tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna jumla ya makabila mangapi?

    Habari zenu wadau? Nimeona nije na kauzi haka ili niweze kupambanua uelewa. Ninachokijua na ambacho kinaandikwa kwenye machapisho mbalimbali ni kwamba Tanzania kuna makabila zaidi ya 120. Sasa ukisema zaidi ya, huwa haioneshi idadi halisi ya makabila hayo. Naomba mwenye uelewa atujuze idadi...
  2. JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania haimkomboi kijana zaidi ya kuendeleza ujinga

    HIZI NDIZO SABABU KUU MBILI ZINAZO SABABISHA UMASIKINI TANZANIA NA AFRIKA KWA UJUMLA 1: UDHAIFU WA ELIMU YETU Elimu yetu haijitosherezi wala haiendani na dunia tuliyo nayo leo tofauti na mataifa mengine kama Uingereza, Marekani, Canada n.k Mfano mwanafunzi Alie Soma kombi ya HGK/HGL/HKL kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kundi la vijana ni silaha kubwa ya mageuzi vizazi vijavyo hapa nchini Tanzania

    Ndugu wanajamvi leo nataka nigusie kuhusu wimbi letu la vijana wa hili taifa la Tanzania: Moja, vijana tupambane katika kutafuta riziki ya kila siku vijana tujikubali na tuweze kuuachia ubongo uweze kutafsiri vyema namna ya kupambana na maisha ya kawaida ya kila sikh na so kutegemea mtu ama...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Ni njia ipi nzuri ya kuuza vitabu/courses na muziki online nikiwa Tanzania?

    Pamoja na kwamba mimi ni mgeni humu lakini naomba kupata mawazo juu ya uchapishaji kazi za sanaa online hususani vitabu, njia ambayo inaonekana sasa kuwa mkombozi kwa watunzi wengi tofauti na zile zama za giza ambazo ilimpasa mtu apige kwanza magoti kwa makampuni makubwa ndipo kazi yake iweze...
  5. JamiiForums Tanzania Vijana wengi kwa sasa Tanzania wanajichubua kwasababu ya ubaguzi wa kifamilia na kijamii

    Vijana wa kiume na wa kike sasa hivi wanajichubua kwasababu ya ubaguzi na upendeleo unaokuwepo ktk jamii Mfano unakuta mtoto anakosea mzazi anamwambia kwamba amefanya hivyo na ndo maana tu mungu alimuumba mweusi Mweusi kama chungu cha mchawi Wewe ni mweusi hadi huko rohoni kwangu Una uzuri...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kabila la Wameru wa Kenya na wa Tanzania ni moja?

    Habari za wakati huu wakuu, Binafsi ningependa kufahamu kabila la Wameru linalopatikana mkoani ARUSHA na baadhi ya maeneo ya mkoa wa Manyara wilaya ya Simanjiro, linautofauti na Wameru wanaopatikana nchini Kenya?
  7. JamiiForums Tanzania Mwanza: Rais Samia aongea na Vijana wa Tanzania katika Uwanja wa Michezo wa Nyamagana

    Katika muendelezo wa Rais Samia kukutana na kuongea na Makundi mbalimbali nchini, leo ataongea na Vijana wa Tanzania kupitia vijana wa mkoa wa Mwanza katika Uwanja wa Michezo wa Nyamagana. Taarifa zaidi zinafuata: Mkuu wa mkoa wa Mwanza ameanza kwa kuwatambulisha watu mbalimbali kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan na Vijana, Uwanja wa Nyamagana Mwanza

    Huu ni uzi huru (sio rasmi) Kumulika Ziara ya Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza ambapo ataongea na vijana wa Kanda ya ziwa kwa niaba ya vijana watanzania yote. Huu ni muendelezo wa Rais Samia kukutana na kuongea na Makundi Mbali mbali katika jamii. Ikumbukwa...
  9. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (kwa Kiingereza: Open University of Tanzania) ni chuo kikuu kinachotoa kozi za cheti, stashahada na shahada kupita masomo ya mbali (Distance Learning). Makao makuu yako Dar es Salaam, Tanzania. Chuo Kikuu Huria kina takribani wanafunzi 70,000 kutoka ngazi mbalimbali...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kuahirishwa kwa kesi Mdude ni kielelezo cha kiburi cha Watumishi wa Umma Tanzania

    Mahakama inapanga tarehe ya kusoma hukumu ya mtuhumiwa, tarehe inafika na mtuhumiwa anafika mahakamani the mahakama inadai hukumu haijakamilika na mtuhumiwa kurejeshwa rumande kwa zaidi ya siku 14. Hakimu Kama huyu analipwa pesa na serikali na hakuna sehemu utasikia viongozi wake wakilalamika...
  11. JamiiForums Tanzania Nyerere national Park Exclusive 1 Day Safari

    Nyerere National Park Itinerary Early Morning at 4am, you will be picked from your hotel in Dar es salaam and after a short safari briefing from the guide, drive to Nyerere national park for 4hrs-5hrs depending on the road traffic and speed limit of 50KPH.On arrival check in at the park for your...
  12. JamiiForums Tanzania Cadet za ubora wa juu zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani?

    Habari za leo wakuu, Natumai mnaendelea vizuri ndugu zangu. Nahitaji kujua cadet (kadet) za ubora wa juu (high quality) zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani? Pia nahitaji kujua aina za cadet (kadet) zinauzwa Tanzania kwa sana. Kadet za kuvutika (elastic) na zile ambazo sio za kuvutika...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

    Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
  14. JamiiForums Tanzania Nani anatoka Marekani kuja kutibiwa Tanzania?

    Juzi wakati Rais Samia alipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete [siyo ule moyo wa Kikwete 🤣 uliopo ndani ya kidari chake], alisema kuwa alifarijika kusikia kwamba miongoni mwa wagonjwa wanaoenda hapo kutibiwa, wanatoka nchi za jirani na hata Marekani. Hapo kwenye Marekani alisema kwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wakenya na Ardhi ya Tanzania. Tuweni Makini!

    Leo nikiwa mmoja ya Watanzania walioalikwa kwenye mnuso na Wakenya iliyofanyika nyumbani kwa Mkenya mmoja maeneo ya Mbezi Beach, baada ya kupiga gambe la uhakika, Wakenya walianza kuropoka. Ila nilishtushwa na kushanganzwa jinsi walivyokuwa wakisema waziwazi, kwamba maendeleo ya Kenya hasa...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri kwenye Ziara ya Rais Samia Suluhu. Azindua Kiwanda cha Kusafisha dhahabu na Jengo la (BoT)

    Saa Nne Kamili Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan atawasili mkoani Mwanza kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu. Rais wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan katika Ziara hii anatarajiwa kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali mkoani Mwanza ukiwemo wa ujenzi wa daraja la...
  17. JamiiForums Tanzania Gavana Luoga akitoa takwimu za mchango wa kanda ya ziwa kwenye uchumi wa Tanzania

    Gavana Luoga ametoa takwimu za mchango wa kanda ya Ziwa kwenye uchaguzi wa Tanzania. Mwaka 2019, kanda ya ziwa ilichangia Trilioni 34 kwenye uchumi wa Tanzania sawa na 25.9% ya pato la Taifa. Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 90% ya dhahabu Tanzania. Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 50% ya...
  18. JamiiForums Tanzania Ugali Nyama Choma(T-Bone Steak)

    Leo nachukuwa fursa hii kuwa karibisha wadau na wapenzi wa UGALI na NYAM CHOMA (T-BONE STEAK) katika mgaha wetu pale NAMANGA,MSASANI, dakika 1 kutoka kituo cha Namanga. Ugali : 500 Nyama : 3000 Tsh3,500 Delivery: ugali:500 Nyama :3,500 Tsh4,000 Delivery Fee: Kuanzia...
  19. JamiiForums Tanzania Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

    Hii hapa ni orodha ya Miji mizuri Tanzania. 1-Dar es Salaam (Mzizima) Eneo la mkoa ni jiji la Dar es Salaam ambalo ndilo kitovu cha shughuli za biashara (na za utawala, kwa kiasi fulani) nchini Tanzania, na ni kati ya majiji yanayokua haraka zaidi duniani. Ni km² 1,800 pamoja na visiwa vidogo 8...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Four Ambassadors to Tanzania talk about the economy, politics and COVID-19

    9 June 2021 The ambassadors answer topics touching Business matters and how Nordic companies operates in Tanzania. REPOA commissioned a survey on Nordic companies that are in Tanzania and issued a detailed report on business environment, potential areas for investment, skills development...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…