tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania ASA Microfinance (Tanzania) Limited Jobs, March 2021- Loan Officers (LO’s)- (100 Posts)

    JOB TITLE: Loan Officers (LO’s)- (100 Posts) Job Responsibilities: ● To build and maintain a substantial and high-quality loan portfolio. ● To conduct members recruitment and screening. ● To orient clients to the particular loan products and services. ● To make groups in all working days in a...
  2. JamiiForums Tanzania HJFMRI Tanzania Jobs, March 2021- Program 4 Drivers

    JOB TITLE: Program Drivers (4 Posts) Reports to: Logistics Manager Locations: Dar es Salaam, Mbeya, Rukwa, and Katavi The drivers will be located in all program areas depending on need. Job Summary This position will provide logistical support to HJFMRI program activities in five regions of...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tarehe 17. Tarehe iliyondika historia za majonzi Tanzania. Je, imebeba ujumbe wa kiroho, au ni coincidence tu?

    TAREHE 17/03/2020 Tanzani ilitangaza rasmi kuvamiwa na janga la korona na taasisi zote za elimu kufungwa na hatua mbalimbali za tahadhari zikatolewa. TAREHE 17/02/2021 Kifo cha makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Hayati Maalim Seif Shariff Hamadi. (RIP) TAREHE 17/02/2021 Kifo cha Katibu mkuu...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania yapata Suluhu baada ya Pombe

  5. JamiiForums Tanzania Tanzania Chamber of commerce, Industry and Agriculture (TCCIA) Jobs, March 2021- IT Systems Officer

    JOB VACANCY Click below to read more and apply: 1. IT Systems Officer- (1 Post) Deadline for applications: 31st March 2021
  6. JamiiForums Tanzania Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
  7. JamiiForums Tanzania TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14

    Mnamo tarehe 19 Machi 2021, aliyekuwa Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, kufuatia kifo cha Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Kuapishwa kwake kunaibua suala la msingi la kikatiba juu ya...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake mnachanganya mambo. Mama Samia Suluhu ni Rais wa Tanzania si Rais wenu

    Kuna baadhi ya Wanawake wameanza kuchanganya mambo wanadhani Mhe. Samia ni Rais wa Wanawake, napata wakati mgumu kuwaelimisha kuwa huyu si Rais wa Wanawake. Ni Rais wa Tanzania. na hili wanapaswa kuelimishana. Kuna wadada wameandika "hatimaye tumepata Rais wetu sasa" mwingine kaandika "Wanawake...
  9. JamiiForums Tanzania MTAZAMO: Mungu bado hajalitupa taifa lake la Tanzania

    Nakumbuka mwaka 2012 nikiwa mkoa mmoja nyanda za juu kusini nilikuwa mwana maombi upande wa UKWATA.Kipindi Fulani wana maombi walikubaliana kufanya mfungo wa takribani siku 30 huku wakiomba Mungu awajibu mambo kadhaa. Mambo hayo ilijumuisha kubainisha harakati za kichawi kwenye ile shule, Mungu...
  10. JamiiForums Tanzania Lema: Narudi Tanzania

    Godbless Lema asema anafikiria kurudi nyumbani Tanzania, Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ambaye alikimbilia ughaibuni kwa madai ya wasiwasi wa usalama wake mara baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 anafikiria kurudi nchini Tanzania. Baada ya kifo cha Rais Magufuli Lema...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania wapata Suluhu baada ya Pombe

    Hongera Tanzania kwa Suluhu.
  12. JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini Tanzania ya Mama Samia itakuwa yenye neema kubwa sana kwa Watanzania

    SABABU NAMBA MOJA: Mama Samia Suluhu Hassan ni CHAGUO LA MUNGU moja kwa moja. Kwa lugha nyingine Mama Samia amechaguliwa na Mungu moja kwa moja kuwa Rais wa nchi hii. Namaanisha hivi urais wa Mama Samia is a result of a Divine/ Heavenly Decree. Mungu mwenyewe ndio...
  13. JamiiForums Tanzania IKULU, DAR: Mama Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika awamu ya tano, Samia Suluhu Hassan anaapishwa leo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya 6 kufuatia kifo cha Rais John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya 5 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. WASIFU WA SAMIA SUHULU...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania ni kubwa kuliko yeyote, tuwe na matumaini

    Tumepata shida hii tena, lakini bila shaka maisha ya watanzania ni lazima yaendelee pamoja na kuwapoteza wapendwa wetu. Tusilie sana kama vile watu tusiokuwa na matumaini. Tuchanganye yale yote mazuri waliyotuachia Marais wetu Nyerere, Mkapa na sasa Dr. Magufuli kama mtaji katika kuijenga...
  15. JamiiForums Tanzania Mufti wa Tanzania asema maadili ya Uislamu yanataka marehemu wote wakumbukwe kwa mazuri

    Mufti wa Tanzania, Aboubakar Zuberi ametoa pole kwa Watanzania wote na walioguzwa na taarifa za kifo cha Rais Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021. Amesema kwa maadili ya dini ya kiislamu marehemu anatakiwa kukumbukwa kwa mazuri. Hivyo ametoa wito kwa watanzania kukumbuka mazuri ya Rais...
  16. JamiiForums Tanzania Nimemsamehe aliyekuwa Rais wa Tanzania John Magufuli lakini sitomsahau kwa yote aliyonifanyia

    Inawezekana ningekuwa na chuki kiasi kikubwa sana kutokana na mambo mbalimbali ambayo aliyatenda au nena Mh. Rais alipokuwa Madarakani. Kwa njia moja au nyingine yalitesa na kuumiza watu wangu wa karibu na mimi mwenyewe pia. Lakini inapofikia mtu akawa mgonjwa mahututi akiwa kitandani hana...
  17. JamiiForums Tanzania Shairi: Tanzania takumbuka, lala pema Magufuli

    MAGUFULI, DAIMA TUTAKUKUMBUKA Kifo hakina rufani, pia hakina huruma, Kimempoka kundini, Rais mwenye heshima, bado ali ujanani, mudawe umesimama, Daima tutakuenzi, Tangulia Magufuli Kifo hakina rufani, kwa kila mja lazima, Kwa uchungu na huzuni, natakabari Karima, Mjao yu mikononi, Dunia...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

    Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu? ====== 37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
  19. JamiiForums Tanzania Daraja la Ileje kubomoka: Uhandisi Tanzania umeshuka Viwango?

    Nimeangalia picha ya daraja lililojenga na kuanguka nikajiuliza, ni mhandisi gani aliyejenga daraja lile, je bado amesajiliwa na leseni yake ya uhandisi bado iko hai anafanya kazi kama kawaida? Daraja hili limefeli kwa mchanganiko wa torsional deflection na bending deflection, na hayo ndiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Lini Tanzania itapata kiongozi kama Hugo Chavez? Watanzania hatunufaiki na rasilimali zetu

    Marehemu Hugo Chavez alikuwa kiongozi anayefaa na kama hapa Tanzania tungekuwa na kiongozi kama Hugo Chavez tungefurahia kuwa Watanzania. Leo hii hili taifa lina kila aina ya rasilimali ambazo kama tungekuwa na kiongozi makini basi tusingesikia wananchi wanapata tabu. Leo hii wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…