A country called "Little Tanzania Republic"

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,129
2,000
There is a country which is known as " Little Tanzania Republic"

To Tanzania, this country is like what Toto Africans Football Club is to Dar Es Salaam Young Africans".

They love us so much. To them we are what the Europeans are to us.

Ukienda kwenye mji mkuu wao ni kama upo Kariakoo.

Hata nyimbo zinazotamba huko ni nyimbo kutoka Tanzania.

Wanatupenda Sana hawa Jamaa na kiuhalisia hawa ndio ndugu zetu wa ukweli.

They are so much loyal to us.

The country called "Little Tanzania "

# Burundi
 

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,255
2,000
Sio kama warundi na wacongo MASHARIKI. Ninetembelea nyingi za Africa and I can tell you warundi na wasema Kiswahili WA Congo ndio ndugu ZETU WA ukweli
Safi.. Bwawa la Mwal Nyerere likikamilika, tutamuomba mh Magufuli kuwa 10% ya umeme unaozalishwa awape nchi maskini zinazotuzunguka za Malawi, Rwanda na Burundi ili nao waweze kupiga hatua!
 

Mario Kejob

Senior Member
Apr 14, 2020
167
250
Adam Smith was right while addressing the theory of population growth and density. Over the years, Burundians have been migrating to Tanzania due to civil war, lack of land, education or pursuing better life in a safe and peaceful country like ours.
So,they have a lot uncles, cousins, grandpa etc. on the other side of the boarder.
What we need to remember as Tanzanians is tha land is not infinite. Over time we will run out it and start seeing conflicts arising everywhere between different communities as evidenced now meaning cattle herders and farmers.
So, proper allocation of this vital resource has to be done to avoid the said conflicts.
 

Mario Kejob

Senior Member
Apr 14, 2020
167
250
Because they have a reached a point of diminishing return, they have to look for opportunities somewhere else.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom