tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. P

    JamiiForums Tanzania Historia kuandikwa leo Tanzania: Yanga na Laliga kusaini mkataba wa mchakato wa mabadiliko wa mfumo wa klabu

    WanaJF, Leo kuanzia saa moja usiku nchi itazizima kwa kufanyika tukio kubwa la kihistoria hapa nchini wakati mabingwa kwa kihistoria nchini, Yanga na kampuni ya Laliga ya Spain watakapokuwa wanaingia mkataba wa kuanza kwa mchakato wa mabadiliko ya mfum wa uendeshaji wa timu ya Yanga Mchakato...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda wanaendelea kuwataja madereva wa Tanzania walioathirika Corona, hivi mbona hao hamuwapigii makelele?

    Museveni ni mkaidi balaa, huwa hana muda na ujinga au utoto, hata mkilia lia vipi bado anaendelea kuwaumbua waficha maradhi. Kwake anataja kabisa idadi ya madereva wa kutokea mataifa jirani ambao wana maambukizi ya corona, anawasema Watanzania bila kumumunya maneno, watajijua wenyewe kwao huko...
  3. JamiiForums Tanzania baada ya Barabara ya Juu (Flyover) Ubungo (MRK) kuanza kutumika

    nimecheka sana nilipoisikiliza lafudhi ya huyu jamaa..., anaonekana mwenye furaha sana.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kifo cha George Floyd Mmarekani mweusi kuna cha kujifunza dhidi ya ukandamizaji wa haki za binadamu kwa wanaharakati wetu wa Tanzania?

    Kifo cha kusikitisha! aliwekewa goti shingoni kwa takribani dakika 8 na sekunde kadhaa. Akakata roho huku akilalamika hawezi kupumua! Je, wanaharakati wa Tanzania wa kutetea haki za binadamu na ambao siku zote hutumia Nchi ya Marekani kama kigezo cha haki za binadamu wana Cha kuieleza Dunia?
  5. JamiiForums Tanzania Live on Star TV: Mkuu Maxence Melo wa JF, yuko live ndani ya Jicho Letu Ndani ya Habari, JF ikiwa ndie mtoaji mkuu wa habari Tanzania

    Wanabodi Tuko Live on Star TV, Mkuu Maxcence Mello wa JF, Yuko Live Ndani ya Jicho Letu Ndani ya Habari, JF Ikiwa Ndie Mtoaji Mkuu wa Habari Tanzania, Msikilize Max Paskali
  6. JamiiForums Tanzania Rocket ni ndege ya aina gani? Je upo uwanja wake hapa Tanzania?

    Swali langu ni kujuzwa kuhusu rocket ni aina gani? Ya ndege Maana naiona sana juu mawinguni inapita inatoa sijui ni moshi ule unakuwa mrefu hivi harafu baadaye unafutika, Je? Uwanja wake upo wapi? Kwa hapa Tanzania Au inatua maeneo gani
  7. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusakamwa sana, Dkt. Kigwangalla azindua video ya vivutio vya utalii aliyoibuni, asema sasa watalii wataanza kumiminika Tanzania

    Waziri wa utalii Dkt. Kigwangalla leo amezindua video ya kupromote utalii wetu duniani kote. Dkt. Kigwangalla amesema video hiyo ambayo itasambazwa dunia nzima ikionyesha vivutio vya utalii nchini itawafanya watalii waanze kumiminika Tanzania licha ya mkwamo wa Corona ulioikumba dunia...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Wito kwa TAKUKURU Tanzania

    Niwaombe Takukuru Tanzania! Chunguzeni kikosi cha usalama barabarani kwa RUSHWA!!! Tutaisha! Taarifa za mbinu wanazotumia kikosi hiki kupokea rushwa.... nikwamba madereva wana weka pesa kwenye karatasi inakunjwa kama msokoto wa sigara! Akisimamishwa anadondosha hiyo karatasi. Haya mambo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa Tanzania inadai imefanikiwa kudhibiti virusi vya Korona, nashauri isipewe misaada ya kupambana na Korona

    Kwa kuwa tayari Tanzania imeudhihirisha ulimwengu kuwa tayari imeshinda Vita ya ugonjwa wa Korona na Hadi sasa in wagonjwa wasiofika hata 20 kwa nchi nzima, nazishauri nchi za magharibi ambazo bado zinatoa misaada kwa serikali ya Tanzania yenye lengo la kupambana na virusi vya Korona, nchi hizo...
  10. JamiiForums Tanzania Niombe sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, zichukuliwe takwimu kubaini ni klabu gani ya mpira yenye mashabiki wengi Tanzania

    Habari za wakati huu wadau wa JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mara nyingi katika vyanzo mbalimbali vya habari na tambo za mashabiki wa mpira nchini, kumekuwa na majivuno baina ya mashabiki wa timu mbili hapa nchini (Yanga & Simba) ambao hujitapa huku kila shabiki akidai kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania NHLS ECHO Program Officer at Tanzania Health Promotion Support (THPS)

    OVERVIEW Tanzania Health Promotion Support (THPS) is an indigenous NGO established under nongovernmental organization act No 24 of 2002 in 2011. THPS works in partnership with the Ministries of Health Community Development Gender Elderly and Children (MoHCDGEC) and Regional Administration and...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji 'Kinjekitile Ngwale' wa karne hii

    Habari wanajamvi! Mambo yanayo endelea Nchini yamewakera watanzania kupita maelezo. Wamekereka na kukereka vibaya mno.Awamu ya tano ndio imetia fora. Nitafafanua na mwishoni nitaeleza ni kwanini Tanzania inahitaji Kinjekitile Ngwale wa kizazi hiki. Mapema 2016 maelfu ya wakazi walibomolewa...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania yapongezwa Mapambano Dhidi Ya Virusi Vya Corona

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Pamalagamba John Kabudi (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini, Mhe. Frederic Clavier ambapo pamoja na mambo mengine, Balozi Clavier ameipongeza Tanzania kwa hatua ilizochukua kupambana na janga a...
  14. JamiiForums Tanzania Dunia inashuhudia Tanzania ikionesha maajabu!

    Tanzania inaendelea kuishangaza dunia kwa maajabu yanayofanyika tokea kuzuka kwa Ugonjwa wa Covid-19! Chini ya Rais wake John Pombe Magufuli: Tanzania ilikataa kwenda Lockdown. Tanzania ilikataa kufunga mipaka kuhofia Uchumi kuporomoka. Tanzania ilikataa kufanya vipimo vya Covid-19 kwa kudai...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya barred ethanol from Tanzania

    ===== KRA intercepts ethanol worth Sh6m at Kenya-Tanzania border (KRA) has intercepted 20,000 litres of ethanol concealed under a bag of potatoes at the Kenya-Tanzania border in Namanga. The Kenya Revenue Authority (KRA) has intercepted 20,000 litres of ethanol concealed under a bag of...
  16. J

    JamiiForums Tanzania 30% ya wagonjwa wa Corona duniani wako Marekani, Tanzania yakanusha hospitali zake kuzidiwa na wagonjwa

    Takwimu za WHO zinaonyesha kuwa 30% ya wagonjwa wote wa Corona duniani wako Marekani. Kadhalika Tanzania imekanusha taarifa za ubalozi wa Marekani kuwa hospitali zimexidiwa na wagonjwa wa Corona. Serikali imesema maambukizi ya Covid 19 yamepungua sana na wananchi wanaendelea na shughuli zao...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania ni Taifa kubwa, tusiyumbishwe

    Miaka ya 1776 Jasusi wa Kimarekani William Carmichael alitumwa na Taifa lake kwenda kutafiti na kujua ni kwa namna gani USA inaweza kuteka soko la Tumbaku Duniani ambalo lilikuwa limeshikiliwa na bara Ulaya. Kipindi hicho Ukraine ilikuwa ikizalisha tumbaku Bora kabisa na nyingi Duniani. Jasusi...
  18. JamiiForums Tanzania Almasi inang'aa: Diamond yumo katika video tisa (9) zinazotrend Tanzania Youtube

  19. JamiiForums Tanzania Rasmi: Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea Juni 13

    Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema Ligi Kuu Tanzania Bara itaendelea kuanzia Juni 13, 2020 baada ya kusimama kwa zaidi ya miezi 2 Amesema ratiba ya kuendela na Ligi hiyo iliyosimama kutokana na janga la COVID19, itatolewa wiki hii Jumapili, Mei 31, 2020
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachina wacharanga Watanzania mapanga ndani ya Tanzania

    Halafu mbaya zaidi, walisaidiana na Watanzania wengine kukatakata wenzao kwa mapanga, ama kwa kweli Watanzania mumekua aibu ya Afrika. ====== POLISI mkoani Mbeya inawashikilia watu nane, wakiwemo raia watano wa China, kwa tuhuma za kujeruhi Watanzania wawili kwa kuwacharanga na sime, baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…