Ulitutangazia na tukakuona kwenyeTv ukisema kuwa process/procedure zote za umiliki wa ardhi ( kiwanja/viwanja) zitamalizwa na mkoa (ulianzisha ofisi za ardhi kwa baadhi ya mikoa) bila kwenda Dar/ Moshi/Mwanza kwenye kanda kama taratibu za zamani zilivyo kuwa.
Leo naona bado utaratibu wa...
Wakuu Habari.
Naomba kujuzwa taratibu za kuagiza pikipiki kutoka nje (Mfano Japan). Kwa magari tunaona kuna website kama Beforward Tradecarview Autocom etc, sasa kwa pikipiki kuna utaratibu huo?
Na ikishafika bandalini, wakati wa kuitoa ushuru una kadiriwaje au unafuata taratibu gani?
Shukrani.
Maelezo ya mmoja wetu kuhusu hilo yako hivi:-
“Naomba kushare na ninyi jambo moja linasikitisha kidogo. Jana kwenye mitandao ya kijamii hapa China kumeibuka habari ya kuchafua jina letu Tanzania. Kuna mtanzania mwenzetu ameripotiwa kufanya mambo ambayo ni kinyume kabisa na maelekezo tunayopewa...
Poleni na majukumu,
Nimepata mshtuko kidogo hapa mitaani, tumepata msiba mtaani kwetu ila watu hawahudhurii kabisa haloo, hivi serikali imetangaza utaratibu gani kwa watu kuhudhuria misiba ili kusiwepo na taharuki na wasi kuhusu kuambukizana magonjwa.
Nauliza serikali imetoa pendekezo lolote...
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam kimemlipia faini ya Shilingi Milioni 30 mwanachama mpya wa chama hicho Vincent Mashinji aliyekutwa na hatia kwenye makosa kadhaa kwenye Hukumu iliyotolewa jana ya kesi iliyokuwa ikimkabili pamoja na viongozi wa Chadema akiwemo Freeman Mbowe katika...
KUHUSU HILI LA DOLA TUKIENDA TARATIBU TUTAMUELEWA KATIBU MKUU
Magoiga SN
Katika nchi inayojiongoza kwa misingi ya kidemokrasia hususani demokrasia ya vyama vingi, Chama cha siasa kinapochaguliwa na wananchi kwa kura hupewa mamlaka ya kuunda serikali, serikali hiyo iliyoundwa inakuwa serikali...
Darassa kamshirikisha Sho Madjozi wa South Afrika ambaye ameishi kwa muda Tanzania pia kwenye ngoma 'I like it.'
Sura ya mwanadada, Madjozi, inabadilika wakati wa kupelekwa taratibu na then puta na kukanyagiwa mafuta (angalia kati ya around 1:59 na 2:04). Maswali, ili ni somo kwa wanadada namna...
Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Pius Msekwa amesema kuwa Membe asijione kuwa yeye ni maalum sana, bali anapaswa kufuata taratibu zote ambazo wenzake waliofukuzwa kabla yake wanazifuata.
Amesema Membe siyo mtu wa kwanza kufukuzwa kutokana na utovu wa nidhamu kwani...
Naomba kuuliza iwapo mtu amekopa fedha na akaweka kiwanja kama dhamana na kukawa na mkataba wa maandishi kuwa akishindwa kulipa deni basi kiwanja alichoweka Kama dhamana kitachukuliwa na kuwa mali ya mkopeshaji na ambachi atakiuza ili kulipia deni.
Kwa mfano,hata kama mkataba unamruhusu...
Binadamu ameumbwa katika hali ya kuwajibika kipekee sana kwa ajili ya maisha yake kuliko viumbe wengine wengi tunaowaona katika uso wa Dunia.
Kuna mambo mengi mno ambayo binadamu akiyafanya yanamuua taratibutaratibu na mara nyingi zaidi kabla ya kifo halisi.
Siyo jambo la kushangaza kukutana...
Fikiria tuhuma nzito kama hii inatolewa ndani ya Bunge na Mheshimiwa Mbunge halafu ukimya unatanda. Bunge kimya, vyombo vya usalama kimya, chama husika kimya na wananchi wanaowakilishwa na huyo Mbunge kimya! Je ni woga, ujinga au ukondoo.
Watanzania hebu tutulie, tujitafakari na tujiulize kama...
Kuna baadhi ya wanafunzi nawafahamu wametoka miongoni mwa shule hizi zinazoongoza kitaifa/form 4, wanapokuwa A level au hata chuo ukweli ni tofauti kabisa na ufaulu wao wa O level.
Hebu Wizara husika chukueni jukumu la kuwaita hao wanafunzi wa St. Francis wote na kisha just tafuteni utaratibu...
Ukisikia tamu chungu au sikio la kufa halisikii dawa ndio huku sasa. Toka mwezi July sikio la upande wa kulia linauma. Kichwa kinauma muda mwingi ajili ya kuvaa earphones kila wakati ila sikomi.
Nahisi kansa ya ubongo ndio inaninyemelea kutokana na maumivu nayopata upande wa kisogoni. Lakini...
Habari wana JF
Mimi nilifunga ndoa ya bomani, ila ndoa yangu iliingia doa na uwezekano wa kurudiana imeshindikana.
Nilikua naitaji kujua taratibu za kuvunja ndoa za bomani, maana sheria inataka ndoa za Kiislam tu ndio zivunjwe mahakamani, ila za Kikristo na za bomani hazijazungumziwa.
Asanteni.
Kufuatia mapinduzi ya mwaka 1989 yaliyomweka madarakani rais wa Sudan aliyeondolewa madarakani Al Bashir, sasa atashtakiwa kwa makosa ya kuhujumu mfumo wa kidemokrasia. Endapo atatiwa hatiani, basi hukumu yake ni kifo au kifungo cha maisha jela.
Hii ni taa nyekundu kwa CCM wanaovuruga mfumo wa...
CHONDE VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI - HISTORIA INAWASUTA.
"Viongozi wa dini kuhamasisha watu kupiga kura wakati huu, ni sawa na kuchochea chuki"
Hali ya maisha katika nchi za mashariki ya kati ndio mfano halisi wa mambo makuu matatu yanayoweza kumfanya binadamu aamue kwa hiari yake kuondoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.