Tanzania yaipita Uganda na Kenya kwa kuwa na wanawake wengi bungeni

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,006
9,872
Ripoti ya 2021 ya Inter Parliamentary Union imeaonesha Tanzania inongoza kwa kuwa na wabunge wanawake ukilinganisha na Kenya na Uganda. Tanzania ina wanawake 36.7% ya bunge hivyo iko nafasi ya 34 kidunia.

Aidha Uganda imeonekana kuwa na wabunge wanawake 34.9% na iko nafasi ya 37 kidunia huku Kenya ikiwa na wanawake 21.6% na hivyo kuwa ya 107.

Aidha Rwanda na Burundi wako nafasi nzuri zaidi katika ukanda wa Afrika Mashariki, kwani Rwanda ina wanawake 61.3% bungeni ambapo ni ya kwanza kwa kuwa na wanawake wengi duniani.

Burundi ina wanawake 38.2% bungeni ambapo iko nafasi moja juu ya Tanzania.

1615456429639.png
 
so what?
Wanaaidia nini kupambana na u-diki -tata?
wanakuza uchumi wakiwa wengi?
Wewe familia yako ikiwa na wanawake wengi kibarazani nini kinatoke?
 
Hakukua na haja ya hii habari kuja kwa style ya ku compare na EA countries.
 
-Si kweli, kumbuka mwanamke ana akili sana sema akikaa Bungeni kila mwezi ana siku 6 ambazo akili haipo vizuri, yaani "kukpasuka yai-hedhi"
-anawaza watoto
-Anawaza mume.
-Boss anamtongoza
Unategemea utendaji gani hapo, msituonee
mwanamke hawezi kubishana na mwanaume hasa mwanaume akiwa na madaraka
 
Ripoti ya 2021 ya Inter Parliamentary Union imeaonesha Tanzania inongoza kwa kuwa na wabunge wanawake ukilinganisha na Kenya na Uganda. Tanzania ina wanawake 36.7% ya bunge hivyo iko nafasi ya 34 kidunia...
Umekwisha kula ugali wako? Samahani kama nitakuwa nimekukwaza.
 
Back
Top Bottom