Wachina bana, licha ya mapokezi yote hayo Tanzania, wanatoa kamsaada ka dola laki na nusu ($150,000)

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,401
Wamepokewa kwa mbwembwe zote hizo halafu kwenye bakuli la msaada wanatia dola laki moja, hizo hata zikidadavuliwa vizuri zitagharamikia tu mapokezi, mbona Wachina wamekua wabahiri hivi.

=========

Dar es Salaam. Serikali ya China imekabidhi msaada wa dola za Marekani 1,50000 kwa ajili ya kuendeleza fani ya uvuvi katika chuo cha kisasa cha Ufundis Stadi (Veta) kilichopo Chato mkoani Geita.

Msaada huo ulitolewa leo Ahamisi Januari 7, 2020 na Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi muda mfupi baada ya kuzindua chuo hicho akishirikiana na Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako.

Yi ambaye yupo katika ziara kwenye bara la Afrika atakuwa Tanzania kwa siku mbili amewasili leo na katika uwanja wa Ndege wa Chato-Geita na kupokelewa na mwenyeji wake, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Profesa Palamagamba Kabudi.

Akiwa katika chuo hicho cha Veta, YI amesema “China itaendelea kuisadia vyuo vya ufundi stadi na kwa niaba ya Serikali ya China natoa msaada wa fedha za China Sh 1milioni,”

“Rais wa Tanzania amejenga vyuo vingi vya ufundi katika mikoa mbalimbali kikiwamo hiki cha Chato. China pia inajisikia faraja kujenga vyuo vya ufundi kikiwamo cha Kagera ambacho kikikamirika kitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 1,000 pamoja na programu zote,” amesema Yi huku akishangiliwa.

Yi amewahikikisha Watanzania kuwa balozi wa nchi hiyo ataendelea kuwepo Tanzania na kwamba endapo chuo cha Veta kitahitaji mahitaji yoyote kimwambie huku akisema Tanzania ili isonge na kupata mafanikio inahitaji vijana wengi wenye ujuzi.

“China na Tanzania ni marafiki wakubwa duniani, najisikia furaha kuzindua jengo hili,” amesema Yi ambaye pia ni mwanadiplomasia na mjumbe wa kamati ya kitaifa ya China.

 
Hiyo pesa kaamua kutoa tu kama mchango kusapoti chuo cha veta, mbona wavuvi kawapa pia mchango wake? Lengo lililomleta ni kupokea maelezo ya muajiri wake Tanzania kwenye kazi watakayotufanyia ya kutujengea SGR kwa pesa zetu
Serikali ya Tanzania na China wameingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka...hii ndio habari kubwa leo lakini akili yake fupi imeona hii aliyofungulia uzi ndio habari kubwa kwake.

Wivu ni kitu kibaya hasa pale mitungi ya changaa ilipoishia kichakani
 
Hiyo pesa kaamua kutoa tu kama mchango kusapoti chuo cha veta, mbona wavuvi kawapa pia mchango wake? Lengo lililomleta ni kupokea maelezo ya muajiri wake Tanzania kwenye kazi watakayotufanyia ya kutujengea SGR kwa pesa zetu
Naskia tayari mumeshaanza kuzungusha bakuli
 
Hiyo pesa katoa tu kwa mapenzi yake,kilichomleta ni sgr,halafu baada ya miezi kadhaa ataenda uganda kufanya deal kama hili,kitachofuata hapo lile reli lenu wakunya lililoishia porini litakua completely white elephant
What's the meaning of white elephant?
 
Hiyo pesa kaamua kutoa tu kama mchango kusapoti chuo cha veta, mbona wavuvi kawapa pia mchango wake? Lengo lililomleta ni kupokea maelezo ya muajiri wake Tanzania kwenye kazi watakayotufanyia ya kutujengea SGR kwa pesa zetu
Mbona msijenge SGR wenyewe? Mbona mnajengewa?
 
Markings za Run-way zimefanywa kienyeji sana? Upuuzi mtupu. Hii takataka ndio ulikuwa unasema inashinda Kisumu airport ambayo runway yake ina international standards markings? Ina hadi lighting kwenye runway kumaanisha kuwa runway inaweza kutumika usiku ilhali hili gofu la chato linatumika mchana pekee

Tazama runway ya Kisumu airport inavyofanana usiku

View attachment 1671914
Acha Ujambazi rudisha picture ulipoirob now

Screenshot_20210108-192013.png
 
Huyo waziri wa mambo ya nje wa China yupo kwenye ziara ya barani Africa siyo kwamba alikuja kwa ajili ya Tanzania pekee...





Cc: mahondaw
 
Wachina sio watu wazuri, licha ya kuwaita kuwa ndugu wa damu bado wanaonyesha ubahiri wao, hovyo sana hao watu.
Hawa Ndiyo Mnawaita Wadau Wa Maendeleo
IMG-20210108-WA0004.jpg
zamani Hawakuwa Wakijulikana Kwa Lolote
 
Back
Top Bottom