Video: Kenya-Loita yakumbwa njaa baada ya mpaka wa Tanzania na Kenya kufungiwa

Daah! Inahuzunisha sana.. Nadhani huu ni wakati ambao serikali ya Tz ifanye mazungumzo ya kuiuzia kwa mkopo angalau tani laki tano- saba za mahindi (pamoja na mbaazi) serikali ya Kenya ili iwalishe wenye uhitaji.

Serikali ifanye hivyo kwa kukopa BoT kiasi cha pesa kinachoweza kununua kiasi hicho cha mahindi kutoka kwa wananchi ili kuwauzia Kenya na deni hilo litalipwa BoT (BoT ina pesa ambazo inazishikilia kutoka kwenye mabenki ya biashara kama legally required reserve, serikali inaweza kuzikopa) Kenya ikilipa ndani ya miaka miwili.

Hii itawasaidia Wakenya wenye uhitaji lakini pia wakulima wa Tz ambao watapata soko pamoja na makampuni ya usafirishaji.
 
Daah! Inahuzunisha sana.. Nadhani huu ni wakati ambao serikali ya Tz ifanye mazungumzo ya kuiuzia kwa mkopo angalau tani laki tano- saba za mahindi (pamoja na mbaazi) serikali ya Kenya ili iwalishe wenye uhitaji. Serikali ifanye hivyo kwa kukopa BoT kiasi cha pesa kinachoweza kununua kiasi hicho cha mahindi kutoka kwa wananchi ili kuwauzia Kenya na deni hilo litalipwa BoT Kenya ikilipa ndani ya miaka miwili.

Hii itawasaidia Wakenya wenye uhitaji lakini pia wakulima wa Tz ambao watapata soko pamoja na makampuni ya usafirishaji.
Unaonea Huruma Mijitu yenye Roho mbaya na Wivu yanini kila kukicha ni majisifu yakipumbavu waendelee kufunga tu mpaka tuliwaambia ni wanachi wa upande gani watalia lia.
 
Daah! Inahuzunisha sana.. Nadhani huu ni wakati ambao serikali ya Tz ifanye mazungumzo ya kuiuzia kwa mkopo angalau tani laki tano- saba za mahindi (pamoja na mbaazi) serikali ya Kenya ili iwalishe wenye uhitaji.

Serikali ifanye hivyo kwa kukopa BoT kiasi cha pesa kinachoweza kununua kiasi hicho cha mahindi kutoka kwa wananchi ili kuwauzia Kenya na deni hilo litalipwa BoT (BoT ina pesa ambazo inazishikilia kutoka kwenye mabenki ya biashara kama legally required reserve, serikali inaweza kuzikopa) Kenya ikilipa ndani ya miaka miwili.

Hii itawasaidia Wakenya wenye uhitaji lakini pia wakulima wa Tz ambao watapata soko pamoja na makampuni ya usafirishaji.
Asante kwa maoni haya
 
Tuwauzie kwa mkopo wakati wa kununua Kwa cash wapo? Kwa hiyo tuweke pembeni miradi yetu kuikopea Kunyaland chakula! Zile fedha za IMF walizopewa ni za nn?
 
Anadhania kwa sababu mumeingia middle income juzi eti nyie mna pesa kutushinda.
 
Daah! Inahuzunisha sana. Nadhani huu ni wakati ambao serikali ya Tz ifanye mazungumzo ya kuiuzia kwa mkopo angalau tani laki tano- saba za mahindi (pamoja na mbaazi) serikali ya Kenya ili iwalishe wenye uhitaji.

Serikali ifanye hivyo kwa kukopa BoT kiasi cha pesa kinachoweza kununua kiasi hicho cha mahindi kutoka kwa wananchi ili kuwauzia Kenya na deni hilo litalipwa BoT (BoT ina pesa ambazo inazishikilia kutoka kwenye mabenki ya biashara kama legally required reserve, serikali inaweza kuzikopa) Kenya ikilipa ndani ya miaka miwili.

Hii itawasaidia Wakenya wenye uhitaji lakini pia wakulima wa Tz ambao watapata soko pamoja na makampuni ya usafirishaji.
Hao Wakenya si ndio wanatuita malazy, hamna kuwaonea huruma hadi ieleweke nani ni muhimu kwa mwenzake, hamna huruma
 
Back
Top Bottom