tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. min -me

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anaesomea nursing na ukunga ndio mtu shujaa sasa kwa Tanzania

    Kozi ya nesi kwa Tanzania ni dhahabu mno , diploma RN wa nesi na degree , acha upumbavu wa kukaa kifala , wewe ni dhahabu mno kwenye huu ulimwengu. C.c Kiranga
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TANZANIA YAONGEZA MAUZO YAKE NJE YA NCHI

    Katika mwaka ulioishia Julai 2026, mauzo ya bidhaa na huduma nje ya Tanzania yalifikia Dola za Marekani bilioni 19.99, sawa na ongezeko la asilimia 16.5. 🥇 Dhahabu: Sh. trilioni 14.93 🏭 Bidhaa za viwandani: Sh. trilioni 5.83 🌾 Mazao ya asili: Sh. trilioni 4.29 ✈️ Usafiri na utalii: Sh. trilioni...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais wa Tanzania na tukio la kigaidi la September 11, 2001 (25th Anniversary)

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Kuelekea maadhimisho ya miaka 25 ya tulio la kigaidi la September 11, 2001, Rais wetu wa JMT Samia S Hassan anaweza aka-post statement hii katika accounts zake za mitandao ya kijamii. ===== "As the friendly and peaceful people of the United States of America (USA)...
  4. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz: Sitamani Tiffa aje kuishi Tanzania, wataniharibia mwanangu

    Zikiwa zimebaki siku tatu kuelekea arobaini ya mtoto wa zuchu na Diamond, Densa wa Diamond, Moise Iyobo amemuuliza Diamond amejipangaje kuwalinda watoto wake hawa Wakike ambao tayari anao? Diamond amesema, hatamani mwanae Tiffa aje Kuishi Tanzania Kwa sababu vijana wame mpania sana kulipiza...
  5. Five55

    JamiiForums Tanzania Kahama: Huenda hii ikawa ni miongoni mwashule nzuri zaidi Tanzania ya binafsi yenye ada nafuu lakini haikosi top 10 za Kitaifa || Tunaupongeza uongozi

    Kwa zaidi ya miaka 20 mfululizo, shule za Kwema Modern Secondary School na Kwema English Medium Primary School zimeendelea kung’ara katika 10 bora za kitaifa, zikijipambanua kama taasisi za kipekee zinazojenga msingi thabiti wa nidhamu, maarifa na mafanikio ya kudumu. 11 Septemba 2026 — Shule...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania hakuna familia yenye tamaa ya mali na uroho wa madaraka kama ya Kikwete.

    Vitabu vya dini vinatufundisha tuwe na kiasi, lakini hii familia imezidi hata hicho kiasi. Kuanzia Baba wa familia, mama wa familia, watoto wote wa familia, nasikia vijukuu wengine ni viongozi wa Chipukizi ndani ya chama. Bakresa amefanikiwa kwenye mali na biashara lkn huwezi kumsikia kwenye...
  7. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya "Life Tanzania" ina uhusiano gani na TTCL?

    Kwa muda mrefu sana nimegundua nikiweka SIM Card ya TTCL, ukaenda kwenye SIM Manager, badala ya kuonekana TTCL kama ilivyokuwa inaonyesha zamani, kwa sasa inaonyesha ni mtandao wa "Life Tanzania". Ningependa kujua hii "Life Tanzania" ni nini na uhusiano wake na TTCL. Nimeambatanisha kielelezo.
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kadi ya Mwendokasi haipo kwenye Google Wallet?

    Inawezekana unatamani sana kutumia simu yako ku scan kwenye mashine mbalimbali za ku scan Kadi ili kupunguza kutembea tembea na Kadi kwenye wallet yako sio 👋. Kadi yako inaweza kuwa na mfumo wa NFC na Simu yako Ina support lakini bado huwezi kuhamisha kadi ya Mwendokasi kwenda Google Wallet...
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Timu za Tanzania hazitumii Mascot kwenye Match

    Mascot ni mavazi yenye umbo mbalimbali yanayovaliwa hili kuleta uchachu wa shughuli fulani. Mfano wa mascots ni hizo chini Au hii Mimi natamani zile kamati za hamasa na vikundi vya ushangiliaji zingekuwa zinabuni hizi mascot na kwenda nazo viwanjani, hususani kwenye mechi za kimataifa...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Asimikwa Mkuu wa Machifu Tanzania

    • 8,Septemba 2021 — Rais Dr. Samia Suluhu Hassan Asimikwa kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania ▪︎ Tarehe 8 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alisimikwa kuwa Mkuu wa Machifu wote Tanzania katika Tamasha la Utamaduni lililofanyika Kisesa, Magu, Mwanza. ▪︎ Katika tukio hilo, Machifu walimtawaza...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Algeria kukuza ushirikiano katika sekta ya viwanda vya dawa

    Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mobhare Matinyi, Septemba 7, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Viwanda vya Dawa wa Algeria, Dkt. Wassim Kouidri, katika ofisi za wizara hiyo jijini Algiers. Mazungumzo hayo yalihusu namna ya kuimarisha ushirikiano zaidi katika sekta ya viwanda...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Prof. Malima Alivyokabili Njama Dhidi Yake Ndani ya Bunge la Tanzania

    Kuhusu Chuki na Kuzomewa kwa Profesa Malima Bungeni "...Malima watamzomea kadri anavyoweza lakini kama atarejea yeye kujibu hautastarehe na nafsi yako...". Kuhusu Maswali ya Bajeti Kuibiwa na Kufananishwa na Wanafunzi Walioiba Mtihani Wakati maadui zake walipoiba hotuba yake ya bajeti na...
  13. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Co-parenting Tanzania na Afrika: Kwa nini ni vigumu wazazi kulea watoto bila migogoro?

    Nataka kuuliza hivi: Kwa Tanzania au Afrika kwa ujumla haiwezekani wazazi kulea watoto bila kuwahusisha na migogoro yao? Watu wanaanza mahusiano vizuri lakini baada ya muda mambo yanabadilika na wanafika hatua wanashindwa kuendelea pamoja Mmoja au wote wanaamua kwamba kila mtu aishi maisha...
  14. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Usaili wa ajira za Tanzania: Je, Waombaji wanapewa nafasi ya kweli kushindana au ni geresha?

    Ninaandika makala hii si kwa sababu nimekosa kazi, wala si kwa sababu nina malalamiko binafsi dhidi ya Benjamin Mkapa Hospital (BMH). Ninaandika kwa sababu nilishiriki katika mchakato wa ajira wa Hospitali ya Benjamin Mkapa na nikakutana na baadhi ya matukio ambayo, kwa mtazamo wangu, yanazua...
  15. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Kenya waanza kutimua wageni, dunia imebadilika, ubinafsi, roho mbaya vonazodi kututenganisha

    Juzi tuliKua na mtifuano kuhusu wale walio Rudi kutoka AFRIKA KUSINI, sikua na Nia mbaya hata Mimi napenda kwenda kuishi Dubai na ndio ndoto zangu kuishi hata kufia huko. Ila tukirudi na uhalisia wadogo zangu kaka zangu, kama vipi Baki bongo na ukiondoka basi walau acha maisha hata kesho...
  16. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania Kuondoa Wahamiaji Haramu kama Wenzetu?

    Afrika kusini wamekimbiza wahamiaji haramu, waliopitiliza vibali, waii, majambazi na wadaa poa , wanao jiuza kama ajira. Uganda wakafuata kufukuza wageni wa namna hiyo na sasa Kenya kuaznia leo wanafukuza , warundi wamejaa ubalozi kuomba passport na residency permitt. Je, Tanzania nasi tuanzie...
  17. barakachaplin

    JamiiForums Tanzania Fraud Analyst 24/7 Job in Tanzania | TEF Consult

    Job Overview The Fraud Analyst 24/7 will be responsible for detecting and preventing fraud through continuous monitoring of fraud alerting systems for M-PESA and GSM services. The role focuses on real-time surveillance, rapid response to fraud alerts, timely escalation of suspicious activities...
  18. barakachaplin

    JamiiForums Tanzania Reinsurance Officer Job in Tanzania | TEF Consult

    Job Overview Job Purpose The Reinsurance Officer will be responsible for managing facultative reinsurance placements, administering inward and outward reinsurance business, maintaining accurate reinsurance documentation, and providing technical reinsurance expertise to support sound...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kuibuka na kuzama kwa jahazi la Sukuma Gang kwenye medani ya siasa za Tanzania

    "Sukuma Gang" ni jina au msemo wa kisiasa nchini Tanzania unaotumiwa kuelezea kundi la wanasiasa, viongozi, na wanaharakati wa mtandaoni walioaminika kuwa wafuasi wa karibu wa mtazamo, falsafa, na uongozi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Neno hili si kundi...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vipi ICC kunaendeleaje? Ninawaonya wapinzani, hamtafanikiwa kuiharibu Tanzania kwa maslahi yenu.

    Karata ya mwisho ya wapinzani uchwara wa Tanzania ilikuwa kuleta vurugu ili jeshi ipindue serikali ya Rais Samia. Mwanajeshi wa Tanzania kuanzia yule junior afisa kabisa mwenye nyota moja mpaka CDF si watu wa kuokoteza mitaani kama wanavyorecruit kwenye nchi zingine. Ukimwona mwanajeshi wa...
Back
Top Bottom