tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania ya mwaka 1990. Ni kitu gani hakistahili kuwa kwenye picha hii

    Wataalamu wa Photograph reading and interpretation Hii nii Tanzania ya 1990 ni kitu gani ambacho hakistahili kuwepo hapa kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji mtu wa aina hii.

    ..aliyemrithi aliwaadabisha tiss wa huko uchaguzi ukamleta huyu, sasa naye anafanya sehemu yake, tz imekalia maigizo ya tiss kupitia ccm nchi inazama mstaafu anakuwa na watu wake ndani ya serikali na wanamtii kuliko hata huyo aliyesaini hati za uteuzi wao..Masisi alikataa huo ujinga wa mstaafu...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 202

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 2026.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 202

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 2026.
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi ya Ajabu?, Pamoja na Fursa Zote za Kidigiti, Mpaka Leo Bado Hatuna Sheria ya E-Commerce?!. Usikute Ndio Maana Tunachelewa Sana Kuendelea

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo nikiishangaa jinsi nchi yangu Tanzania tulivyo nchi ya ajabu!, pamoja na fursa zote za kidigiti, na biashara ya mtandaoni, lakini mpaka leo bado sisi Tanzania, kama nchi, hatuna Sheria ya biashara mtandao, E-Commerce...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania FT: Brazil U-20 4-1 Tanzania U-20 | FIFA U-20 WOMEN’S WORLD CUP | Stadion Miejski, Bielsko Biała, Poland | 10:00 Jioni

    Safari ya timu ya Taifa ya Tanzania ya wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite Queens, katika mashindano ya FIFA U-20 Women’s World Cup Poland 2026 inaanza leo, Septemba 5, 2026, kwa kukutana na Brazil katika mchezo wa Kundi B. Mchezo huo unaweka historia kwa Tanzania, kwani Tanzanite Queens...
  7. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Tanzania watu binafsi wasirusiwe kujenga nyumba bali makampuni ya real estate

    Najua wengi mtapinga ila ukweli ni kwamba kama nchi tunataka miji yetu iwe mizuri swala la kujenga nyumba wapewe makampuni ya real estate Nchi zote zilizofanikiwa kwenye mipango miji za ulaya, north america, east asia (china, japan na korea kusini na singapore) na australia huamki tu na kuanza...
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapiga hatua katika mapambano dhidi ya utakasishaji fedha na ufadhili wa ugaidi

    Na Benny Mwaipaja, Kigali, Rwanda Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) amesema kuwa Serikali imepiga hatua kubwa kuimarisha mifumo ya kuthibiti utakasishaji fedha haramu, ufadhili wa ugaidi, na ufadhili wa silaha za maangamizi...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Historia Inaandikwa: Tanzania vs Brazil U-20 WWC

    Safari ya timu ya Taifa ya Tanzania ya wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite Queens, katika mashindano ya FIFA U-20 Women’s World Cup Poland 2026 inaanza leo, Septemba 5, 2026, kwa kukutana na Brazil katika mchezo wa Kundi B. Mchezo huo unaweka historia kwa Tanzania, kwani Tanzanite Queens...
  10. fact only

    JamiiForums Tanzania Msiogope, Majanga ya NEPAL hayawezi kutokea Tanzania

    Hellow wana JF. Watu wengi wanahofu dhidi ya matangazo mbalimbali yanayo endelea huko mitandaoni kuhusu majanga ya asili yanayoweza kutokea wakati wa mvua za El nino. Naomba kuwatoa hofu majanga ya Nepal hayawezi kutokea Tanzania. Pia naomba kuwakumbusha pia wadau mnaoishi kwenye mabonde na...
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania Hizi ni biashara ambazo kwa Tanzania nikisikia mtu ameanzisha huwa naishia kusikitika tu!

    Sio kwamba biashara hizi hazilipi kabisa, bali mtindo wa kuzifanya kwa copy-paste bila kuongeza thamani (value addition) ndio unaofanya watu wafilisike haraka. 1. Duka la Vinywaji Baridi na Miamala na Mpesa (Frame ya Mtaani) - Hizi biashara zinatosha jamani. Faida ni ndogo mno, na mteja hana...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Raia wema wote wako salama Tanzania, isipokuwa wahalifu na wakiuka sheria

    Ni muhimu kwa wananchi na waTanzania wote kujitenga na matukio au magenge ya kihalifu, lakini pia kujiepusha kabisa katika kukiuka sheria za nchi na vitendo vya uvunjifu wa amani. Ni vizuri kutii sheria bila shuruti na kuishi na watu vizuri na kwa upendo na amani. Hii itasaidia sana kila moja...
  13. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Ni bora kukomaa hapahapa Tanzania mungu atajaalia, kila nikiwaangalia wanao rudi kutoka Afrika Kusini, nachoka kabisa

    Sina sababu ya kupost picha yoyote kuwadhalilisha lakini, mtu anakaa afrika kusini miaka 30 lakini dah. Maisha ya ugenini tena kwenye nchi za watu mambo ni magumu sana, ni kheri kama vipi, kaza tu hapahapa bongo aisee, mambo ya kukimbiakimbia, noma sana, ndo mana mo dewji, aligoma kufanya kazi...
  14. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Air Tanzania wasiboreshe uwekezaji ndani ya nchi kwa sasa?

    Kama kuna kitu mpaka sasa utakuwa umegundua kwa Tanzania ni kwamba ni watu ambao hawapendi sana kwenda nchi za watu. Yeah wabongo wanaenda sana Dubai (UAE) na China lakini huwa wanaenda kwa biashara zao na kurudi Tanzania. Watanzania wanaosafiri kwenda kuishi nchi za mbali, au hata kutalii tu...
  15. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Deogratius Nalimi Kisandu officially changed his name to CIVILIAN - COIN NALIMI KISANDU in the Tanzania Government Gazette published on August28, 2026

    ABOVE IS A STILL PICTURE OF CIVILIAN-COIN NALIMI KISANDU also known as CIVILIAN-COIN. The name CIVILIAN - COIN NALIMI KISANDU was officially published in the Tanzania Government Gazette on August 28, 2026. [1] The publication serves as a formal legal notice of a deed poll executed in Kahama...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania chini ya Samia, imewakabidhi DRC Mwanaharakati Denise Dusauchoy ili akanyongwe. Ni mkosoaji wa Felix Tshisekedi

    Picha za kwanza za Denise Dusauchoy akiwa nchini ya ulinzi #Kinshasa -Kongo Huyu alikamatiwa akiwa uwanja ndege katika Kilimanjaro tarehe 30 Agosti kufuatia hati ya kukamatwa kwake iliyotolewa serikali ya Kongo Denise Dusauchoy Mukendi mwanaharakati kupitia mitandao ya kijamii alikuwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa Sugu au Lema ndio wanashika nafasi ya Heche, siasa za Tanzania zingekuwaje?

    Natafakari hapa, Kwa hali ilivyo je wanasiasa kama vile Sugu au Lema wangeendelea kukomaaa kama aivyokomaa Heche Wegesa Kuna mwanasiasa yeyote ndani ya CHADEMA anaweza kuwa na msimamo kama Heche na Lisu
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TANZANIA LEO – IJUMAA, SEPTEMBA 4, 2026 🇹🇿

    📌MSIMAMO WA Rais SAMIA BEI SARUJI WATIKISA — Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza hatua za kudhibiti kupanda kwa bei ya saruji na kuhakikisha wananchi wanapata bidhaa kwa bei nafuu. 📌Mhe. Mwigulu: Tuwawezeshe Watanzania kushika uchumi wao, kupunguza umaskini — Serikali yaweka mkazo katika...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Maloto: Tanzania inahitaji 'Statesmen', si wakosoaji kama Warioba

    Mwandishi wa makala za siasa, Luqman Maloto, amesema Tanzania inahitaji wakosoaji, lakini pia inahitaji viongozi wastaafu wenye hadhi ya 'Statesman' ambao wanaweza kuwa washauri na wapatanishi katika nyakati za misukosuko ya kisiasa, akibainisha kuwa mkosoaji anayejenga uadui na uongozi uliopo...
  20. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Dola Yapungua Nguvu Dhidi ya Shilingi ya Tanzania $1

    Mabadiliko ya viwango vya kubadilisha fedha tarehe 2 Septemba 2026 yanaonesha kuimarika kidogo kwa Shilingi ya Tanzania (TZS) dhidi ya Dola ya Marekani (USD) na Rand ya Afrika Kusini (ZAR). Viwango vya Mabadilishano (NMB) Dola ya Marekani (USD): Bei ya kununua imeshuka hadi Sh2,590 (kutoka...
Back
Top Bottom