tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Laiti kama Rais wa Tanzania angekuwa anasemwa na anaowatumbua!...

    Naomba tu niseme, kama Rais wa Tanzania angekuwa anasemwa na anaowatumbua basi tungeona maajabu. Naandika tu mistari michache. "Asikudanganye mtu, hakuna jambo lolote lile analofanya mteule wa Rais bila kuwa na idhini ya Rais" Aisee acheni tu watu waendelee kuilinda heshima ya Rais wa nchi...
  2. JamiiForums Tanzania Huu pia ni udhalilishaji, na hapo ndipo Tanzania inapokuwa " Nchi ya kushangaza"

    Tanzania kwa miaka mingi imekuwa ni nchi inayo boresha elimu kwanza na baadaye yanafiata mambo mengine ya barabara, lilimo viwanda na nk. Cha kuchangaza ni kwamba awamu hii imesahau lkabisa kuboresha elimu hasa ya msingi. Wengi watanishanga kwamba mbona sijaona elimu bure inatolea nk. Kutoa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tuweke utamaduni wa kusikilizana ili tusaidie nchi yetu

    Watanzania tumefikia wakati sisi wenyewe kwa wenyewe hatuwezi kusikilizana au kuheshimiana. Watanzani wengi siku hizi wamekuwa wakiangaliwa kibinafsi wakitoa hoja kuliko kusikiliza hoja za wanaotoa. Mara nyingi sana tumekuwa hata hatusikilizani kwa sababu ya woga au kujijengea fikra za uongo...
  4. JamiiForums Tanzania Kinachoiponza Tanzania ni mashitaka dhidi ya mwana habari Erick Kabendera, ni kama marehemu Jamal Khashoggi (Mwanahabari)

    Na huo ndiyo ukweli wenyewe. Mwana habari Erick Kabendera nje ya Tanzania ni mwana habari mwenye nguvu na mwenye uzani sawa na kina Jamal Khashoggi. Hayo mengine yalitokea yakapita kimya bila madhara makubwa. Wapo waliotekwa, wapo waliopotea, wapo walionusurika kuuawa, wapo waliouawa na wapo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania inalipwa mabilioni ya fedha toka nje ambazo zimefanywa siri na serikali hazina rekodi, tumenunulia ndege, na kujenga SGR na Stiegler nk

    Tetesi zlizopo ni kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikilipwa mabilioni ya fedha na kampuni za nje lakini fedha hizi zimefanywa siri bila kuingizwa katika kasri za serikali, na hivyo kuwa nje ya wigo wa ukaguzi wa serikali kutia na CAG. Hili ndilo simulizi lililopo. Nitawawapa dondoo za...
  6. JamiiForums Tanzania TMA yatabiri mvua kubwa mikoa minne Tanzania

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania ( TMA) imetoa tahadhali ya mvua kubwa itakayonyesha katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na kusini mwa Morogoro leo Jumatano Januari 22, 2020. Pia, TMA imetoa tahadhali ya upepo mkali na mawimbi makubwa katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani, Dar es Salaam...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa taratibu za kutoa gari Zambia na kuisajili Tanzania

    Msaada, kuna gari inauzwa Zambia na imesajiliwa inapiga kazi. Nikitaka kuileta Tanzania. Naomba kujuzwa utaratibu na gharama ukoje. Aina ya gari ni Rosa.
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

    Serikali ya Marekani chini ya Rais Mtata, Donald Trump imetangaza kuwa iko mbioni kuziongeza nchi nyingine 7 kwenye orodha ya nchi ambazo Wananchi wake watawekewa vikwazo vya kuingia nchini humo (Marekani) Tanzania imetajwa pamoja na nchi za Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria na...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo 10 makubwa ya Rais wa awamu ya tano wa Tanzania

    Kwa majibu wa China Global Television Network (CGTN )mwaka 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Johnn Pombe Magufuli anaonekana ni Rais wa pekee sana na ni miongoni mwa Maraisi Watano bora (5) Afrika kutokana na njia yake ya pekee ya kuleta mageuzi katika Nchi yake. Mambo hayo 10 ni...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Watawala wa CCM wawe wazi kubadili mfumo wa kuendesha nchi, ujanja ujanja hautaisaidia Tanzania

    Kwa miaka hii minne Utawala wa CCM unashindwa kujipambanuwa. Kuna msigano wa wazi wa itikadi ipi hasa inafaa kufuatwa na mfumo upi hasa unapaswa uwe ndio mfumo wetu wa Utawala. Watu wengi wanaamini ni mfumo mpya " ulibatizwa jina na kuitwa " MAGUFULIZATION" Sijui mfumo huu unalenga nini...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania imeshika namba moja kwenye sera mbovu za usajili wa laini za simu

    Kwa mujibu wa comparitech Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa sera mbovu za usajili ambazo zinafanya mtumiaji wa simu akose faragha ya simu yake, kwa kukosa sharia zinazohusu faragha ya mtu kutumia simu, Usajili wa kutumia alama za vidole unaofanywa pia unaongeza hatari kwa kuwa taarifa za mteja...
  12. JamiiForums Tanzania UK-Africa Investment Summit 2020: Where is top level Tanzania representative?

    Nchi 21 za Afrika zimehudhuria Wawakilishi zaid ya 1500 Miradi ya jumla ya Pauni Bil 6.5 imetangazwa. Je hatutaki fursa hii na sisi wanachama wa jumuia ya madola? Baada ya Brexit mwezi huu kuna fursa kubwa za biashara na waingereza. Au ni bora inatosha kufanya biashara na wachina tu? Deal...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amualika Sultan mpya wa Oman kutembelea Tanzania wakati wowote

    Rais Magufuli amemualika Sultan mpya wa Oman kuitembelea Tanzania wakati wowote. Salamu za Rais Magufuli zimetolewa na Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi aliyeko nchini Oman alikotumwa na Rais Magufuli kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha Sultan wa nchi hiyo. Source: Channel ten
  14. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma wa Tanzania, kikundi maalumu cha Watanzanzania, wajinga wasiojielewa, watashangilia nyongeza ya mishahara hapo May 2020

    Hawa ni wahanga haswa wa awamu hii. Hawajaongezewa mishahara kwa mujibu wa sheria wakiambiwa wanajengewa madaraja na kununuliwa ndege. wapo waliosimamishwa na kufukuzwa kazi kwa mihemko ya viongozi vichaa vichaa. Hatutawashangaa watakapopewa nyongeza ya mishahara iliyocheleweshwa na kutuambia...
  15. JamiiForums Tanzania Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Binafsi nilijiandikisha tena mara mbili lakini nimefuatilia namba zangu NIDA kama naomba mkopo benki. Hakuna nilichoambulia. Uzembe wa NIDA usumbufu nabebeshwa mimi. Matokeo yake naambiwa nijiandikishe upya, yaani nianze taratibu za kwenda kwa Mtendaji, Uhamiaji halafu NIDA. --- Mambo ya...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania kwa nini haihamasishi mauzo ya nyama ya punda China wakati soko liko kubwa mno?

    China nyama ya punda na ngozi za punda zina soko kubwa mno. Kwanini serikali haihamasishi ufugaji mkubwa wa punda Tanzania na kuanzisha minada ya punda?
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania iruhusu Watanzania kumiliki utajiri wa dunia kwa kuruhusu ununuzi na uuzaji hisa masoko makubwa ya hisa duniani

    Kupata Watanzania wengi matajiri sio rahisi tusiporuhusu watu kununua hisa na kuuza kwenye masoko makubwa ya hisa Duniani yaliyoko Ulaya, Marekani na Japan. Huko ndiko matajiri wa dunia huzalishwa kwenye hayo masoko Pia Kuwezesha nchi kuwa na pesa nyingi za kigeni badala tu ya kutegemea mauzo...
  18. JamiiForums Tanzania The World Justice Project Rule of Law Index-2019: Tanzania yashika nafasi ya 91 kati ya Nchi 126 katika Utendaji wa Utawala wa Sheria Nchini

    The World Justice Project Rule of Law Index® inapima ni kwa namna gani Utawala wa Sheria unapatikana na kwa namna gani unavyotambuliwa na Umma kwa ujumla katika Nchi 126 na katika Mamlaka kwa ujumla Duniani kote kulinagana na na Uchunguzi uliofanywa kwenye Kaya 120,000 na Waatalum 3,800 Huku...
  19. JamiiForums Tanzania Kuiongoza Tanzania ni rahisi sana. Zingatia mambo makuu matatu

    Wanabodi habari za jioni! Tangu awamu zote za utawala nimeona serekali zote zikifeli vibaya sana katika kutimiza matarajio ya wananchi! Kwani wananchi wanataka nini? ngoja tuone : 1.KUSHIBA CHAKULA Wananchi wanataka uhakika wa chakula kila mwaka. Wakulima ndio wadau wakuu katika uzalishaji...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini bendera hupandishwa saa 12 asubuhi na kushushwa saa 12 jioni?

    Ndugu wana JF, Ninaswali ambalo nimekuwa najiuliza kwa muda bila kupata jibu. Je ni kwa nini Bendera upandisha asubuhi - saa 12, na ikifika jioni saa 12 ushushwa?. Yawezekana wengi mnafahamu ni kwa nini, hivi msinihukumu kwa kutokujua kwangu, bali mnipe jibu. Nawakilisha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…