Benjamini Mkapa kamwambie Mwalimu Nyerere Tanzania iko salama

Wimbo

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
826
574
Ni msiba mkubwa sana, kwa takribani miaka 20 tunapata simanzi kubwa ya kitaifa. Benjamini kamwambie Mwalimu Tanzania inakwenda vizuri kutimiza ndoto alizokuwa nazo Mwalimu,

Hatutakukumbuka kwa kibinafsisha mashirika, kwa hotuba zako nzuri za kisomi na mpangilio nadhifu, hatutakukumbuka kuisaidia nchi kulipa madeni yake, hatutakukumbuka kwa ujenzi Wa miundombingu hasa barabara nchi nzima, hatutakukumbuka kwa kutujengea uwanja mzuri hatutakukumbuka kwa kuwaingiza vikana ndani ya uongozi Wa Taifa bali kwa kumumuibua John Joseph Pombe Magufuli ambaye ameyakusanya mawazo ya watangulizi wake na kuyaweka katika vitendo na sasa hivi Tanzania inang'ara.

Kamwambie Mwalimu aichungulie Dodoma, aangalie rufiji mambo yanavyokwenda, aangalie madini aliyotuonya subilini watanzania wasome waje wachimbe kwa faida, mkumbushe kutuombea bado donda ndugu la rushwa katika uchaguzi linatutesa atusaidie kumwambia Mungu ampe nguvu John ya kulishinda hili nalo hata ikimlazimu kuteua aliyepata zero kwa haki.
 
Bila kusahau kumwambia kuwa watumishi wa Umma waliotoa Nia ya kugombea ubunge na udiwani kupitia CCM wamenyimwa mishahara yao ya mwezi July.watiania hai kabla ya kukatwa mishahara yao walinunua fomu ya kutoa Nia kwa TSH 100,000 na wakachangia uchaguzi kwa TSH 350,000 na zaidi ,kila mmoja na fedha hizi walikopa wakijua walipata mishahara ya mwezi July watarejesha,Sasa kumekuwa kilio Cha kukosa Kura za maoni,kupoteza fedha walizolipia TSH 450,000 na zaidi na kuambulia kukosa mishahara ya July .Sasa Ni kilio na kusaga meno,Kodi za nyumba hawana,nauli za kwenda kazini hawana.mishahara tangu 2015 hawajaongezewa,bado watumishi hao hao watakuwa kusimamia uchaguzi mkuu October.
 
Attachments

  • VID-20200723-WA0009.mp4
    12.8 MB

Asisahau kumwambia Kuna ugonjw mpya wa cov 19, na nchi nyingine zimefunga mipaka na watu wamefungiwa ndani kasoro Tanzania tu ndo tunapambana
 
Amlalamikie Mwalimu kwamba kuna mtu anadharau gonjwa kubwa kwa kukataa kuchukua hatua kubwa na kuruhusu mikusanyiko mikubwa kama ya kuweka jiwe la msingi la ikulu ya Dodoma ndio haya yametokea sasa na kwamba akina Mwinyi nao wapo njiani wanakuja siku za karibuni.

Umesahau kumwambia amwambie kua Tundu Lissu alipigwa risasi mchana peupe, na alikua nje takribani miaka mitatu ya uuguzi na tunatarajia kumpokea kwa kishindo baada ya kupona majeraha!
Kamwambie tumempata kiongozi anaefanana nae kwa matendo na tunavyoendelea na hekima yako inahamia kwake.
Akamwambie Mungu kamleta Rais aliesimama kwenye maono yake.pia akamwambie maadui wa Tanzania wa nje na ndani wameongezeka maradufu.
Bila kusahau kumwambia kuwa watumishi wa Umma waliotoa Nia ya kugombea ubunge na udiwani kupitia CCM wamenyimwa mishahara yao ya mwezi July.watiania hai kabla ya kukatwa mishahara yao walinunua fomu ya kutoa Nia kwa TSH 100,000 na wakachangia uchaguzi kwa TSH 350,000 na zaidi ,kila mmoja na fedha hizi walikopa wakijua walipata mishahara ya mwezi July watarejesha,Sasa kumekuwa kilio Cha kukosa Kura za maoni,kupoteza fedha walizolipia TSH 450,000 na zaidi na kuambulia kukosa mishahara ya July .Sasa Ni kilio na kusaga meno,Kodi za nyumba hawana,nauli za kwenda kazini hawana.mishahara tangu 2015 hawajaongezewa,bado watumishi hao hao watakuwa kusimamia uchaguzi mkuu October.
Mwambie Nyerere yule BEDUI yupo Ikulu
Kamwambie kwamba bado hatuna tume huru ya uchaguzi ambayo hata wewe ulipendekeza iwashirikishe wapinzani . REST IN PEACE
Asisahau kumwambia Kuna ugonjw mpya wa cov 19, na nchi nyingine zimefunga mipaka na watu wamefungiwa ndani kasoro Tanzania tu ndo tunapambana
Itategemea ameamkaje.
 
Amlalamikie Mwalimu kwamba kuna mtu anadharau gonjwa kubwa kwa kukataa kuchukua hatua kubwa na kuruhusu mikusanyiko mikubwa kama ya kuweka jiwe la msingi la ikulu ya Dodoma ndio haya yametokea sasa na kwamba akina Mwinyi nao wapo njiani wanakuja siku za karibuni.
Nyinyi Ufipa mbona mnakusanyika pia,tena hata barakoa hamvai?
 
Ni msiba mkubwa sana, kwa takribani miaka 20 tunapata simanzi kubwa ya kitaifa. Benjamini kamwambie Mwalimu Tanzania inakwenda vizuri kutimiza ndoto alizokuwa nazo Mwalimu,

Hatutakukumbuka kwa kibinafsisha mashirika, kwa hotuba zako nzuri za kisomi na mpangilio nadhifu, hatutakukumbuka kuisaidia nchi kulipa madeni yake, hatutakukumbuka kwa ujenzi Wa miundombingu hasa barabara nchi nzima, hatutakukumbuka kwa kutujengea uwanja mzuri hatutakukumbuka kwa kuwaingiza vikana ndani ya uongozi Wa Taifa bali kwa kumumuibua John Joseph Pombe Magufuli ambaye ameyakusanya mawazo ya watangulizi wake na kuyaweka katika vitendo na sasa hivi Tanzania inang'ara.

Kamwambie Mwalimu aichungulie Dodoma, aangalie rufiji mambo yanavyokwenda, aangalie madini aliyotuonya subilini watanzania wasome waje wachimbe kwa faida, mkumbushe kutuombea bado donda ndugu la rushwa katika uchaguzi linatutesa atusaidie kumwambia Mungu ampe nguvu John ya kulishinda hili nalo hata ikimlazimu kuteua aliyepata zero kwa haki.

Kwani wasiojulikana wameenda likizo?
 
Back
Top Bottom