Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,450
- 799
==
Siweki neno sikiliza hii mpaka mwisho||
Siweki neno sikiliza hii mpaka mwisho||
Je bila kanisa la sabato, Tanzania isingekuwa huru 9/12/ 1961?
Njoo na vielelezo sasaJe bila kanisa la sabato, Tanzania isingekuwa huru 9/12/ 1961?
Hawa jamaa wanapenda kujipa umuhimu waonekane wao ni bora kuliko makanisa mengine.Kujipa umuhimu usiokuwepo ili kudumaza umuhimu wa wengine.
Hili kanisa kwa kujichomoa na kujiweka duuhh
Hiyo ndio inaitwa Church Propaganda.
Kwa sasa Kitabu hiki nitakipata wapi?..acha hao Wakatoliki, kuna Waingereza walikuwa wanapinga utawala Muingereza Tanganyika na kwingineko.
..Kuna Wamisionari wa Kikatoliki walikuwa karibu na Mwalimu Nyerere na walimsaidia kwa njia mbalimbali wakati wa harakati za uhuru wa Tanganyika.
..Someni kitabu cha JOHN SIVALON mtakutana na habari hizo.
Kwa sasa Kitabu hiki nitakipata wapi?
Na ukoloni si mtangulizi wa uhuru? au mtangulizi wa taifa la Tanzania?Vitangulizi vitatu vya ukoloni:
1. Wamisionari
2. Wapelelezi
3. Wafanyabiashara
Hivyo ndivyo tulivyofundishwa shule.