tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Jeshi la Polisi Tanzania

    Jeshi la Polisi ipo kwa lengo la kuwahakikishia wananchi usalama wao na mali zao kudumisha amani na utulivu katika jamii Pia jeshi la polisi lipo ili kubaini na kupambana na uhalifu. Jeshi la Polisi lipo ili kuhakikisha kila mtu anafuata sheria kila hatua Kwa Tanzania kuna Jeshi moja la Polisi...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

    Azimio la bunge la Marekani liliotolewa tarehe 17/09/2020 lenye jina la "Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human rights and constitutional rights and ensure free and fair elections in October 2020, and recognizing the importance of multi-party democracy in Tanzania."...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Belarus inaelekea kuwa kama Venezuela na baada ya hapo ni Tanzania?

    Rais wa Belarus Alexander Lukashenko amesema kwamba wanapaswa kuandaa jeshi kwa ajili ya vita kwa sababu ya hatari zilizoelekezwa kwa nchi yake kutoka Magharibi, "Lazima tufunge mipaka na Magharibi, haswa Poland na Lithuania." alisema. Katika hotuba yake kwenye Mkutano wa Wanawake uliofanyika...
  4. JamiiForums Tanzania Sekta ya Mawasiliano ya simu inavyosaidia ukuaji wa Uchumi Tanzania

    Kwa miaka kadhaa sasa Uchumi wa Tanzania umeendelea kukua na kuiwezesha nchi kufikia lengo la kuwa nchi ya Uchumi wa kati (lower-middle-income economy) ikiwa ni miaka mitano kabla ya kufikia mwisho wa muda iliyokuwa imejiwekea. Huku hili likitokea, Tanzania imejikita katika kuboresha zaidi...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania, Rwanda na Uganda zaunda soko moja la hisa

    Nyakati zabadilika kweli. Tanzania Uganda, na Rwanda zimeungana kuunda soko moja la hisa. Tumetoka siku za COW hivi sasa nchi za Africa mashariki zinaendelea kuitenga Kenya. Kenya imepoteza deals kadha za ukanda huu kwa mda wa hivi karibuni but we still hold strong. Haya yote yanafanyika bila...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania to acquire 25% of EACOP as Oil firms set deadline for FID

    Pipeline deal: Oil firms set date for final investment decision TUESDAY SEPTEMBER 15 2020 By FREDERIC MUSISI The government and oil companies - French Total E&P, and China’s Cnooc - are eyeing December or January as the new dates for taking the final investment decision (FID) for development...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Bi Queen Cuthbert Sendiga Mgombea urais wa Tanzania kupitia ADC, azindua Kampeni Zanzibar, Wavuvi na Wakulima wa Karafuu kuneemeka

    Mgombea wa RAIS Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Bi Queen Cuthbert Sendiga aliwaambia wananchi wa PEMBA endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha wananchi wa PEMBA watanufaika na zao la karafuu kwa kulipandisha thamani ili liweze kuingiza fedha za kigeni na kuwafanya wananchi hao...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya The Civic United Front (CUF - Chama cha Wananchi) ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020 - 2025

    Yaliyomo 1. SEHEMU YA KWANZA ...................................................................... 4 1.1.Kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa .......................................... 8 1.2.Kufuta Umasikini Katika Nyanja Zote........................................... 8 1.3...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KRA vs TRA: Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania

    KRA vs TRA (Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania) KRA: Kenya Revenue Authority TRA: Tanzania Revenue Authority Makusanyo (Tax Collection July 2019 to June 2020) KRA-Kenya: 34 Trillion (Tsh) TRA-Tanzania: 14 Trillion (Tsh) Sababu ni hizi hapa. Matumizi duni ya teknologia (ICT)...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye Tanzania imeruhusu KQ kuingia nchini humo

    Baada ya Watanzania kupiga domo jana kuwa Tanzania haitaruhusu KQ kuingia humo hadi mwakani, Tanzania imeshindwa kungoja hata wiki moja ili kufunza Kenya adabu kama mlivyokuwa mkisema. Yaani hata masaa 24 hazijaisha kabla Kenya kuruhusu malazy kuingia huku, tayari TZ imeruhusu KQ kuingia. Hio...
  11. JamiiForums Tanzania TCAA yaziruhusu Ndege za Kenya kutua Tanzania

    Mamlaka ya Anga Tanzania imeondoa marufuku ya makampuni ya Ndege za Kenya kutua Tanzania Hatua hiyo inakuja baada ya Serikali ya Kenya kuruhusu Watanzania kuingia Kenya bila masharti yoyote yale.
  12. Q

    JamiiForums Tanzania UN imetahadharisha Tanzania kuepuka mazingira ya ukandamizaji hasa kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet ameeleza kuwa, nchini Tanzania kumekuwepo hali ya "kuongezeka kwa ukandamizaji wa kidemokrasia na haki za raia, hali ambayo inazidi kufanya mazingira ya haki za binadamu kuwa duni". Ameeleza hasa mabadiliko ya sheria...
  13. JamiiForums Tanzania Toka mwaka 2015 kuna matukio makubwa ya Kihalifu ambayo yameitetemesha Tanzania na hayajapata ufumbuzi

    Toka mwaka 2015 kumekuwa na matukio makubwa nchini ambayo yaliyumbisha nchi hasa upande wa Idara ya Usalama. Na ambayo waliyoyapanga walifanikiwa kwa Asilimia 100 kuvishinda vyombo vya dora. 1. Tukio la kutekwa na kupotezwa Ben Saanane mwanaharakati ambaye alikuwa akiandika sana suala la Elimu...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapinga ripoti ya UN ya Tume ya Haki za Binadamu

    Waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuwa tathimini iliyotolewa hailingani na uhalisia wa hali ilivyo Tanzania. Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imetoa taarifa juu ya haki za binadamu maeneo mbalimbali Duniani na kuonesha...
  15. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

    MOJA: Reli nyingine zilizopo na zenyewe ni standard gauge - TAZARA, RELI YA KATI, (DAR -KIGOMA) na ya TANGA-ARUSHA MBILI: Marais wengine wote na wenyewe walianzisha mabwawa ya umeme, kuanzia Kidatu na Mtera (Nyerere), wengine wakajenga Kihansi (Morogoro - MKAPA), Hale (Tanga - NYERERE), Pangani...
  16. JamiiForums Tanzania Raia wa Tanzania waruhusiwa kuingia nchini Kenya bila kukaa karantini

    Kenya imetoa orodha ya nchi 147 ambazo raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila kukaa karantini Katika orodha ya sasa, Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi hizo ambapo katika orodha ya awali Tanzania haikuwepo Awali nchi hiyo ilikuwa inalazimisha raia wanaotoka nchi zenye hatari...
  17. JamiiForums Tanzania Pamoja na miundombinu bora ya Ethiopia, bado Wananchi ni masikini. Watanzania tujitafakari

    Jamani ni kweli tunafata nyayo za Ethiopia? Nauliza maana ni kama tunaanza kufanana ndege, mareli, umeme miradi, mbona kama tunafanana nao tu halafu wao pia hawatoagi ajira na serikali inadhibiti kila kitu. Halafu wao wanaangalia maendeleo ya vitu kama sisi tu tumeanza kufanana nao. Naogopa...
  18. JamiiForums Tanzania Reference: Open letter concerns over shrinking Civic Space in Tanzania

    Thursday, 27th August 2020 H.E. HON JOHN POMBE MAGUFULI PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DAR ES SALAAM TANZANIA Dear Sir, REFERENCE: OPEN LETTER CONCERNS OVER SHRINKING CIVIC SPACE IN TANZANIA Your Excellency, receive warm greetings from the rest of Africa. It is our hope that...
  19. JamiiForums Tanzania Heko nyingine ya Rais Magufuli kwenye kupigania maslahi ya Tanzania: Kisa cha bomba la mafuta kutoka Hoima, Uganda hadi Tanzania

    HEKO NYINGINE YA RAIS MAGUFULI KWENYE KUPIGANIA MASLAHI YA TANZANIA: KISA CHA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA HOIMA, UGANDA HADI TANZANIA Na Bwanku M Bwanku Jumapili Septemba 13 mwaka huu tulishuhudia tukio kubwa la kihistoria la kiuchumi, ustawi wa watu, undugu na maendeleo ya nchi yetu kwa kushuhudia...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania imefanikiwa kukua kiuchumi wakati wa kipindi cha #CoronaVirus

    TANZANIA imeongoza kwa ukuaji mzuri wa uchumi katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na eneo zima la Mashariki mwa Afrika lenye nchi 13, katika kipindi chote cha janga la virusi vya corona. Hayo yamebainishwa katika Ripoti ya Uchumi wa Afrika ya 2020 ya Benki ya Maendeleo ya Afrika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…