tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

    Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene ====== Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje? Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ulitumia nguvu kubwa kwenye kupinga juhudi za Serikali kwenye mapambano dhidi ya Corona. Sasa iambie dunia kuwa Tanzania sasa ni salama

    Kati ya watu wachache waliotumia nguvu kubwa sana kuzibeza juhudi zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya tano, pamoja na wataalam wetu wa ndani katika kupambana na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), ni ndugu yetu Zitto Kabwe. Huyu bwana kwake hakukuwa na jema lolote lililofanywa na serikali, kwani...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ulitumia nguvu kubwa kwenye kupinga juhudi za serikali kwenye mapambano dhidi ya Corona, sasa tumia ile ile pia kuiambia dunia kuwa Tanzania sa

    Kati ya watu wachache waliotumia nguvu kubwa sana kuzibeza juhudi zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya tano, pamoja na wataalam wetu wa ndani katika kupambana na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), ni ndugu yetu Zitto Kabwe. Huyu bwana kwake hakukuwa na jema lolote lililofanywa na serikali, kwani...
  4. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda BBC: Uganda yaweka wanajeshi mpakani na Tanzania baada ya watu kutokea Tanzania kugunduliwa na Corona

    Uganda imeamua kutumia wanajeshi kuzuia muingiliano na Watanzania mpakani, maana watu wanaotokea Tanzania kila wakipimwa wanakutwa na kirusi, kwa sasa hamna cha undugu tena mpakani. Kule Tanzania walishaambiwa corona imejifia kisa kiongozi kasema. === Uganda is clamping down on informal cross...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayotokea Tanzania Leo yalitokea Indonesia 1998

    Indonesia ilikuwa na utawala uliojulikana kama The New Order ulioendeshwa na Rais Surharto. New Order ili dumu madarakani kwa miongo mitatu, watawala walikuwa wamepumzika na hawakuangalia tena matatizo ya wananchi walala hoi. Mwaka 1998 upinzani ulifanya campeni ya nguvu. Pamoja na The New...
  6. JamiiForums Tanzania Yanayotokea Tanzania leo si mageni yalianzia Indonesia mwaka 1998

    Indonesia ilikuwa na utawala uliojulikana kama New Order ulioendeshwa na Rais Surharto. New Order ili sumu madarakani kwa miongo mitatu, watawala walikuwa wamepumzika na hawakuangalia tena matatizo ya wananchi walala hoi. Mwaka 1998 upinzani ulifanya campeni ya nguvu. Pamoja na New Order kuwa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kama kweli CCM itawatia adabu waliotoa rushwa itajenga imani kubwa kwa wapiga kura (Watanzania)

    Taarifa zinasema kumekuwa na rushwa katika chaguzi za CCM kwa miongo kadhaa lakini wadadavuaji wa mambo ya kisiasa wanasema safari hii ilikuwa ni balaa, kwani kura zilipelekwa katika soko kama la hisa au mnadani wa kura kwani mwenye dau kubwa ndiyo alifanikiwa kununua kura za ushindi na mwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira za muda 2020 Tanzania Democracy Support Project (2020TDSP)

    kumbuka malipo hayo yanajumuisha chakula, malazi na usafiri === Project Title: 2020 Tanzania Democracy Support Project (2020TDSP) Organization: Mwangaza Africa Job Title: Civic and Voters Education Field Officers (250 positions) Salary: Tsh 4,530,000/= (2,700,000 for form six) for 3 Months Job...
  9. JamiiForums Tanzania Kukunja kushoto kwenye Mataa

    Mfano mzuri ni kona ya Barabara ya Bibi Titi Mohamed na Mtaa wa Maktaba ukiwa unatokea Mwenge. Mfano mwingine ni TAZARA kama unatoka mjini kukata kona ya kushoto kuingia Barabara ya Mandela. Utakuta madereva wanaogopa kukata kushoto kwa vile watakamatwa. Pana sababu zipi wakamatwe?
  10. JamiiForums Tanzania Dhana ya Ubeberu na Siasa za Tanzania

    Amani iwe nanyi wadau! Leo napenda nitoe Elimu kwa watanzania juu ya propaganda za wana CCM kuwa yeyote anayempinga Raisi Magufuli ni kibaraka wa Mabeberu. Wanasema haya wakitaka kujenga picha kwa watanzania ( wadanganyika) kuwa ubeberu ni kama dhambi au jambo fulani ambalo halifai. Najua kwa...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi upinzani ukichukua nchi Vyombo vya Habari na Wasanii wa Tanzania watakimbizia wapi nyuso zao?

    Sasa imekuwa rasmi wasanii hasa wanamuziki na tasnia karibu zote nchini wanamuunga mkono Rais. Hii sio dhambi, lakini pale msanii anapoimba nyimbo kupondea upinzani kana kwamba upinzani umeletwa nchini na shetani inashangaza sana. Vyombo vya Habari munadhani CCM itatawala milele? Kwa bahati...
  12. JamiiForums Tanzania Asilimia 61 ya eneo la Tanzania hatarini kugeuka jangwa

    Zaidi ya asilimia 61 ya eneo la Tanzania inakabiliwa na hatari ya kugeuka jangwa ikiwa juhudi zaidi hazitachukuliwa kukabiliana na changamoto za uharibifu wa misitu ya asili unaotokana na ongeeko la shughuli za binadamu zisizo endelevu na changamoto za mabadiliko ya tabianchi. Wataalam wa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania wanaishi katika mfumo wa chama kimoja, vipaji vyaweza kudumaa

    Naelewa kuwa Wasanii wengi wanalelewa na CCM kiufadhili na kifursa lakini hiyo siyo sababu ya wao kuishi ndani ya box. Kwa sasa wasanii wote wako busy kutunga nyimbo za kuienzi CCM, hilo ni jambo jema lakini wasisahau kuwa nje ya siasa maisha ni lazima yaendelee. Wasanii wote wanapokuwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Hali ya rushwa katika chaguzi zetu inatisha kuliko wakati wowote

    RUSHWA TUNAILEA RUSHWA INATULEA Hali ya rushwa katika chaguzi zetu inatisha kuliko wakati wowote. Jitihada za kupambana nayo zinalingana na ongezeko la rushwa yenyewe, yaani vita imeongeza rushwa badala ya kuipunguza. Hii ni kwa vyama vyote na wagombea wote. Tofauti ni viwango tu. Kwa hiyo ni...
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni kama Yona/Yunus au Yesu/Issa

    Habarini wana jukwaa hili la siasa na JamiiForums kwa umjula. Mungu aendelee kutupa uzima na afya njema ktk maisha yetu ya kila siku. Niamze kwa kumpongeza kaka yangu Lissu kwa ushindi mnono alioupata kutoka kwa viongozi (wajumbe). Nimeona historia tukufu mbili katika vitabu vitakatifu vya...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi masikini sana

    Huenda uliposoma kichwa cha habari ukawa umejipanga kuja kunikosoa haraka kwamba nchi ina hifadhi nyingi za wanyama, mafuta, gesi, madini yaliyojaa tele nchini na hata kuwa na Tanzanite ambayo ipo hapa tu duniani kote, mlima kilimanjaro na vitu vingi ardhi hii iliyosheheni rasilimali. Umaskini...
  17. JamiiForums Tanzania Kuweni makini na wapiga kura wa mitandaoni

    Kukua kwa sekta ya mawasiliano hapa nchini tumeshuhudia mambo mengi pia yakibadilika. Katika nyanja ya siasa na sheria hapa nchini tumeshuhudia uanzishwaji na upitishaji wa Sheria inayoangazia matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii. Leo hii mtu muoga ni nadra sana kuandika kitu cha kuponda...
  18. JamiiForums Tanzania Don Nalimison nimerudisha Kitambulisho Cha Taifa la Tanzania(NIDA) kuanzia sasa sina Kitambulisho cha Uraia wa Tanzania

    Nimekabidhi Masjala Jiji la Mwanza, na pia nimewarudishia PSSSF Kitambulisho Cha LAPF na Pesa zote wakitaka wale au wazigawane, Mimi hayanihusu.
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa kilio hiki cha Kenya kwa Tanzania: Kweli sindano imegusa mfupa

    Kama ilivyo kawaida ya Kenya kuonesha tabia za kitoto za kumchokoza kaka yake au mkubwa kwake kiumri na nguvu. Lakini pale yule mkubwa akichoka kuvumilia na kuamua kumuadhibu labda tu kwa kumpa kwenzi la wastani la utosi, basi huyo mtoto mchokozi hulia na kukimbilia kusema kwa mama/baba. Hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania: TRA Defeats Swedish Firm in 2.12b N/ - Tax Case

    Credit: Faustine Kapama Daily News THE Atlas Copco Tanzania Limited, which is part of Atlas Copco Group, a conglomerate of multinational companies headquartered in Sweden, has lost its bid to oppose payments of tax amounting to 2.12bn/- to the Tanzania Revenue Authority (TRA). This followed...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…