Zabuni kutoa huduma mbalimbali serikalini mikoa yote Tanzania

faabroz

JF-Expert Member
May 26, 2009
286
69
Kama kuna mdau/Mzabuni anatakaa kutoa huduma mbalimbali Serikalini za (Vifaa vya Ujenzi, Stationary, Vinywaji, vyakula, vipuli vya Magari, Mifumo ya IT, n.k) kila mkoa-Tanzania kwa mwaka 2020/2021 ( *Tambua-bila kusajiliwa hutatoa huduma serikalini*)

Kazi zimetangazwa na GPSA kupitia Mfumo wa Taneps ili kuomba. Kama unahitaji msaada ushauri namna ya KUJISAJIRI/KUOMBA ZABUNI/
NB-Malipo yote utalipa serikali kimtandao, sisi utatupa hela ya bandle na vocha. ahsante

Karibu tukupe huduma ya
Cheki SmS/Call/
0767815994-FUNGO.
 
Kama sijakuelewa hivi kiongozi nyinyi mna-play part gani kwa malipo hayo ya vocha na bundle mkuu...?
 
OK watu wengi hawawezi kuingia kwenye mfumo kwahiyo sisi tunawasadia wanatupa hela kiasi kidogo tu cha fedha baada ya kazi elfu 50 (ili tulipie bandle na mawasiliano ya simu na moderm)- ila vocha na bundle ni tafrsiri tu kuwa malipo sio makubwa
 
Kwa ufupi mnawasaidia makampuni au watoa huduma kujisajili kwenye huo mfumo wa watoa huduma serikalini right? Na mnafanya hiyo kazi kwa kuwatoza pesa ya kubrash viatu shs 50k au nimeelewa tofauti?
 
upo sahihi mkuu, lakini upungufu upo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom