YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,909
- 51,904
Maonyesho ya kimataifa ya sabasaba ya miaka yote iliyopita ilikuwa vigumu kuona sura ya Mhindi kwenye hivyo viwanja wa Sabasaba Dar es Salaam mwaka huu wako kibao kila hatua chache unakutana nao familia kibao wazee hadi vikongwe , watoto, wanawake wanaume wakihindi ni wahindi kila kona na wananunua sana bidhaa kwenye mabanda na wamefurahi wanapita mabanda yote bila ubaguzi na kununua na kutaka maelezo.
Nimekuwa mwendaji miaka yote leo ni tofauti na miaka yote. Wahindi wamejipambanua kama sehemu ya Watanzania wengine kutembelea hayo maonyesho.
Zamani ukiona muhindi atakuwa lazima ni muonyesha bidhaa sio mtembelea mabanda safari hii ni tofauti.
Hongereni Wahindi kwa kuonyesha kujali haya maonyesho.