Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
SISI CUF MGOMBEA WA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MGOMBEA RAIS WA ZANZIBAR WATAJULIKANA JULAI 27
"Mkurugenzi wa Mipango Na Uchaguzi CUF TAIFA Mhe. Juma Kilaghai ameyasema hayo Leo katika mahojiano na Waandishi wa habari kuwa Tarehe 27 mwezi huu ndiyo siku ya Mkutano Mkuu wa...
CHADEMA isihangaike na uraisi imeweka wagombea ubunge asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania hawawezi shinda au kuunda serikali.
CHADEMA walioomba kuteuliwa na chama kugombea ubunge wameomba majimbo asilimia tano tu ya mnajimbo yote ya uchaguzi Tanzania, asilimia 95 ya majimbo hakuna...
Mahakama ya Afrika yaitaka Tanzania kubadili Katiba kuruhusu Wananchi kupinga matokeo ya Kura za Urais
Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imetoa uamuzi kuwa Ibara ya 41(7) ya Katiba ya Tanzania inayokataza matokeo ya urais kupingwa Mahakamani inakiuka Ibara ya 1,2, 7(1)(a) ya Mkataba wa...
Tunafahamu kwamba hivi karibuni ndani ya mkoa wa Dodoma kutafanyika uchaguzi wa viongozi wa Chama cha wafugaji Tanzania. Mkutano huo umepangwa kufanyika siku ya Jumapili tarehe 19/07/2020 ambapo viongozi wa ngazi ya kitaifa wa chama hicho watachaguliwa kuongoza chama kwa miaka mitatu 03.
Nafasi...
The North Mara mine in Tanzania. It has been alleged that police guarding the mine have beaten,
shot and sometimes killed locals. Photograph: Forbidden Stories
''A corporate watchdog is calling for the London Bullion Market Association (LBMA) to suspend the membership of one of the world’s...
An Analytical Narrative of Nation Formation in Modern Tanzania
Tanzania’s political stability is legendary within Africa. It has never suffered any civil wars, coup d’états or violent national elections, and has had regular presidential and parliamentary elections every five years since...
Kwa muda sasa tumesikia kuwa Tanzania kuna 'wanyonge' na Rais amekuwa akiwapigania kwa kujiita ni 'Rais wa wanyonge.'
Hivi 'wanyonge' wana sifa zipi? Na idadi yao ni kiasi gani? Kitu gani hasa kinawaweka kwenye 'unyonge' kama kweli wapo? Hivi kama kweli hawa 'wanyonge' wapo, wanakombolewa na...
Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Dkt. John Pombe Magufuli.
Kwako Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Natumai unaendelea vizuri na shughuri zako za kila siku.
Mimi ni kijana wako mtanzania halisi mpenda maendeleo na mchapa kazi wa kweli.
Nakupongeza kwa...
Kwa rate ya leo ya kuuza na kununua fedha hizo za kigeni ni kama ifuatavyo
1. USD inauzwa kwa shilingi 2317 na kununuliwa kwa shilingi 2354
2. Euro inauzwa kwa shilingi 2580 na kununuliwa kwa shilingi 2700
3. Paundi unauzwa kwa shilingi 2854 na kununuliwa kwa shilingi 2974
Mabeberu kazi wanayo. Kila tukipiga chenga wao wanafuata nyayo.
Inafikirisha kuwa hata huko Isingiro Uganda mgonjwa wao kwanza aliyepatikana jana, eti naye kapita 'kinyoka nyoka' mpakani akitokea Tanzania kinyume cha utaratibu:
----
The East African region Monday recorded a spike in...
Napendekeza Kutungwe Sheria Kali sana nchini Tanzania ya ama Kuwalipisha Faini au kuwapa Adhabu ya Kusafisha Vyoo vya Jiji au Barabara Wanawake wote wanaogundulika Kutupa hovyo Taulo zao za Kike (Pedi/Sodo) Mitaani. Vile vile hata ikitokea Taulo hizo zimekutwa Nyumbani kwa Mtu au Mtaani basi...
Nina hofu kuwa mafuta yatashuka thamani siku si nyingi hivyo tungechangamka kuchimba mafuta yanayosemekana yamegunduliwa katika bahari ya Hindi.
Mfano baadhi ya nchi jirani wameanza kutumia gesi katika magari yao hivyo ni hatari kwa solo la mafuta. Uganda wanaanza kuchimba siku si nyingi japo...
Huu ni muendelezo wa nyuzi zangu za kiuchumi ambazo ni matokeo ya kutafiti taarifa mbalimbali za serikali kwenye masuala ya fedha na uchumi.
Msukumo wa kuamua kufanya hizi tafiti, unatokana haswa na kuchukizwa na yale majigambo ya wanasiasa na watu wasioelewa mambo, ya eti uchumi kwenye awamu...
''Airtel Tanzania has announced an 85 percent drop in its mobile data price from TZS 40 per megabyte. MD George Mathen, said customers' daily data patterns have increased recently and it is introducing the new data rate in response to this demand.'' ..... ..... .... .....
Mambo ya kulialia oh...
Hivi baada ya Uchaguzi wa mwaka huu unadhani Tanzania nchi tunayoishi na kuitakia mema itakuwaje?
1. Uhuru wa kuabudu utakuwaje?
2. Uhuru wa Mahakama utakuwaje
3. Uhuru wa kutoa mawazo utakuwaje
4. Uhuru wa vyama vingine vya siasa zaidi ya CCM kufanya siasa utakuwaje
5. Uhuru wa kupata...
Credit: Tanzania ‘to register fastest economic growth in East Africa
''Dar es Salaam. Tanzania’s economy is forecast to grow at 5.2 percent this year, while six Eastern African countries’ economies are projected to plunge into recession, blaming the trend on the Covid-19 pandemic, a new report...
ACHANA NA BLACK PANTHER WALE PAKA Au movie ya Wakanda
Leo nakupa historia/ machache kuhusu chama cha Black Panthers.... walioishi kwa falsafa za Malcom X na kusambaratishwa kwa Hila za FBI
Kama unaikumbuka historia ya tupac na Mama yake Afeni Shakur
Afeni alikua mwanajumuia wa Black Panther...
Salaam,
Recently, there has been a discussion re the World Bank's new country classifications by income level.
The classification indicated that Tanzania's economy has changed from being low to lower middle income level.
The change has sparked discussions, which have largely based on crediting...
Habari wanna JF.
Mtu anapopost video, picha au andiko lolote mitandaoni lazima apokee comments tofauti tofauti, Kuna zingine nzuri, zingine mbaya na zingine za kufurahisha.
Ni comment gani ilikufurahisha zaidi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.