Niliapa na nilimaanisha Kazi imeisha Yanga SC anakufa 'nyingi' tarehe 11 Disemba, 2021 Wana Simba SC wote 'furikeni' Uwanjani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Sijawahi kufeli Kitu kama tu nikikiamua!!

Na nimewaweza na kuwashika patamu kweli kweli kwani Nyodo zao ndizo zimeniibua Chimbo ili nije kuifanyia Kazi Simba SC yangu.

Yanga SC kama wakitaka Kukibadilisha nilichowafanyia Wakubali Mmoja wa Kiongozi wao au Mmoja wa Mfadhili wao au Mmoja wa Msemaji wao atangulie mbele ya Haki.

Kama GENTAMYCINE pamoja na akina Kassim Dewji ( KD ), Iddi Kajuna, Mzee Dalali na Wataalam wetu Wawili wa Morogoro, Tanga na Kikwajuni Zanzibar tuliicheza 'Kimafia' ile Mechi Yanga SC iliyofungwa Goli 4 kwa 1 hii ya Jumamosi ( tarehe 11 Disemba, 2021 ) kwa namna tulivyoicheza kwa 'Hasira' hamna hamna Yanga SC 'anakufa' Goli 5 au 6 ila wakizipunguza sana zitabakia Goli 4 au 3 Kudadadeki.

Na kama kawaida yangu huwa nikiisaidia Simba SC yangu huwa sihitaji Malipo yoyote kwani naisaidia kwa Umafia na Utamaduni kwakuwa ninaipenda Simba SC yangu kutoka Damuni na Jumamosi tunataka Wapigane, Wafukuzane na ikibidi hata watoane na Roho kabisa kwa Kipigo cha Kishalubela ( Kitakatifu ) ambacho Yanga SC itakipata.

Popote mlipo wana Simba SC tambeni, furahini na furikeni Kununua Tiketi zenu kwa Wingi ili mjae Uwanjani. Yanga SC ameshakufa!!
 
Uzi umebuma mzee
Nina Nyota Kali ambapo nikianzisha tu Jambo lolote au Uzi wowote utakuwa na Mvuto na utacbangamkiwa.

Endelea na Roho yako Mbaya na ya Chuki Kwangu ila Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na nilichobarikiwa na Mwenyezi Mungu kamwe hutokipata.

Mbona 'threads' zangu nyingi tu ambazo zinachangiwa hapa na zinafikia Kurasa nyingi huwa huji kusema zimebuma?

Ulisema kuwa huu Uzi umebuma sasa mbona naona Wadau wanauchangia? Pumbavu utabaki Kunichukia na Mimi kuwa Juu tu Kimvuto na Kiumaarufu JamiiForums mpaka natajwa na Watu Intelligent akina Dk. Wilbroad Slaa huko TBC1.
 
Sijawahi kufeli Kitu kama tu nikikiamua!!

Na nimewaweza na kuwashika patamu kweli kweli kwani Nyodo zao ndizo zimeniibua Chimbo ili nije kuifanyia Kazi Simba SC yangu...
We kweli fala, kwa timu ipi uliyokuwa nayo hii ya kina kapombe na Wawa? Sijui aibu utaiweka wapi siku hiyo.
 
Nilichoambiwa na babu yangu kutoka MWANAKWEREKWE Zanzibar, pamoja Mzee wetu maaraufu kutoka KIBANDA MAITI pale Zenji ni kuwa game hii ni SIMBA ANAFUNGWA 3-1.

Yanga safari hii wataanzia kufunga Goli la Kusini tofauti na mechi zilizopita za taifa ambapo Yanga alianza kushambulia kaskazini. Akinidokeza kuwa mechi hiyo Yanga watatangulia 2 kipindi cha kwanza na kisha kipindi cha pili watatoka 1-1 na mechi itaisha kwa SIMBA kupoteza 3-1.

Mzee huyu wa kibanda maiti aliendelea kueleza kuwa mechi hiyo itakuwa na Kadi Nyekundu 2 baada ya ugomvi kutokea.
Ugomvi huo utahusisha wachezaji Watano au sita, na chanzo cha huo Ugomvi ni rafu kutoka kwa kiungo wa chini wa Simba kumchezea rafu mbaya kiungo wa Yanga.

Wafungaji wa mechi hiyo alinidokeza kuwa, Simba goli lao watapata kutoka ktk hawa watatu Kibu, Bwalya na Kanoute, wakati Yanga magoli yao yatafungwa na kati ya hawa ambapo mmoja atafunga magoli mawili, Makambo, Feisal, Moloko, na Aucho.

Angalizo alilolitoa ni kuwa kama wewe si Shabiki mvumilivu ni bora ukae nyumbani.
 
Sijawahi kufeli Kitu kama tu nikikiamua!!

Na nimewaweza na kuwashika patamu kweli kweli kwani Nyodo zao ndizo zimeniibua Chimbo ili nije kuifanyia Kazi Simba SC yangu.

Yanga SC kama wakitaka Kukibadilisha nilichowafanyia Wakubali Mmoja wa Kiongozi wao au Mmoja wa Mfadhili wao au Mmoja wa Msemaji wao atangulie mbele ya Haki.

Kama GENTAMYCINE pamoja na akina Kassim Dewji ( KD ), Iddi Kajuna, Mzee Dalali na Wataalam wetu Wawili wa Morogoro, Tanga na Kikwajuni Zanzibar tuliicheza 'Kimafia' ile Mechi Yanga SC iliyofungwa Goli 4 kwa 1 hii ya Jumamosi ( tarehe 11 Disemba, 2021 ) kwa namna tulivyoicheza kwa 'Hasira' hamna hamna Yanga SC 'anakufa' Goli 5 au 6 ila wakizipunguza sana zitabakia Goli 4 au 3 Kudadadeki.

Na kama kawaida yangu huwa nikiisaidia Simba SC yangu huwa sihitaji Malipo yoyote kwani naisaidia kwa Umafia na Utamaduni kwakuwa ninaipenda Simba SC yangu kutoka Damuni na Jumamosi tunataka Wapigane, Wafukuzane na ikibidi hata watoane na Roho kabisa kwa Kipigo cha Kishalubela ( Kitakatifu ) ambacho Yanga SC itakipata.

Popote mlipo wana Simba SC tambeni, furahini na furikeni Kununua Tiketi zenu kwa Wingi ili mjae Uwanjani. Yanga SC ameshakufa!!
Ushauri mzuri wa wachambuzi wa soka ni ule unaosema Simba anunue wachezaji wazuri na kuacha hili kundi la wachezaji wabovu kuimarisha timu.

Simba 0-1 Yanga
AU
Simba 0-2 Yanga

Sangoma anazuia vp pasi za Aucho na Bangala kwa mfano?

Sangoma anamzuiaje FEI TOTO asi assist?

Sangoma anamzuiaje Mayele asifunge?

Tunawakumbusha tu mna kocha kutoka Real Madrid na hamjiamini je,kocha ndo angekuwa Matola si msingeleta timu uwanjani nyie!!!!
NI UZUNI KWAKWELI
 
Swala la yanga kufungwa tarehe 11 linaeleweka na kila mtu, kwa hiyo kufungua uzi kujinadi kwamba umetabiri huko ni kututapeli kizungu
Kwa wachezaji gani uliokuwanao wewe? Nawaonea huruma Sana Makolo
 
Katika miaka ya karibuni mechi ya tar 11 kwa mara ya kwanza Kolo wataingia kama underdog
 
Nilichoambiwa na babu yangu kutoka MWANAKWEREKWE Zanzibar, pamoja Mzee wetu maaraufu kutoka KIBANDA MAITI pale Zenji ni kuwa game hii ni SIMBA ANAFUNGWA 3-1.

Yanga safari hii wataanzia kufunga Goli la Kusini tofauti na mechi zilizopita za taifa ambapo Yanga alianza kushambulia kaskazini. Akinidokeza kuwa mechi hiyo Yanga watatangulia 2 kipindi cha kwanza na kisha kipindi cha pili watatoka 1-1 na mechi itaisha kwa SIMBA kupoteza 3-1.

Mzee huyu wa kibanda maiti aliendelea kueleza kuwa mechi hiyo itakuwa na Kadi Nyekundu 2 baada ya ugomvi kutokea.
Ugomvi huo utahusisha wachezaji Watano au sita, na chanzo cha huo Ugomvi ni rafu kutoka kwa kiungo wa chini wa Simba kumchezea rafu mbaya kiungo wa Yanga.

Wafungaji wa mechi hiyo alinidokeza kuwa, Simba goli lao watapata kutoka ktk hawa watatu Kibu, Bwalya na Kanoute, wakati Yanga magoli yao yatafungwa na kati ya hawa ambapo mmoja atafunga magoli mawili, Makambo, Feisal, Moloko, na Aucho.

Angalizo alilolitoa ni kuwa kama wewe si Shabiki mvumilivu ni bora ukae nyumbani.
Mkuu acha bhaasi
 
Simba ya sasa kama ya uchebe tu daah nje huko tulikua tunachezea sana kichapo ila taifa sasa hatoki mtu salama.....
 
Back
Top Bottom