Though the blame of COVID19 spread is on Tanzania, Nairobi has no water for weeks now

Naton Jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
4,603
2,000
Nchi ya hovyo sana, kamji finyu kama kanairobi kananyukwa na uhaba wa maji for decades

Magufuli katoa maji Mwanza mpaka Tabora sasa yanaenda Singida zaidi ya kilometers 330 kwa miaka mitatu tu

Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
 

Lubebenamawe

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
1,364
2,000

MY TAKE
Majirani muache husda malipo yapo hapahapa duniani! Msipoangalia hili suala la ukosekanaji wa maji, infection itaongezeka kupita maelezo!
Duuu eti ndiyo wako kwenye lockdown?? Wakati Tanzania pamoja kutokuwa na lockdown huwezi kuta watu wamebanana hivyo. Hata mask za kushona majirani zimewashinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
8,507
2,000
Nchi ya hovyo sana, kamji finyu kama kanairobi kananyukwa na uhaba wa maji for decades

Magufuli katoa maji Mwanza mpaka Tabora sasa yanaenda Singida zaidi ya kilometers 330 kwa miaka mitatu tu

Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
MK254 UKUJE huku
 

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
25,984
2,000
MK254 anapita kwa mbalii na ndoo yake anaenda kutafuta maji,kutoka kibera anapoishi mpaka Lang'ata na hana uhakika wa kuyapata,na anatakiwa saa12 jioni awe amerudi na ameshalala
Hiyo ni middle income.country
Huyo Kiazi Akija utasikia nimeona waziri wenu anasema SGR yenu imefikia 77%
Yaani hajitambui
Mada hii analeta ile

Nchi yao Hakuna kitu inafanya kwasasa kikafanikiwa
Wapo vibaya
Lapsset hit by budget cuts, state saves Sh7.2bn
 

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
25,984
2,000
Jubelee Tano tena
Screenshot_20200516-072126.jpeg
Screenshot_20200516-074735_1589604833429.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom