Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Mpaka sasa CCM na CHADEMA vina wafuasi wengi sana kwenye mikutano yao ya kampeni. Kama wingi wa watu ni mojawapo ya viashiria vya kuungwa mkono na watu wengi basi ccm na chadema vinaungwa mkono wa watu wengi.
Nionavyo mimi hamasa ni kubwa sana kwa vyama vyote, hivyo mtu atajidanganya mwenyewe...
"Ni mara chache sana kukuta watu wamefurika hivi tena asubuhi saa 2, wenzetu kule wanajua kuchakata, wanatumia picha za miaka ya zamani waonekane wamejaza watu kwenye kampeni zao, waje wajionee kwenye kampeni za CCM watu walivyofurika, hongereni sana." - Dkt. Magufuli, Igalula.
Kwa haya...
National carrier Kenya Airways (KQ) has resumed flights to Tanzania following the lifting of a ban on local aviation operators.
The carrier says it will operate two daily flights to Tanzania’s capital Dar es Salaam and three weekly flights to Zanzibar...
Kauli ya mwaka 2018
"Natoa Wito kwa Wakuu wote wa Mikoa hadi wale wa Wilaya kuhakikisha kuwa kila Mfanyabiashara mdogo mdogo wa Kitanzania (Wamachinga) awe na Kitambulisho ndipo aweze Kufanya Biashara yake. Ole wake kwa Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ambaye nitakuta Mkoa wake haujalitimiza hili...
RASMI: ACT-WAZALENDO YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CHADEMA
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza chama chao kumuidhinisha Mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Maalim Seif ameyasema hayo saa chache...
"Kuna watu wanagombea urais nimewasikia mwingine anasema ameonewa sana 'nimepigwa risasi', hiyo kupigwa risasi ni jambo baya lakini sio kila anayepigwa risasi anafaa kuwa rais, vinginevyo watu wote wangetamani kupigwa risasi ili wawe marais." - Stephen Wasira.
globalpublishers
Nyie Watoto wa...
Wanabodi,
Kati ya vyombo vyote vya habari duniani, chombo kikuu kabisa cha kuaminika, kwa sisi Anglophone Africa ni our colonial master, The British na shirika lao la habari la kibeberu la BBC London, na kwa Francophone Africa ni France na RFI na F24 TV. Sasa inapotokea chombo kama BBC London...
Tanzanian citizens will go to the polls on October 28, 2020, to elect the President, Members of Parliament (MPs) and local Councilors. For close to five years now, Tanzania has been preparing herself for the constitutionally mandatory general elections.
Hopes by Tanzania’s ruling political...
Wakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika.
----
Napenda...
Kuna clip moja inasambaa instagram ikimwonyesha kijana mmoja mwanafunzi wa CBE akisindikizwa na askari kanzu kupanda kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la kuwa na blog bila leseni kutoka TCRA.
Hizi sheria za kijinga zinapatikana Tanzania tu. Hivi CCM mbona inatulazimisha tuishi...
Wanabodi,
Kwanza sikiliza hii
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, ni moja wa Ma RC very bold katika kuusema ukweli bayana!, leo amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwasababu hawa ni viongozi wa kiutendaji, lakini RC John...
Ninatanguliza heshima na shukurani.
Kwa mtu aliyeolewa Tanzania kwa zaidi ya miaka 10 na kuwa na watoto na mumewe, ikiwa hajafanya taratibu za uraia anaweza kupata cheti cha msamaha wa kibali cha kazi?
Iwapo anaweza kupata msamaha ninaomba kujua ni taratibu zipi za kufuata.
Asante.
Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT.
Kiukweli ingependeza sana kama Tundu Lisu angekuwa ndiye mwenyekiti wa CHADEMA kwa sababu anamzidi sana Freeman Mbowe kimaarifa na kwa kukubalika.
Lakini kwa...
If Uhuru is not careful he will be the first Kenyan President to be not accorded an official invitation by Tanzania
Dah yaani Rais wa Burundi hajatimiza hata miezi mitatu tayari kakaribishwa na kazindua jengo! Yule wa Kunyaland amebakiza miaka miwili aondoke madarakani, no oficial invitation...
USIKU YAONEKANA KAMA JIJI LA NEW YORK AU LONDON. WENYEWE WAMWOMBA RAIS KIKWETE, MZEE WA VIJISENTI AKAWASAFISHE
WAKAZI wa Kijiji cha Gamboshi, kilichopo wilayani Bariadi, Mkoa wa Shinyanga, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete awasaidie kusafisha kijiji chao kutokana na jina baya lililoenezwa duniani...
Kumekuwa na mijadala kutoka kwa watu mbalimbali hata humu JF kuwa mataifa ya nje na Jumuiya za nje zinaingilia Uchaguzi wetu, wengine wamefikia hatua ya kusema kuwa kuna baadhi ya wagombea wametumwa na ‘mabeberu’ kwa makubaliano fulani.
Kama kweli, Je, Jumuiya za kimataifa kama UN, EU, na...
Watu wengi sina hakika kama wanaliona hili ila Muziki wa Bongo fleva kwa kifupi umeingiliwa, umechakachuliwa na too bad ni kama unakufa.
Nadhani wanaopenda muziki kama mimi wanapata tabu tu na hawana la kufanya.
Na katika hili Clouds media ( Hususani marehemu Ruge ) hawezi kuepuka lawama...
COVID-19 is historical in Tanzania: Why don't USA, UK, EU and others copy from TZ how to fight against Coronavirus?
Basically the title: Here in Tanzania, COVID-19 is spoken about by using past-tense; life in Tanzania has returned to normal. The way things in Tanzania have by and large returned...
Amani iwe nanyi watu wa Mungu!
Kwa kipindi cha miaka 59 tangu uhuru, Tanzania imekuwa ikiongozwa na Chama cha mapinduzi. Katika miaka hii yote watanzania wamepitia mengi sana ila kila siku maisha ya watanzania yamezidi kuwa ya kuogofya na ya kusikitisha. Umasikini umekuwa donda kuu la...
Wadau karibuni tujaribu kuchambua uzuri na udhaifu wa marefa wa VPL na wale wa EPL. Kwa vile hapa nchini kumekuwa na malalamiko kuwa kuna watu wanabebwa. Pia huko EPL kumekuwa na malalamiko juu ya marefa licha ya uwepo wa VAR.
Tuanze na
1. Yupi refa bora Tanzania na England pia
2. Yupi...