tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna protocol za ovyo kabisa kwa Viongozi wetu

    Yaani kiongozi anashuka kwenye gari anazungukwa na minders zaidi ya hamsini wengine wananing'inia kwenye milango, hadi kiongozi anaenda kukaa jukwaani kaambatana na minders zaidi ya 20 wanamzunguka hadi anakaa na bado kuna wanamsimamia kwa nyuma, kwa hatari gani aliyokuwa nayo kiongozi wa nchi...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku Kuu ya wafanyakazi duniani, nchini Tanzania Kauli Mbiu ya Mei Mosi 2021: “Masilahi Bora, Mishahara Juu, Kazi iendelee”

    Heri ya siku kuu ya wafanyakazi! Hii ni siku iliyobeba matumaini makubwa kwa wafanyakazi wote Tanzania. Baada ya kupandisha mishahara kwa mara ya mwisho July 2015 (by Kikwete) ni takribani miaka 6 sasa wafanyakazi wameambulia patupu. Matarajio kutoka kwa Rais: 1. Kuhimiza kufanya kazi kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Tanzania msipende na kufurahia mno Ushindi wa 100% katika Chaguzi zenu kwani mnadumazwa Kifikra na Wapiga Kura Wanafiki

    Ikitokea GENTAMYCINE nagombea Uchaguzi wowote ule halafu Matokeo yakitoka naambiwa nimeshinda kwa Kishindo ( 100% ) upesi sana nitayakataa na kutaka Uchaguzi urejewe upya. Ila ikitokea GENTAMYCINE nagombea Uchaguzi wowote ule kisha Matokeo yakatangazwa nimeshinda kwa 65% nitayapokea kwa Furaha...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania Prisons msijidanganye. Yanga siyo Simba. Wazoeeni hao hao siyo Sisi

    Mmejanga mazoea na Simba mnadhani na Yanga ni kama Simba. Mazoea yenu huko huko msilete kwa Yanga Mnapolalia nyie siye ndo tulipoamkia. Wala hatuna mchecheto. Kona na njia zenu tunazifahamu. Simba mnawawezea sababu hawajui hiyo michezo.sisi siyo Team ndogo kwa taarifa yenu. Leo tunawala...
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Ajira - ECOACT Tanzania

    INTERNSHIP OPPORTUNITY Position: Accountant cum Sales ECOACT Tanzania, is a social enterprise based in Tegeta DSM, Our core business is transforming plastic garbage to manufacture plastic timbers used for building, construction ad well as furniture making. Requirements a) Diploma/ degree in...
  6. JamiiForums Tanzania Sehemu ya kwanza: Nikiwa Rais wa Jamhuri ya watu wa Tanzania

    Habari Tanzania! Sifa nzuri na safi ya kuwa Rais wa Tanzania inanogeshwa zaidi endapo unaifahamu ardhi yote ya taifa; haiba za raia; matakwa ya taifa; lengo la maendeleo; ustawi wa jamii na ubora wa maisha ya ndoto za waliowengi. 1. Viwanda Tutaanzisha viwanda vipya vidogo vyenye tija na...
  7. JamiiForums Tanzania TANZANIA NA MAAJABU YAKE: Lijue Ziwa linalojigeuza kuwa mawe

    TANZANIA NA MAAJABU YAKE Ni kweli usiopingika kuwa mazingira yetu yana mambo mengi ya kustaajabisha na kuvutia, kwa siku chache zilizopita nilielezea kuhusu uwepo wa ziwa lenye rangi ya pinki ambalo linapatikana Bara la Australia, kwa mshangao wa ajabu kabisa nikaja kugundua kuwa hata hapa...
  8. JamiiForums Tanzania 3 New Jobs At MDH Tanzania, April 2021

    JOB VACANCIES Click below to download pdf file: Bofya chini hapo kudownload pdf: MDH TANZANIA JOBS APRIL PDF
  9. JamiiForums Tanzania New Job At Palladium International Tanzania, April 2021- Officer, Procurement

    JOB TITLE: Officer, Procurement Location: Dodoma, Tanzania Position Summary: Palladium is currently recruiting a Procurement Officer to work for the ACHIEVE project. This person will be based in Dodoma, Tanzania. This full-time position will assist the project with activities related to...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ni zaidi ya Dikteta

    Yaani ukitofautiana kidogo tu na Mbowe uje nje. Haya yametokea baada ya kuwaengua wabunge wote wa CUF na James Mbatia katika baraza la mawaziri vivuli bungeni yeye kama mnadhimu mkuu wa kambi rasimi ya upinzani bungeni. Hili limekuja kutokana na kutofautiana kisiasa katika vyama hivi, wakati...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kahawa ya TANZANIA yaongoza kwa ubora duniani, kahawa ya Kenya yawa ya kumi

  12. JamiiForums Tanzania Wale wanaopiga pesa online Tanzania, vipi mnatumia platform gani kupokea pesa?

    Mbali na PayPal??.
  13. JamiiForums Tanzania Wakati Kenneth David Kaunda anatimiza miaka 97, tuangalie uhusiano wake na Ally Sykes 1953

    KENNETH DAVID KAUNDA NA ALLY KLEIST 1953 Leo Kenneth Kaunda katimiza miaka 97. Nimeangalia picha ya Kenneth David Kaunda na picha hii ikanikumbusha uhusiano wa Kaunda na Ally Kleist Sykes wakati Afrika ilipokuwa katika harakati ya kupigania uhuru wake. Usiku umekuwa mwingi In Shaa Allah kesho...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Sasa ni takribani mwezi mmoja na siku kumi baada ya Tanzania kumpoteza Dkt. Magufuli

    Ni mwezi mmoja sasa Baada ya kumpoteza JPM Rais wa Awamu ya Tano wa Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Sasa imepita mwezi mmoja na siku karibu kumi na moja kwa Serikali ya awamu ya sita chini ya mama yetu Samia Suluhu Hassan lakini ni wazi kabisa kwamba mfumo wa kuongoza na kuendesha...
  15. JamiiForums Tanzania Huenda Tanzania ikawa inauza data kwa bei ndogo kuliko nchi zote Afrika

    For the second year running, Tanzania is the country in East Africa where you will pay lowest to access the internet on your smartphone, according to data released recently by British technology research firm Cable. The report, Worldwide Mobile Data Pricing 2021, reveals that Somalia is no...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kampuni zanazonunua mahindi Tanzania

    Naomba kufahamu kampuni ambayo inajihusisha na ununuzi wa mahindi hapa Tanzania ... kwa mtu yeyote anaefahamu naomba msaada please.
  17. JamiiForums Tanzania Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

    Kwanza kabisa ni wanachama wenzake ambao walishazoea kupiga madili makubwa. Hawa walishazoea kukwapua mabil ya shilingi na wao huona kama wamekwapua shilingi elfu moja. Hawa walishamchukia sana kwa kuziba mianya yao ya upigaji. Pili ni wanasiasa wa upinzani ambao baada ya kusambaratisha vyama...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Amnesty International wanajaribu kuishinikiza Tanzania kununua chanjo ya Covid-19

    Ukitembelea tovuti ya Amnesty International ukurasa wa Tanzania utakuta wamebandika andiko wakitaka kamati iliyoundwa ya corona itumike kuhakikisha kuwa Watanzania wanachanjwa chanjo ya corona. Kinachonishangaza ni kuwa mataifa ya nje yanaongeza sana shinikizo kwa mama kuhusu corona. Wanaingia...
  19. JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia gari yenye usajili wa Zanzibar, Tanzania Bara?

    Wandugu, Nina gari Zanzibar, nataka kuja nalo bara, na niweze kulitumia kwa miezi michache. Swali langu: je, ni process gani zinatakiwa kufuatwa? Kama kuna mtu yeyote amewahi kupata changamoto kama hii naomba aniambie alitatuaje.
  20. JamiiForums Tanzania Askofu Bandekile Mwamakula aungana na Bavicha kusalimia Wafungwa wa kisiasa waliolundikwa kwenye Magereza za Tanzania tangu uchaguzi wa 2020

    Baba Askofu amesema amefurahishwa sana na ziara ya kibinadamu iliyojaa utu inayofanywa na viongozi wa Bavicha ya kutembelea Magereza za Tanzania kwa lengo la kuwasalimia na kuwapa moyo Wafungwa na Mahabusu waliowekwa selo kwa miezi mingi kwa tuhuma za uongo za kisiasa zilizoshinikizwa kinyama na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…