tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Faustine Ndugulile afungua Kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi cha Shirika la Mawasiliano Tanzania

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndugulile afungua kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi cha Shirika la Mawasiliano Tanzania leo katika ukumbi wa Kambarage, jengo la Shirika la Nyumba la Taifa, jijini Dar es salaam. #Siku100ZaUtekelezaji.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wamfuatilia Abu Yasir Hassan anayesakwa na Serikali ya Marekani kwa ugaidi Mozambique

    Gazeti la Nation.Africa Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports | HOME US sanctions Tanzanian linked to terrorism in Mozambique la nchini Kenya linaripoti habari hii ya mtanzania kuwekwa ktk listi ya mtu hatari, kiongozi wa magaidi na anayefadhili ugaidi katika jimbo...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duh! shamba la bibi linaendelea kuchumwa, shehena lakamatwa Marekani lililojaa wadudu kutokea Tanzania

    Wenzetu kwenu huko kila kitu kinachumwa kwa kwenda mbele, vyote hivyo ni dili, inashangaza kizazi cha sasa mnaojiita "walioelimika" bado mnaliwa kama ilivyokua kwa mababu zenu japo sitashangaa maana maprofesa wenu ndio hao wanafuata vikombe vya maji ya tangawizi Madagascar na kutangaza eti...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ma-MC kuigiza Tamthilia, Njaa au Fursa?

    Njaa imezidi kubana kiasi kwamba watu wanachungulia fursa popote. Yaani hakuna kuacha hata kazi ya Buku. Sisi wasanii wadogo tunaponea wapi?
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yaipita Uganda na Kenya kwa kuwa na wanawake wengi bungeni

    Ripoti ya 2021 ya Inter Parliamentary Union imeaonesha Tanzania inongoza kwa kuwa na wabunge wanawake ukilinganisha na Kenya na Uganda. Tanzania ina wanawake 36.7% ya bunge hivyo iko nafasi ya 34 kidunia. Aidha Uganda imeonekana kuwa na wabunge wanawake 34.9% na iko nafasi ya 37 kidunia huku...
  6. JamiiForums Tanzania TFF inapaswa kumchukulia hatua zaidi mchezaji wa Tanzania Prison aliyetolewa kwa kadi nyekundu dhidi ya Simba

    Nimerudia kuangalia tena rafu ile ya kishamba aliyocheza yule mchezaji, nimejiridhisha kwamba kadi nyekundu pekee haitoshi , yule mchezaji anastahili adhabu zaidi, ikibidi hata kufungiwa michezo kadhaa. Hili likifanyika litaongeza nidhamu kwa wachezaji wengine, haiwezekani tukaacha wachezaji...
  7. JamiiForums Tanzania Special Thread: Job Opportunities at ITM Tanzania Ltd

    Habari Wanabodi Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya matangazo ya kazi kutoka ITM Tanzania Ltd. ......... Kufahamu kuhusu ITM Tanzania Ltd tafadhali tembelea: https://www.jamiiforums.com/threads/itm-tanzania-ltd-tunaomba-ukaribisho-wenu-wanabodi.1834571/ Ahsanteni na karibuni #WeAreITM
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna atakayefanikiwa kuihujumu Tanzania

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi teule na nchi yenye kuonesha njia kwa Africa na Dunia katika nyanja zote. Wapo maadui wengi dhidi yetu wenye mbinu mbalimbali lakini Tanzania ni babalao. Haijawahi kushindwa na kamwe haitashindwa. Tanzania imeshasimama. Tanzania ni wabishi, wababe na...
  9. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini? Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha kama alivyofanyiwa Dr. Mpango. Nililisema hili hata wakati wa zile tetesi nyingine wakati ule. Rais...
  10. JamiiForums Tanzania Mtindo mpya wa ujenzi Tanzania hiden roof (contempolary)

    Contempo.(hiden roof) ni mtindo mpya wa ujenzi wa nyumba Tanzania lakini wengi wanaishia kupata hasara kwasababu wanajenga bila kua na michoro ya kitaalamu hivyo zinaishia kuvuja. Ili ujenge mtindo huu unatakiwa kwanza kuwasiliana na wataalamu wa ramani wakuandalie mchoro hutapata shida...
  11. JamiiForums Tanzania John Mrema akanusha taarifa za kifo chake zilizoenea mtandaoni

    Jamii ikifikia mahali watu wanahasimiana hadi kuombeana vifo na majanga, jee, hiyo jamii ipewe sifa gani? Mimi nitakuwa nimekosea kweli kuiita ni jamii ya watu wenye roho mbaya na unyama unyama? The Tanzania I used to see and know under Mwalimu (RIP mzee wetu) is totally unrecognizable today...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mama Samia: Mataifa yanajifunza mengi kutoka Tanzania, hata Marekani sasa ina Makamu wa Rais Mwanamke

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amewataka wanawake wa Tanzania kujiamini kwani wanawake ni jeshi kubwa. Mama Samia amesema mataifa mengi huko duniani hujifunza kupitia Tanzania ndio maana hata Marekani sasa ina makamu wa Rais mwanamke na hilo ni jambo jema. Chanzo: TBC Maendeleo hayana vyama!
  13. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika kuleta sampuli zao kuchunguzwa Tanzania

    MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema kuwa kutokana na umahiri wa maabara zilizopo kwenye Mamlaka hiyo zimeweza kutoa huduma ya upimaji wa sampuli mbalimbali kutoka Katika nchi tofauti za Afrika. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa TMDA ,Adam Fimbo katika mkutano maalum na waandishi wa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Burundi yapiga marufuku uingizaji wa mahindi na unga kutoka nje

    Serikali ya Burundi imepiga marufuku uingizaji wa mahindi na unga nchini humo kutoka nje ya nchi wakihofia kuwemo kwa sumu kuvu katika punje za mahindi. Marufuku hiyo itadumu kwa miezi sita kuanzia 08/03/2021 My take; Tanzania tujipange vizuri haya ndio masoko yetu. Pia soma > Kenya yatangaza...
  15. JamiiForums Tanzania Tovuti ya Shule ya Sekondari Kawawa yadukuliwa

    Habari zenu wanajukwaa na ma great thinker wa JF. Matumaini yangu ni kwamba tunaendelea salama, kwa waliopatwa na matatizo nawaombea kwa m/Mungu awasaidie. Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu, imekuwa jambo la kawakda kwa tovuti nyingi za kibongo kutokuwa na structure, organization...
  16. JamiiForums Tanzania Ndugulile: Kama hauna uhakika na taarifa usipost, usiretweet, ku-like wala kukomenti

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amewatahadharisha wanaochapisha taarifa wasizokuwa na uhakika nazo. Kuanzia jumatatu, Februari 21, Ndugulile amesema wataanza kuwachezesha wote wanaotoa taarifa potofu na wanaofanya utapeli. Amesema kama hauna uhakika na...
  17. JamiiForums Tanzania Historia ya Tanzania

    Historia ya Tanzania ilianza na wakoloni wa Ulaya. Karne ya 18 ilikuwa na dola ndogo za miji katika mwambao baada ya kukaliwa na waarabu kutoka Oman. Ilikuwa karne 7 baadae mwaka 1499 wakati baharia wa Kireno Vasco da Gama alipotembela visiwa vya Zanzibar. Baada ya takribani miaka 100 au kabla...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mahindi tani 260 kutoka Tanzania yakwama mpaka wa Holili upande wa Kenya

    Takribani tani 260 za mahindi kutoka Tanzania yamekwama katika mpaka wa Holili upande wa Kenya yakihofiwa kuwa na sumu kuvu Meneja wa TRA kituo cha Holili amesema mahindi hayo yamepimwa upande wa Tanzania na kuonekana ni salama kwa chakuka lakini yapofika Kenya yalizuiwa na kuchukuliwa sampuli...
  19. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mahindi ya Tanzania ni salama

    MAHINDI YA TANZANIA NI SALAMA. Tanzania na Kenya Zimalize Mzozo Kidiplomasia - Zitto Kabwe Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe ameitaka Serikali ya Tanzania kukaa mezani na Serikali ya Kenya kumaliza mzozo wa Soko la Mahindi ya Tanzania nchini Kenya. Ndugu Zitto amesema...
  20. J

    JamiiForums Tanzania NIMR: Tunafanyia utafiti dawa 7 za Kitanzania kama zinatibu Covid 19, chanjo za Magharibi bado hazijathibitika kukinga

    Mkurugenzi mtendaji wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema taasisi yake inafanyia utafiti dawa 7 za Kitanzania zikiwemo 4 za kufukiza kama zinatibu Covid 19. Utafiti wa dawa hizo za asili ambazo zimetumika toka enzi za mababu zetu zinafanyiwa utafiti na wanasayansi wetu kupitia baadhi ya hospitali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…