Hello JF,
Baada ya hili balaa…. kuna umuhimu wa serikali kuwa na record za watu wake.. ni procedure itakayo kuwa kubwa and costly lakini worth it.
Cha kumshauri Ummy Mwalimu, ni kutopanic hili ni jambo la dunia....
Second kupitia records walizo nazo, wa identify sehemu zenye maambukizi zaidi...