taratibu

  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

    Wanabodi, JF ni mtandao wa jamii, moja ya faida kubwa ya mitandao ya kijamii zaidi ya kuhabarisha habari mbalimbali, ni kuelimishana, wale members wa mitandao ya kijamii wanaojua jambo fulani, na ambao sio wachoyo wa kuelimisha wengine, hujitolea muda wao mwingi wa thamani, kuwaelimisha wengine...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Fahamu maana, umuhimu wa kodi na taratibu za ulipaji

    Kodi ni malipo yanayotozwa na Serikali kwa wananchi, kampuni, au taasisi zilizopo ndani ya nchi au zilizopo nje ya nchi lakini zimesajiliwa ndani ya nchi. Lengo kubwa la kutoza kodi ni kuitengenezea mapato serikali iliyopo kwa ajili ya kufikia malengo yake katika kutoa huduma za Jamii na maslahi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kama masihara masihara hivi kumbe ndo tunazeeka taratibu

    Tukiwa humu humu JF tukichaluana kwa hoja, January hadi December! Uchaguzi hadi uchaguzi! Ulianza ukiwa na umri mdogo, Mara paap 35, 40, 45 ,50..... n.k ndo zinasogea hivi kama masihara! Uzee usikieni tu, maisha ya upweke watoto wakiwa mbali! TUJIPANGE WADAU
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mteule Wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenani (CHADEMA) awasili Bungeni mapema leo na kujisajili kwa mujibu wa taratibu

    Mheshimiwa Aida Khenani akijisali leo Bungeni kama sehemu ya mchakato wa kisheria kabla ya kuanza kuwatumikia Wapiga kura wake. Hongera Sana
  5. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polisi ihakikishie vyama vya siasa kuwa utekwaji wa mawakala hautakuwepo na Tume iwahakikishie haita waengua bila kufuata sheria na taratibu

    Kuanzia mchakato wa kuwateua Wabunge na madiwani na kukiuka maadili ya chama mengi yameshuhudiwa na malalamiko kwa tume ni mengi sana ambayo hayajajibiwa hadi leo. Maswali ni mengi na imekuwa kama siri, sasa kama tume inafanya siri sisi wananchi tutaiamini au ni njama za upendeleo. mfano wa...
  6. May Day

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kisheria zikoje kubadili gari langu kuwa na picha za Wagombea kama bango la kampeni?

    Nimekuwa ninakutana na magari mbali mbali yakiwa na picha za Wagombea mbali mbali nikajikuta najiuliza maswali iwapo nami nitatamani kubadili Gari langu, maana najua hili ni zoezi la muda mfupi tu na baada ya kampeni Gari litarudi rangi yake ya awali.
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jaji Mutungi avitaka Vyama vya Siasa kuheshimu Sheria na Taratibu za Uchaguzi

    Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amewataka viongozi wa vyama vya siasa na wadau wote kuheshimu Sheria na Taratibu za Uchaguzi kama zilivyoainishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ili kuepuka migogoro isiyo ya lazima. Akizungumza Jijini Dar es Salaam, katika kikao kati ya...
  8. General Mangi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni ===== => Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na...
  9. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM twendeni taratibu, Tundu Lissu hayupo peke yake. Atatushinda!

    Nataka niseme kwamba tusijifanye kuziba masikio, Tundu Lissu kupigwa Risasi 16 na kuamka kisha kuendelea na shughuli zake huu ni muujiza tusiupuuze, siyo hali ya kawaida hii. Nataka niwaambie wanaCCM wenzangu kama kuna mtu yupo ndani yetu alihusika na kupigwa na kuumizwa kwa Tundu Lissu huyu...
  10. Informer

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAH: KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA SAED AHMED KUBENEA Mnamo tarehe 5/9/2020, Jeshi la Polisi Tanzania lilimkamata SAED AHMED KUBENEA akiwa katika gari la abiria lenye namba ya usajili T. 645 DKR akitokea kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya, eneo la Namanga akielekea...
  11. yuda75

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha Wanaume Wahongaji chapotea taratibu, kizazi cha Wanaume bahili chashika chati kwa kasi

    Habari wadau Mimi nakumbuka nilionga sana ada yangu alafu kuirudisha ikawa shida nikauza vitu vyangu vya getto Nikamaliza chuo nikapata kazi sehemu nikawa nahonga mshara wangu nusu kama fungu la kumi lakini bada ya kuteswa na mahusiano na kugundua kuwa wanawake ni waongo na walafi sikuizi...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Clouds Media wafungiwa kwa siku 7, kwa kutangaza Takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia vituo vya habari vya Clouds TV na Radio kwa siku saba kuanzia kesho Agosti 28 na adhabu ya kuomba radhi siku nzima ya leo kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za Uchaguzi. TCRA imesema kosa walilolifanya ni...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Fahamu watu wanaoruhusiwa kuweka pingamizi dhidi ya wagombea wa Urais, Makamu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mujibu wa Sheria

  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Picha: Ukumbi wa Mlimani City ukiwa tayari kwa Vikao vya Maamuzi CHADEMA kuanzia kesho, taratibu za kujilinda na COVID-19 zimezingatiwa

    Hatimaye dimba limekamilika kwa ajili ya vikao vya kuanzia hapo kesho. Kila kitu kimezingatiwa ikiwemo taratibu za kujikinga na Corona. Picha za awali zilizotumwa (Isipokuwa ya meza kuu ambayo inajumuisha viongozi wakuu wa chama) ni za vikao vilivyowahi kufanyika siku za nyuma yaani vya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukiukaji wa taratibu za Uchaguzi Jimbo la Ukonga

    KATIBU WA MKOA CHAMA CHA MAPINDUZI, S. L. P. 19989 DAR ES SALAAM 22/07/2020 Ndugu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Malalamiko: Ukiukwaji wa taratibu za Uchaguzi jimbo la Handeni Vijijini

    KATIBU MKUU CHAMA CHA MAPINDUZI, S. L. P. 50 DODOMA 22/07/2020 Ndugu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt Bashiru Ally YAH: UKIUKWAJI WA TARATIBU ZA UCHAGUZI JIMBO LA HANDENI VIJIJINI Husika na kichwa cha Habari, Kwa heshima kubwa kwanza tunakupongeza kwa kusimamia taratibu, kanuni na...
  17. Shark

    JamiiForums Tanzania Watia nia CHADEMA hopefully mnaielewa katiba ya chama pamoja na taratibu zake

    Kwema wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada. Miezi ya hivi karibuni kuliibuka mtindo uliopachikwa jina la "Kuunga Mkono Juhudi" ambapo Viongozi mbalimbali waliokua upinzani walijiondoa na kujiunga na Chama tawala cha CCM. Wengi wa hawa waunga mkono juhudi walitokea Chama cha CHADEMA, na...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tutaelewana taratibu; Ukitoa pesa kwa wakala wa pesa Jina liwe la jinsia tofauti na yako hutakiwi kupewa pesa zaidi ya kukamatwa

    Mfano wewe Ni jinsia ya kiume (Me) ukaenda kutoa pesa kwa wakala halafu jina lionekane mtoaji aliyetoa ni jinsia ya kike (KE)! Utaratibu wa Sasa hutakiwi kupewa pesa hiyo vinginevyo Ikitokea iwe Ni kwa huruma ya wakala! Utaratibu kwa Sasa wenye majina yenye mashaka sahivi unapaswa kuonesha...
  19. Ulongupanjala

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Bendera ya Taifa kwenye makazi binafsi

    Happy Saba saba day! Niende kwenye mada,Watanzania tuna bendera yetu ya taifa,na nimeona watanzania wengi wakiweka bendera za taifa kwenye magari yao,makanisa yao,ofisi zao nk na wengine kupewa bendera wanapoenda nje ya nchi hasa wasanii. Nauliza je ninaweza kuweka mlingoti wenye bendera ya...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania HP Probook: Bios inaload taratibu dakika 5, ila windows haina tatizo

    Hili tatizo linaniumiza sana kichwa Navyowasha PC ile system ya hp ambayo inaload kabla ya windows kuload IPO taratibu sana, nliupdate BIOS ila wapi na hio bios ile update kwa masaa mawili Napowasha PC inakua haionyeshi kitu kwa dakika hivi alafu bios inayokea chats ya HP inakuwa ivoivo kama...
Back
Top Bottom