Namna gani inashauriwa kushiriki misiba kipindi hiki cha coronavirus

IQup

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
933
1,310
Poleni na majukumu,

Nimepata mshtuko kidogo hapa mitaani, tumepata msiba mtaani kwetu ila watu hawahudhurii kabisa haloo, hivi serikali imetangaza utaratibu gani kwa watu kuhudhuria misiba ili kusiwepo na taharuki na wasi kuhusu kuambukizana magonjwa.

Nauliza serikali imetoa pendekezo lolote kuhusu namna ya watu wanavyoshauriwa kuhudhuria misiba na kuzika?
 
Back
Top Bottom