tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Case Close: Aishi Manula ni Tanzania One, Case Starts: Namba moja Afrika

    Itoshe kusema kwamba ndani ya misimu hii mitano huyu ndio golikipa bora kwa Tanzania. Kumlinganisha na golie wengine ni kumkosea heshima tu. Tusisubiri mpaka Rais Samia amtolee tamko. Hii kesi tunaifunga na faili tunalitupa makumbusho. Tunafungua faili jipya tunasema Aishi Manula anatosha kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

    The speech of Madam president today has given new hope of abiding to the rule of law and good governance which activists were clamouring for years. We are beginning to see commitment to the rule of law and good governance after the rights of whistle blower will be restored. No more incitement...
  3. JamiiForums Tanzania Maana ya Jina la Rais wa Tanzania, Samia Suluhu

    Jina la Rais wetu Bi Samia Suluhu limeundwa kutokana na maneno ya Kiarabu. 1) Samia: Maana yake ni msikivu. Neno hili hupatikana hata katika salat za kila siku kwa Waislaam, pale Muislam anaposali, akinyanyuka kwenye rukuu husema "Samia Llahu liman Hamida". maana yake, Ni "Allah humsikia mwenye...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lethal Covid strain

    World's most mutated covid-19 variant to exist yet, found in 3 travellers from Tanzania, Researchers have submitted data to the World Health Organisation(WHO) and they call for greater monitoring.
  5. JamiiForums Tanzania ITV News Uingereza yaeleza hali ya Corona Tanzania

    Vyombo vya habari vya kimataifa vimetangaza kuwa Tanzania inachukuliwa na upepo wa corona kwakua nchi hiyo imeamua kuzika kichwa chake ardhini. Waandishi wa habari hao walitembelea Tanzania na kujifanya ni Watalii. Walipohoji raia umuhimu wa kuvaa barakoa, wengi walisema wanamuamini Mungu.
  6. JamiiForums Tanzania Marais wa EA wapata chanjo ya Corona, isipokuwa wa Tanzania

    Hatimaye wakuu wa EA wamepata chanjo ya kujikinga na gonjwa hatari la Corona, isipokuwa Rais wetu Mama Samia. My Take Uzi hauhitaji hoja yeyote,ni taarifa tu
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania hata akija kutawala malaika bado kelele zitakuepo tu

    Kuna watu tayari wana imani kubwa juu ya awamu ya 6, lakini tujiulize je anatumia katiba ipi? Ile ile au amekuja na yake? Basi kaa ukijua mabadiliko ni machache sana. Binafsi nachokiona kwa Samia ni ubinadamu, utu na usawa, kikanda, kieneo na kidini, haya mambo tuliyakosa sana kwa mtangulizi...
  8. JamiiForums Tanzania SICPA Tanzania Jobs, March 2021- Data Analyst

    JOB TITLE: Data Analyst Req ID: 20524 Location: Dar Es Salaam (TZ10), Tanzania Department: Customer Projects Deployment & Services (50015623) Job Family: Sales and Customer Support PURPOSE OF THE JOB: We are looking to employ a Data Analyst to actively participate in Service Centre activities...
  9. JamiiForums Tanzania Unabii unavyotumika vibaya Tanzania

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya uchuro unaofanywa na watu wanaojiita manabii katika Nchi ya Tanzania. Bila shaka nimefuatilia uchuro mwingi sana jambo ambalo nimeona siyo vyema kuacha kuandika ili kama wapo humu waelewe tumeshawagundua na jambo la msingi zaidi waache uchuro ili...
  10. JamiiForums Tanzania Leo na Kesho: CCM izidi kutawala Tanzania

    Habari Tanzania! Naomba kushiriki nanyi mawazo mapana na mtazamo usio kikomo. Katika uongozi wa awamu ya tano (5) nimegundua mambo makuu yafuatayo; 1. Nchi hii wapinzani waliopo wote kwa vyama vyote vilivyopo si wema kabisa 100% na hawafai abadani. 2. Rais kujiita mtetezi wa wanyonge ilikuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania community has shown the world how Magufuli was democratic leader

    Rest in Peace and Power Dr John Pombe Magufuli the late President of The United Republic of Tanzania. I must say The late JPM has suffered a lot of criticism from the western media propaganda,puppet opposition leaders who intentionally and purposeful tried to dissappoint Magufuli adminstration...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna haja Marais wote wajao wa Tanzania wawe wanatoka Zanzibar

    Kwa miaka mitano na ushee tukiwa chini ya Rais Magufuli tumeshuhudia utamaduni mpya ukijengeka Tanzania. Nchi imepoteza utaifa na sasa kuna ukabila, ukanda na ubaguzi wa kimaeneo! Kwa miaka mitano tumeshuhudia uwekezaji katika maendeleo ukiwa zaidi kanda ya Ziwa na hasa mikoa ya Geita, Mwanza...
  13. JamiiForums Tanzania Chama cha wake wa Viongozi Tanzania kinawahusisha akina nani?

    Wakati wa kuweka mashada ya maua leo kwenye ratiba kulikuwa na mwakilishi wa chama cha Wake wa Viongozi. Hivyo hicho chama kinahusisha wake wa viongozi wa ngazi zipi na malengo yake hasa ni nini. Wajuaji tu naomba mtujuze.
  14. JamiiForums Tanzania Kalambo Waterfalls Tanzania

    The Kalambo Falls on the Kalambo River is a 772ft (235m) single drop waterfall in Tanzania, very near the border with Zambia at the southeast end of Lake Tanganyika. The falls are some of the tallest uninterrupted falls in Africa (after South Africa's Tugela Falls, Ethiopia's Jin Bahir Falls...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania, Kenya zapewa mkono wa kwaheri AFCON

    Bao pekee la nahodha Emilio Nsue Lopez dakika za 90 kwa timu yake ya Equatorial Guinea limesukumiza nje Tanzania katika kutafuta tiketi ya kufuzu Africa Cup of Nations (AFCON) hapo jana usiku. Mchezo ukimalizika kwa matokeo hayo ya 1-0 licha ya mlindalango Aishi Manula kufanya kazi kubwa ya...
  16. JamiiForums Tanzania Human Resource Assistant at The Aga Khan Health Service, Tanzania (AKHST)

    Overview The Aga Khan Health Service, Tanzania (AKHST) an institution of The Aga Khan Development Network, has completed a major expansion of the Aga Khan Hospital. Dar es Salaam. This expansion aims at enhancing the Hospital’s facilities, technology and capacity which will allow it to become...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Mzanzibar amewahi kuwa Mkuu wa chombo Cha Usalama hapa Tanzania?

    Tunaposema vyombo tunazungumzia JWTZ, TISS, Magereza, Uhamiaji na Polisi. Je, Kuna wazanzibar wamewahi ongoza vyombo hivi katika nafasi ya juu kabisa( mkuu wa chombo)? Tuwafahamu Kama wapo!
  18. JamiiForums Tanzania Taifa Stars yabamizwa 1-0 Equatorial Guinea na kukosa ticket ya kushiriki AFCON 2022...

    TUMETOLEWA RASMI!!!! Ungana nami kuanzia saa 4 kamili kupata updates za video, Mechi ya Equotorial guniea vs taifa stars HIGHLIGHTS KIPINDI CHA KWANZA 1. CHUPU CHUPU 2. MANULA ANATUSAVE 3. MWAMBA. KIPINDI CHA PILI ASANYE MANULA VIJANA WA EWUATRIAL WAMEDOMINATE SANA MSUVA...
  19. JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa Serikali ya Tanzania na ni fedheha mbele ya Wageni kushindwa kuwatambua wapinzani kwenye msiba wa Dkt. Magufuli

    Nafahamu kwamba siasa za CCM kwa vyama vya upinzani zimejaa uadui na uhasama wa kutisha sana , na ndio maana vyama vya upinzani kwa miaka 6 sasa vimepigwa marufuku kufanya siasa za majukwaa kinyume cha Sheria na Katiba ya nchi. Lakini hatukutarajia chuki hizo zifike hadi kwenye Msiba wa Rais wa...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya risks UK blacklist over open Tanzania border

    Kenya risks UK blacklist over open Tanzania border Terminal 1A at Jomo Kenyatta International Airport. FILE PHOTO | NMG Summary Britain’s Telegraph newspaper, quoting a source from the British High Commission in Nairobi, said that Kenya is likely to be added to the ‘red list’ by March 29...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…