tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. namriny

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuamue kubaki na fani ya Ualimu na Udaktari

    Habari, Yaani kitu ambacho nimekiona kwa nchi yetu ya Tanzania, ajira zikitangazwa, utasikia tunaongeza walimu na wataalamu wa afya, ni mara nyingi sana matamko yanakuwa hivi. Sasa ina maana hawajui kama Tanzania kuna watu waliosomea fani mbalimbali, na je, wao hawana haki ya kuajiriwa na...
  2. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Program Assistant Trachoma Surgical Outreach NTD Programs at Helen Keller Intl – Tanzania

    Job Announcement Program Assistant – Trachoma Surgical Outreach NTD Programs Established in 1915 with Helen Keller as a founding trustee, Helen Keller International works to save the sight and lives of the most vulnerable and disadvantaged. Headquartered in New York City, Helen Keller Intl...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Sheria na taratibu za umiliki wa ardhi Tanzania Bara

    SURA YA KWANZA HISTORIA YA MFUMO WA MILKI YA ARDHI Chimbuko na misingi ya mfumo wa umiliki na matumizi ya ardhi yaliyopo sasa umepitia katika vipindi vifuatavyo:- A. MFUMO WA MILKI YA ARDHI KABLA YA UKOLONI Katika kipindi hiki mfumo wa milki ulikuwa na sifa nne zifuatazo:- · Ardhi yote...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu awasili Kenya, aweka kidole Mkataba wa Bomba la gesi Dar-Mombasa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo tarehe 04 Mei, 2021 kuelekea nchini Kenya ambako anafanya Ziara Rasmi ya siku 2 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta. #KaziIendelee ====== Rais wa Tanzania, Samia Suluhu...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutembelea Kenya kwa ziara ya siku mbili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSamia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya siku mbili nchini Kenya Anatarajia kufanya ziara hiyo kuanzia Mei 4, 2021 ambapo atapokelewa na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Ziara hii ya Rais Samia Suluhu Hassan itaambatana na ufunguzi wa kongamano la...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Maparachichi ya Tanzania yanavyouzwa nje ya nchi kwa kupewa uraia mpya

    MAPARACHICHI YA TANZANIA YANAVYOUZWA NJE YA NCHI KWA KUPEWA URAIA MPYA Tanzania imejizolea umaarufu kwenye nchi za kiarabu kutokana na maparachichi yanayolimwa na kusafirishwa kutoka kwenye Taifa hili kuwa na ubora wa hali ya juu. Pia Tanzania huzalisha maparachichi mengi kuliko nchi yoyote...
  7. Mhere Mwita

    JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Agizo: Wasafiri watakaoingia nchini watakaa karantini siku 14 kwa gharama zao

    Serikali ya Tanzania hii leo imetoa mwongozo mpya kuhusu ugonjwa wa corona ambapo wasafiri watakaokuwa wanatoka katika nchi zenye maambukizo ya virusi vipya vya corona watatakiwa kukaa karantini kwa siku 14. Mwongozo huo uliosainiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya ya nchi hiyo Profesa Abel...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Our first, First Family in Tanzania. May God Bless them

  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai haya uliyosema kuhusu Wabunge wa CHADEMA waliofukuzwa mbona mwaka 2017 hukuyasema wabunge wa CUF walipotimuliwa?

    Bila aibu wala kuona soni unadiriki kusema kuwa ili uamini kuwa hao akina Mdee na wenzake 18 lazima upewe muhtasari wa kikao kilichowafukuza? Mbaya zaidi unaongea bila aibu kuwa ili wewe upate uthibitisho kuwa hao akina Mdee walifukuzwa unataka uthibitisho kuwa natural justice ilizingatiwa. Hivi...
  11. FisadiKuu

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini kila migogoro ikitokea Dangote Cement lazima Obasanjo atue nchini?

    Wasalaam Wakuu, Hivi ni kwanini kila kunapotokea changamoto/ mgogoro kwenye kiwanda cha Dangote Cement Mtwara basi ndani ya siku chache tu lazima Rais Mstaafu wa Nigeria Obasanjo atue nchini na kuzungumza na Mkuu wa Nchi? Ilitokea hili mara mbili wakati wa Rais Hayati Magufuli, na hivi majuzi...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Dhahabu ya Kijani (GREEN GOLD) Itakayokuza Uchumi wa Wakulima wa Tanzania

    Dhahabu ya Kijani (Green Gold) ni zao linalostawi vizuri katika maeneo yenye milima zenye mvua nyingi angalau nusu mwaka. Afrika mashariki linastawi vizuri katika nchi za Tanzania, Uganda Burundi na Rwanda zina utajiri mkubwa kutokana na ardhi yake kukubali kustawi kwa wingi Matunda ya...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Akutana na Rais Mstaafu wa Nigeria, Olesegun Obasanjo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amekutana leo na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Oluseguni Obasanjo. Taarifa zaidi kutolewa ======== Rais wa Jamhuri ya Muungano leo Mei 3, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya viboko shuleni bado ni halali katika nchi angalau 64. Tanzania inang'ara kwa kutozuia viboko

    Adhabu ya viboko shuleni bado ni halali katika nchi angalau 64! Watoto milioni 246 bado wanakabiliwa na unyanyasaji wa kijinsia Mwanafunzi 1 kati ya 3 huonewa & kunyanyaswa kimwili 50% huripoti vurugu kutoka kwa wenzi wao shuleni. =========== Corporal punishment is a practice that remains...
  15. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EA markets: Kenya vs Tanzania

  16. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania ulikua kwa 6.9% au zaidi kipindi cha mwaka 2017-2019

    - Mpaka napoongea saaahv Tanzania has a gdp of ~($70B)+, nyuma kidogo ya kenya wenye gdp ya ($100B)+, wakati magufuli anaingia madarakani tanzania ilikua na gdp ya $(45.68B), Benki ya tanzania pia ilirekodi ukuaji wa uchumi kwa asilimia 7...
  17. Stroke

    JamiiForums Tanzania Woga wa vyama vya Upinzani kuhusiana na Somo la Historia Ya Tanzania unatokana na nini?

    Mchakato wa kuanzishwa somo la historia ya Taifa letu umepingwa sana na wafuasi wa vyama vya upinzani hapa nchini. Inashangaza kwa Raia kutotaka kujua historia ya Taifa lake. Jambo la kusikitisha mno katika baadhi ya mijadala hapa jamvini unakutana na comment ya mtu ambaye anasema kwamba...
  18. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Tanzania iliyopanda hadi uchumi wa kati kwa mwaka wa tano yashindwa kupandisha mishahara

    Haihitaji kutumia Nguvu Sana kujua kua nchi haina hela Kama mwanaSiasa uchwara yule alivyokua akijinsibu. Uchumi Ni namba,na namba huwa hazidanganyi. Kwa kupenda sifa kule kama angekua Ana hela asingeweza kukaa miaka mitano bila kuongeza mishahara ili asifiwe. Lakini yeye akaamua fungu lote la...
  19. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna Corona wala hatutegemei mabeberu, huo uchumi umeyumbaje?

    Mama Samia amesema hawezi kupandisha mishahara kutokana uchumi kuyumba kutokana na ugonjwa wa Corona. Tangu mwaka jana serikali ambayo yeye alikuwa Makamu wa Rais ilituaminisha kuwa Tanzania hamna Corona na uchumi wenu hautegemei mabeberu, yaache yafe na Corona sisi tumemuweka Mungu Mbereee...
  20. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Dalberg Tanzania Careers, May 2021- Undergraduate Intern

    Job Title: Undergraduate Intern - Tanzania Location: Dar Es Salaam, TZ (multi-location) ABOUT YOU You aspire to become a leader in global development by tackling global issues, from malnutrition to climate change to economic growth, ensuring no population is left behind. You enjoy...
Back
Top Bottom