chenye kurasa 365

    Kila Mtanzania: Kila mkulima, kila mfugaji, kila mfanya biashara, kila mfanya kazi, kila machinga, kila kiongozi wa dini, kila kiongozi wa siasa, kesho ratehe 1/1/2022, aanze kuandika ukurasa wa kwanza kwenye kitabu chenye kurasa 365!
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bukoba, Moshi, Arusha na Mbeya ndio wanaoichangamsha nchi hii? Tarehe 25Dec na 1 January miji mingine hupoa kama kuzimu

    Habari Wakuu! Nimetembea tembea kidogo kwenye nchi yetu hii. Hivi ni kusema Watu kutoka Kagera, Arusha, Moshi na Mbeya ndio wanayoichangamsha miji mingi ya Tanzania? Maana ikifika mwezi wa 12 hasa kuanzia tarehe 20 mpaka tarehe 1 January hawa watu wakienda kwao miji mingine yote hupoa kama...
Back
Top Bottom