Tanzania Tech Gurus Special thread

Steve junior

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
407
500
Hero wakuu, poleni na mihangaiko ya kila siku.

Mimi ni mdau na schoral wa field ya IT na lengo langu kubwa ni kuja kufanya kitu ambacho ni remarkable na nipo chimbo kwa sasa, back to topic nakua inspired sana na wakubwa waliotangulia mfano kwa mbele watu kama Elon Musk, Mark Zuckerberg, Jeff Bezzos, Jack Ma, Late Steve Jobs to mention a few

Leo napenda tupate motivation kutoka kwa local tech Gurus mfano

- Edwin Shayo (CEO wa smart codes) jamaa alipiga mpunga mrefu sana kupitia App yake ya M pepar, kwa sasa naona ana lab yake inaitwa SmartLab na anasoma Harvard, ni miongoni mwa kidogo katika makubwa aliyoyafanya.

- Andron Mendes (Yule jamaa wa Kopagas aliyepiga bilion kama 56 hivi baada ya kuwauzia wazungu)

- Maxence Melo na Mike Mushi wa Jamii Forums

- Jumanne Mtambalike wa Sahara Sparks

- Benji Fernandez na App yake ya NALA

- Wale jamaa wa Max Malipo

- Na wengine pia nadhani tunao humu humu Jamii Forums

Karibuni wakuu muongezee nyama tupate kupeana motivation kwamba inawezekana kua next Mark Zuck au next Edwin Shayo kwa sisi Tech Geeks
 
sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
1,914
2,000
Elimu ya Tanzania mpaka huruma kwa watu wenye ndoto ya kuwa it.

Shuleni nakumbuka kila tukianza mwaka mpya tinajifunza jinsi ya kuwasha computer, ku right click, double click na muda mwingi kucheza game.

Sekondari tumeingia computer lab tunaingia mara moja tu kwa mambo yale yale ya kuwasha computer, mwalim asipokuja ni kucheza game tu.

Form 6 bado nimeenda tunajifunza kuwasha pc, microsoft word, n.k mwalim akiondoka kidogo ni gamea tu

Haya sasa mtu anatoka form 6 yani toka shule ya msingi alichojifunza ni kiwasha pc na mocrosoft word, anataka chuoni asomee computee science kweli !!!! Anadhani kisa kapiga physics na kemia na hesabu basi ndio justification ya kusoma IT, Huu ni udhaifu mkubwa sana kwenye elimu yetu, mwishowe mtu anaishia kukariri tu vitini apate cheti.

HUko vyuoni sijaona cha ajabu kwakweli zaidi ya watu wa IT kuwa wapakuaji maarufu wa series na movies, games na kugeuka kuwa wapiga picha, Kuna kijana alikuja na mtandao unaitw amayoco pale udom ila nikaona ni upuuzi kabisa maana alicopy na kupaste facebook kwa source code zilizorundikana huko mtandoni.

Huyi jamaa wa nala sijaona kama app yake ina umuhimu kivile, naona tu app imebebwa bebwa na promo kibao ila haina kitu kipya, app ya selcom kwangu ni bora mara kumi kuzidi hii ya nala.

kuna jamaa naskia alitengeneza max malipo akapewa bilioni 1 akavuta range rover new model, jamaa nilimshangaa sana.

yote kwa yote projecta nawasapoti ila tu huu mfumo wa elimu yetu unachangia sana tuwe nyuma hii sekta. Yani ingependeza sana kuwe na angalau chule ambazo ni kwajili ya computer kuanzia form 1
 
Unachokisema ni kweli, lakini napingana na wewe jambo moja, kwa huku kwetu kuna mentality fulani hivi ya kutowaamini na IT local, wengi wanawaangalia kwa jicho negative sana, hii inawanyima fursa ya kupata hata tenda muda mwingine, tuwape moyo hata hawa ambao umewazungumzia hapo maana hatua moja huzaa nyingine taratibu tu
 
Tunakuwa na mashaka na hawa IT wetu maana hata system walizotengeneza wao wenyewe wanasgindwa kurekebisha.

Ni mara ngapi umeenda TRA, ofisi za halmashauri au hata posta ukaambiwa hakuna mtandao na tatizo linaweza kudumu siku hadi tatu!! Hapa na mimi ndio huwa nakosa imani na it wetu, Yaani network waliyoisuka wao wenyewe wanashindwa kui trouble shoot irudi hewani, Hapa shirika la serikali napofanya kazi isiohusiana na IT huwa nashangaa sana hawa it wameingiaje humu, Network ikisumbua wao wanachojua ni kurestart server tu mbali na hapo saa nyingine inabidi mtu atoke dar aje kurekebisha tatizo.....Huwa nachoka sana hapa
 
Steve junior

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
407
500
Tunakuwa na mashaka na hawa IT wetu maana hata system walizotengeneza wao wenyewe wanasgindwa kurekebisha.

I
Ukizungumzia mamlaka za serikali ipo wazi kuna Madudu mengi tu katika idara nyingi ikiwemo IT na kuna mambo makubwa mawili yanayopelekea

- Ule mtindo wa kupeana kazi kwa kujuana
Hii inapelekea kuchukua wasio na uwezo kwa kiasi kikubwa kisa tu anafahamika na mtu fulani (Kumbuka IT hasa programming ni uwezo zaidi kuliko cheti au kupeana shavu)

- Kingine ni kufanya kazi kimazoea (IT ni field ambayo inahusisha activities nyingi ambazo lazima researchs za kitaalamu zihusike ili tu labda mfumo uwe bora siku hadi siku) na pia hapa ni uwajibikaji tu kama ilivyo ukienda hospital ukakutana na huduma mbovu ya nesi n.k
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom