Kampuni zanazonunua mahindi Tanzania

jkagubho

New Member
Feb 19, 2016
4
3
Naomba kufahamu kampuni ambayo inajihusisha na ununuzi wa mahindi hapa Tanzania ... kwa mtu yeyote anaefahamu naomba msaada please.
 
Mkuu kampuni zipo nyingi ila wana masharti sana sijui kama mtawezana, maana wao hayo mahindi wanaupgrade yawe mbegu, sasa wao wanataka wakusimae kupanda n.n
 
Kwanini usipeleke mwenyewe Nchi ya jirani yako, mbona Nchi ya Kenya walishafungua biashara hiyo, nenda mwenyewe mpakani
ukishindwa wauzie Bodi ya Nafaka Arusha, Dodoma, Iringa nk
 
Back
Top Bottom