Baada ya Simba SC kushinda leo dhidi ya FC Platinum hatimaye CAF yatangaza Tanzania mwakani kuingiza timu nne

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Nasisitiza Maamuzi haya ya CAF siyo kwa Ushindi wa Namungo FC bali ni kwa Ushindi mnono wa Simba SC na Kufuzu Kwake Makundi CL iliyopo.

Taarifa: Mtandao rasmi wa CAF

Ni matumaini yangu sasa Timu zingine zote hasa ile yenye Washamba wengi nchini Tanzania itaitii na Kushukuru kubebwa sana tu na Simba SC.
 
Nasisitiza Maamuzi haya ya CAF siyo kwa Ushindi wa Namungo FC bali ni kwa Ushindi mnono wa Simba SC na Kufuzu Kwake Makundi.

Taarifa: Mtandao rasmi wa CAF

Ni matumaini yangu sasa Timu zingine zote hasa ile yenye Washamba wengi nchini Tanzania itaitii na Kushukuru kubebwa sana tu na Simba SC.
Hebu onyesha hapa iyo habari ipo wapi

Back
Top Bottom