Dalili za mlipuko wa nzige mkoa wa Kilimanjaro

Dalili za mlipuko wa nzige mkoa wa Kilimanjaro

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
5,006
Reaction score
4,890
Kuna kila dalili ya kutokea kwa nzige wanaoisumbua Kenya kwa sasa kuhamia Tanzania.

Mkoa wa Kilimanjaro haswa wilaya za Moshi (V), Siha na Hai. Nzige ni wengi kwa sasa, nimewaona Siha na Moshi V.

Ni vema Serikali ikachukua tahadhari kabla ya tatizo kuwa kubwa zaidi.

Pia soma
i. Waziri Kenya aliwa kichwa na Uhuru kisa nzige

nzige.jpg

 
Back
Top Bottom