tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mangole Valles Michael

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kutoka nje ya Tanzania kutafuta maisha

    Wakuu habarini za leo? Nikiwa kama muumini ninae amini maisha ni popote, Leo nimeleta Uzi huu nikiwa na lengo la kupata mwongozo kwa walio nitangulia kutoka nje ya Tanzania au walio na uzoefu wa nchi zingine barani Africa au nje ya Africa. Kwanza kutoka nje ya Tanzania kwenda ku-make life...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mnamuonea sana Karia, ligi zetu ni bora kuliko za Misri na Algeria

    Kuna watu wakiongelea ligi yetu gape la mechi la kulinganisha na ligi ya uingereza unaweza ukadhani karia ni shetani aliyeandikwa kwenye vitabu vya dini..angalia ligi ya misri wana teams kama sisi wanatakiwa kila teams icheze mechi 34 angalia ndo kwanza al ahly ana mechi 19 ,pyramids ana mechi...
  3. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto apostiwa na page mashuhuri ya udaku Marekani (TheShadeRoom)

    Watanzania wote wako proud baada ya mrembo hamisa mobetto kupostiwa na page mashuhuri ya udaku marekani TheShadeRoom. Mrembo huyo amepostiwa kama ndio girlfriend mpya wa mwana muziki na billionaire Rick Rose. Baada ya page hiyo mashuhuri kumpost inaonekana hadi warembo wamarekani wameanza...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya teuzi, sasa Media za Tanzania zimeshawekwa 'Mfukoni' na Mamlaka

    Kuanzia sasa Media za Tanzania zitakuwa zinaweka bidii katika 'Kujipendekeza' kwa Mamlaka (Serikali) na Kusifia (Kupamba) mno ili Waandishi wake 'waule' katika 'Teuzi' na wala siyo katika Kuibua Taarifa Muhimu na yenye Tija kwa Maslahi na Maendeleo ya nchi. Maziko ya Media Tanzania yamefana.
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa angalizo maambukizi mapya ya Corona

    Serikali ya Tanzania imesema kuna viashiria vya wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona kuingia nchini kutokana na nchi jirani wananchi wake kuzidi kupata maambukizi ya ugonjwa huo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Juni 19, 2021 katika Uwanja wa...
  6. Ugumu wangu

    JamiiForums Tanzania Tanzania na katiba mpya

    Habarini wakuu, leo mda wa usiku wa manane sana baada ya kushtuka usingizini nikalala tena pamoja na kuota ndoto lakini Kuna ndoto nimeiota kwa msisitizo mkubwa Hadi nimeamka asubuhi nikiwa na furaha na nakumbuka. Nimeota viongozi wengi wa chama tawala (CCM) wakiwa wamekasirika baada ya Mbowe...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Askari Magereza Tanzania wamezidi kuiga

    Mzuka wanajamvi! Mbwembwe tu
  8. luangalila

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri Tanzania linajadili Budget 2021/2022

    Wadau ni takribani miaka sita sikusikia hili jukwaa likitia neno u kujadili ISSUES ndani ya TZ, ila leo naona ITV wamewapa nafasi jukwaa hili katika kujadili bajeti ya Serikali ya Awamu ya 6. Embu tupieni jicho muwaone akina Majura, Meena, n.k
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ni lini vyuo vyetu vya elimu ya juu vitakua chanzo cha mapato kwa Taifa kwa kusajili wanafunzi nje ya Tanzania?

    Kumekua na ongezeko kubwa la vyuo vya elimu ya juu, tofauti na idadi tuliyokuwa nayo mpaka miaka ya 90. Licha ya elimu nje ya bara la Afrika, kuna waliobahatika kupata elimu ya juu katika nchi za Afrika hususan Makerere Uganda, Kenyata Kenya, Afrika ya Kusini, Nigeria, Misri, Botswana. Hizi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Iran nchi inayoongoza kwa kuikopesha Tanzania

    Naam, siyo wengine bali ni walewale watoto wa Ayatollah ndiyo wanaoongoza kutupiga tafu kwenye mikopo Siyo China, wala Marekani wanaoongoza kutukopesha ili tufanye mambo ya maendeleo, bali ni Wairani. Wairan ni watu walionyooka sana, hawapendi kuburuzwa, ni watu wanaojiamini. Pamoja na wao...
  11. Maramla

    JamiiForums Tanzania How Tanzania Remembers Dr. Kenneth Kaunda

    Tanzania President Her Excellency Samia Suluhu Hassan has on behalf of government sent condolences to the People of Zambia for the death of their Father of the Nation Dr. Kenneth Kaunda who passed away yesterday June 17, 2021 in Lusaka. In her condolences President Samia has said Africa has...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Upatikanaji wa Mayai Nchi Tanzania

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI TAARIFA FUPI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA KUSHUKA KWA BEI YA MAYAI NCHINI 15 JUNI 2021 1. UTANGULIZI Tarehe 15/06/2021 Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliona ujumbe unazunguka kwa njia ya...
  13. Teargas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sources of Tanzanian external debts

    Ni aibu Sana kuona Tanzania inakopa Deni kwa nchi maskini kama Angola. Iran na Iraq nazo ilowakopa mabomu ama Nini🤣😂😂🤣
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ametangaza siku 7 za maombolezo Kitaifa kufuatia kifo cha Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa wanafamilia na Rais wa Zambia Edgar Lungu, kufuatia kifo cha Rais wa Kwanza na Muasisi wa Taifa hilo Kenneth Kaunda, kilichotokea jana Juni 17, 2021. Kaunda amefariki dunia akiwa na umri wa miaka...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Harbinder Sigh Seth amewekeza nini Tanzania kinacholipa fedha alizoelekezwa? Akirudi kwao Kenya itakuwaje?

    Huyu Mzee ameiba matrilioni ya nchi yetu. Watoto hawana madawati Wala madarasa, hospitali hazina madawa, mishahara haipandi nk then anahukumiwa alipe bilion zaidi ya ishirini anatangulia milioni mia mbili. Are we serious? Hizo bilioni 26 zitalipwa au ametupiga? Ukiisoma taarifa za Kenya it's...
  16. Stroke

    JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nani huyu?

    Mh. Rais Samia , Naamini unafahamu kabisa kuwa, Mwaka 2020 wakati tunampigia kampeni Dr. Magufuli, tulikupigia kampeni na wewe ukiwa mgombea mwenza. Tuliwaamini nyote wawili kwamba ni watu sahihi kuliongoza Taifa letu. Sasa wewe ni Rais wetu, hakuna ubishi katika hilo. Sasa Mh. Rais napata...
  17. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Saido Antibiotics & Co wanapofufua mipira iliyokufa, wako wapi specialist wa "dead balls" kutoka Tanzania

    Kupitia Runinga leo nimetazama mechi ya Ruvu dhidi ya Yanga, Nilichokiona cha maana leo ni goli la Saido Ntibazonjiza "antibiotic akipiga free kick maridhawa kabisa, nikimtazama vizuri alijiamini mno, body language inaonesha alidhamiria kuupeleka wapi mpira, curve yake si ya kubahatisha kwani ni...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tanzania imewasilisha ombi la kujiunga na mpango wa kugawana chanjo dhidi ya Covid-19

    Mkuu wa shirika la afya duniani kanda ya Afrika Matshidiso Moeti amesema Tanzania imewasilisha ombi la kujiunga na mpango wa kugawana chanjo dhidi ya COVID-19 kwa mataifa maskini wa COVAX. Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliunda tume ya ushauri kuhusu janga la virusi vya corona iliyotoa...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Executive Assistant to the Country Director at ADRA Tanzania

    ADRA Tanzania is part of the global humanitarian Network, delivering relief and development assistance to individuals in more than 118 countries—regardless of ethnicity, political affiliation, gender, status or religious affiliation. Acting as an equal opportunities Employer. ADRA is currently...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa, mna Takwimu hii mpya ili muanze kujipanga kimkakati kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025?

    Takwimu mpya kutoka Mamlaka husika imesema kuwa kwa hivi sasa 77% ya ' Population ' ya Tanzania ni Vijana. Mnaotaka Kugombea Urais au Kuendelea nao baada ya 2025 Kazi Kwenu sasa katika Kulishawishi, Kulidanganya, Kulirubuni na hata Kulitumia vizuri hili Kundi ili 2025 Ikulu iwe Nyumbani Kwako...
Back
Top Bottom